Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,810
Awakomeshe kina magengosomakonda anafaa kuwj RC Huko awakomeshe machangu
Awakomeshe kina magengosomakonda anafaa kuwj RC Huko awakomeshe machangu
Nimemiss, pilipili zao na kuku choma.Umesahau nini Mkuu?
Mie kanifanya nicheke sana na kihesabu chake ...Hahahahaaaa, mkuu umenichekesha sana aisee! JF ni kisima cha furaha aisee! Wachache watakaoelewa kwa nini hesabu yako ya kuvuta sigara itakuletea sigara 2.
wewe umeenda kwenye slums ulitegemea nini?jamaa wanatema makohozi wale sijapata kuona!nilienda kutembea huko nikajuta kwenda yaani ukiruka kohozi unakanyaga mavi
Nilivyo maliza neno la mwisho kanirudisha tanzaniaUmenisafirisha mpaka India kimawazo.
Asante mdau.
Sio slums mkuu hayo yapo sana leo nilikua mitaa ya marol hapa bombey hapa watema mate hovyo hovyo, hii inatokana na kuber na ugoro wanazokula mida yote. Hawa jamaa ni machafu sana yanakojoa hovyo hovyowewe umeenda kwenye slums ulitegemea nini?
Hao mastar sina uhakika na makazi yao rasmi, ninachojua wanamiliki investment katika miji tofauti India, na huko kote wanaonekana. Kuhusu Ujenzi, hao wahindi achana nao. Wako vizuri. Mpaka mwaka 2015, New Delhi ilikuwa na jengo la ghorofa 78 na halipo katika top 3 ya majengo marefu ya India.Hivi akina Amitah na akina Sharh Khan wanaishi wapi?
Mbona ngozi zao zina afya?
Kwahiyo yale majumba tunayoyaona kwenye muvi zao sio au?
Aisee....safi sanaHao mastar sina uhakika na makazi yao rasmi, ninachojua wanamiliki investment katika miji tofauti India, na huko kote wanaonekana. Kuhusu Ujenzi, hao wahindi achana nao. Wako vizuri. Mpaka mwaka 2015, New Delhi ilikuwa na jengo la ghorofa 78 na halipo katika top 3 ya majengo marefu ya India.
India tajiri ni tajiri kweli kweli. Maskini ni Maskini kweli kweli. Kuna maghorofa ya kufa mtu na kuna watu wanalala ktk vibanda vya mabox. Kuna wanaolala ktk viambaza. India kuna Guta zinabeba watu. Baiskeli zinabeba watu. Ndio nikasema TEMBEA UJIONEE.Aisee....safi sana
Kwahiyo wale wahindi tunaokutana nao Masai Club wanaojifanya star kumbe kwao ndio kuko rafu hivi.....hahhaa
Ndio msiwe mnawakubali kirahisi rahisi. Ukitaka kumuumiza Mhindi Kariakoo, mwambie umekaa India, afu mtajie machaka yao. Lazima afunge mdomo wake.Aisee....safi sana
Kwahiyo wale wahindi tunaokutana nao Masai Club wanaojifanya star kumbe kwao ndio kuko rafu hivi.....hahhaa