The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,170
- 20,202
Je huyo mnamibia ana chura? Kama anayo niunganishe email yake.Hapana sikufanya dhambi. Mnamibia alinihitaji sana Mimi kuliko Mimi nilivomuhitaji, kweli nakuambia!
HahahaHahahahahaha hii ya Papuchi nahic Dada zetu ndio wanapenda wageni zaidi kuliko sisi wazawa wenzao
HahaaKiwanja bei gani nina kila sababu za kuishi huko na sababu ya mwisho ni kuwa mi navita sigara 12 kwa siku nikiishi huko inamaana nitanunua 2 tu
Aisee ...kweli tembea uone ...jamaa hawataki kutumiwa kibwege ...sasa ikitokea wakafa kwenye hayo maandamano je ? !Mkuu zile ni Siasa za kale naweza sema kwa sasa zishaisha... Wanasiasa huwapa pesa waandamanaji kisha huchagua jambo la kufanya wanaweza ziba njia n.k so ile ya kupiga Waafrica ilikuwa ni kwa kumkomoa Waziri Mkuu alipoandaa mkutano na viongozi wa Africa... ili wasuse lakini mkutano ulifanyika baada ya viongozi kueleweshwa... black Money now ni kama imededishwa baada ya pesa kubadilishwa so hakuna pesa za mchezo mchezo tena.. na Mhindi haandamani bila pesa kwai wanajua faida ni yako wewe wao wakishamaliza maandamano wanarejea kwenye shughuli zao tu...India Maandamano ni sehemu ya kipato... STUKA Kwety huwa tunasombwa na matrucks
Duh ...!!!!Kuna maskini wa kutisha pengine kuliko hata bongo, ni India yote kwa ujumla! Omba omba wa kule anaweza kukufata anaomba umbli mrefu kama Kariakoo mpk Manzese, anaomba tu, mpk umpe!
Wahindi asee ni janga la duniaNi kweli. Ila jamaa mitaani ni wachafu. Muhindi anaweza kupark gari pembeni ya barabara kuu ili akojoe tu.
Nimependa harakati zao za maendeleo na miundombinu yao,kuna vitu vya maendeleo vya kuiga kama hivyo lakini siasa uchwara tu
Wamalawi kwa papuchu...kama wamelogwa yaani.Maleta. Jamaa angu kutoka Malawi, alikuwa anasoma Chennai, alikuwa akija likizo kwa ndg zake wa Malawi Embassy, ndio alikuwa akipenda sana safari za GB Road, basi na mimi ndio hapo nikaijua vizuri!
Namba 4 nlishangaaa sana! Unaweza Ona foleni kumbe mbele Ng'ombe anakula!1. Ukitaka kuwa bilionea anzisha biashara ya kuuza honi za magari na pikipiki hapo Newdelhi.
2. Kuna baashi ya maeneo mama NOIDA bajaji zinapita upande wowote wa barabara so usishangae wakati unaenda ukakutana na bajaji zinarusi ya ni vururu vururu.
3. Ni nadra sana kuwaona polisi yani polisi ni mmoja mmoja sana.
4. Usishangae kuona ng'ombe wanakula majalalani kama mbwa.
5. Bia zinauzwa kwa kificho sana si rahisi kuziona bar kama bongo hapa.
6. Wamejitahidi sana kuwaelimisha wagu wao kuhusu kulipa kodi wao wanaiita GST, so utakaponunua kitu ata kwa maduka madogo madogo lazima utalipa kodi na lazima utapa risiti.
7. Bureau de change zipo congrolled sana, na ukienda badili pesa lazima uwe na vitambulisho halali.
8.
Aisee GT acha blah blah ni PM iyo email ASAP.Mkuu utaomba visa ya Namibia?
Aaah! Aaah! Aaah! Wewe jamaa wewe!Mkuu hapo GB ROAD nishatimba sana enzi zangu kwa miaka mitatu kufuata PAPUCHI YA KIHINDI- nilikuwa naingia namba 72 kwa jamii ya wanepal hivi, we mkuu ulikuwa na koloni room namba ngapi..tukumbushane bwa Shekhe..
Huwezi kuacha gari Mkuu!Hiyo foleni bora uache gari utembee kwa miguu tu