missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,337
Graciaspolitiks_tz

Graciaspolitiks_tz

You're welcomeGracias![]()

UmekamilikaaHahahahaaa... Kimnana mzuri bwana Sema kusema mzuri kuliko mademu wote wa Mondi mimi sijakubali.
Full package hiyo vipi tena jamani?
Macho yake ndio yalivyoonaKimNana mkali kuliko wote?
Naunga mkono hojaYes...kuliko mademu wa Domo wotee
Ndio mkuuMacho yake ndio yalivyoona
Kama kawaAu sio![]()
politiks_tz mkweSijui akaunti halafu,anatumia akaunti gani insta...?!!!
Kwa mshepu sawaa!ila kwa kisuraa!!Dona alifunika wotee!demu mkareee sana yule....kwa viuno mobetoo!Kwa akili za maisha Zari!kwa mapenzi alimpenda Wema mpk babu tale alikua anamtuliza mondi ashawahi kulia kipindi kile madame kanunuliwa Range sijui Nissan kwenye bday!Yes...kuliko mademu wa Domo wotee
Mwacheni boss aweke mbegu bana niliwahi kumsikia hadija kopa akisema kwenye intavyiuu flani baada ya uvumi kuwa zuchu analiwa na Mondi!
Nilitegemea maneno ya busara ila cha ajabu alisema yote heri tu na pia ni raha mtoto wako kuchukuliwa ambako kwenye unafuu, yani maanake palipo na pesa! Toka pale niliacha ujinga nikaanza kutafta hela kwa namna yeyote ile![]()












daahhh!daahh!Acha kabissa yaani wamama wa Kiswahili hawana mda ,nilikua naishi uswahili kwetu hukoo baba akitaka kuadhibu watoto wa kike mama anakaa kati anamuambia ampige yeye,maana ndo chumio lake yaani ni mtihani kabisaa!!Wamama wa kiswahili huwa hawajali umalaya wa ma Binti zao sijui kwanini?
Mguu wake tu unaweza ukakopea mkopo benkiKabisaa!huyu@Mzigua ni full package kuanzia head to toe!