Mkuu mi niliishi New Delhi. Kiukweli pale rate ya ubaguzi ipo chini kwa mtazamo wangu.
Wahindi wana chuki na ngozi nyeusi lakini ni mpk uwachokoze, mf kuchukua demu wa kihindi wao wanahesabu ni uchokozi na kamwe hautabaki salama.
Nimesoma nao darasa 1, nimepanda nao Bajaj, nimesafiri kwa Delhi Metro tena tunapanda kwa kugombania, si asubuhi, si jioni, ukibahatika siti unakaa, muhindi anasimama na sio kesi!
Kunyimwa papuchi Mweusi hata kama una hela, pia ni ubaguzi!
Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using
JamiiForums mobile app