mkuu kwa faida yako ni kwamba.mkatoliki akizaliwa anabatizwa akiwa mchanga au hata mtu mzima anayejiunga na kanisa kwa mara ya kwanza na hapo anaingizwa ktk register book ya parokia kisha parokia inapeleka return jimboni na jimbo linapeleka makao makuu ya kanisa katoliki yaani vatican, kwa kukusaidia wakatoliki unaweza kujua idadi yao kila mwaka au at any time 't'kwa waliokufa, waliozaliwa, waliooa na kuolewa, ndoa zilizo vunjika n.k. It is a system of its kind under the sun.ndiyo maana wataalam wa management wanasema the first managemnent in the world was copied from roman catholic system.nadhani umetosheka kwa haya machache wenzangu watakujuza zaidi
Mkuu kwa faida yako ni kwamba.Mkatoliki akizaliwa anabatizwa akiwa mchanga au hata mtu mzima anayejiunga na kanisa kwa mara ya kwanza na hapo anaingizwa ktk register book ya parokia kisha parokia inapeleka return jimboni na jimbo linapeleka makao makuu ya kanisa katoliki yaani VATICAN, kwa kukusaidia wakatoliki unaweza kujua idadi yao kila mwaka au at any time 't'kwa waliokufa, waliozaliwa, waliooa na kuolewa, ndoa zilizo vunjika n.k. It is a system of its kind under the sun.Ndiyo maana wataalam wa management wanasema THE FIRST MANAGEMNENT IN THE WORLD WAS COPIED FROM ROMAN CATHOLIC SYSTEM.Nadhani umetosheka kwa haya machache wenzangu watakujuza zaidi
ndio maana kile kipengele hakikua na tija kwenu,mngewaacha wenye kuhitaji waendelee nalo kama vile ruzuku inavyoenda kwenye taasisi za kidini! na hao wasio batiza watajuaje wapo wangapi?waende RITA?kuna tofauti gani ya RITA na NBS maana zote taasisi Za govtMkuu kwa faida yako ni kwamba.Mkatoliki akizaliwa anabatizwa akiwa mchanga au hata mtu mzima anayejiunga na kanisa kwa mara ya kwanza na hapo anaingizwa ktk register book ya parokia kisha parokia inapeleka return jimboni na jimbo linapeleka makao makuu ya kanisa katoliki yaani VATICAN, kwa kukusaidia wakatoliki unaweza kujua idadi yao kila mwaka au at any time 't'kwa waliokufa, waliozaliwa, waliooa na kuolewa, ndoa zilizo vunjika n.k. It is a system of its kind under the sun.Ndiyo maana wataalam wa management wanasema THE FIRST MANAGEMNENT IN THE WORLD WAS COPIED FROM ROMAN CATHOLIC SYSTEM.Nadhani umetosheka kwa haya machache wenzangu watakujuza zaidi
Hii ni picha halisi, shukrani kwa post tatizo la hapa watu wamekariri kwa kuwa wameshasikia kuna photo shop basi kila picha kwake ni photoshop.....
ndio maana kile kipengele hakikua na tija kwenu,mngewaacha wenye kuhitaji waendelee nalo kama vile ruzuku inavyoenda kwenye taasisi za kidini! na hao wasio batiza watajuaje wapo wangapi?waende RITA?kuna tofauti gani ya RITA na NBS maana zote taasisi Za govt
Hiyo picha ni uchakachuaji mtupu (photoshop) kwa kuunganisha vipande vitatu yaani picha ya pope, watu na hiyo bendera)! Mambo ya digitali hayo!
Kwe iyo picha uliyo quote hakuna bendera ya tz.
Mkuu kwa faida yako ni kwamba.Mkatoliki akizaliwa anabatizwa akiwa mchanga au hata mtu mzima anayejiunga na kanisa kwa mara ya kwanza na hapo anaingizwa ktk register book ya parokia kisha parokia inapeleka return jimboni na jimbo linapeleka makao makuu ya kanisa katoliki yaani VATICAN, kwa kukusaidia wakatoliki unaweza kujua idadi yao kila mwaka au at any time 't'kwa waliokufa, waliozaliwa, waliooa na kuolewa, ndoa zilizo vunjika n.k. It is a system of its kind under the sun.Ndiyo maana wataalam wa management wanasema THE FIRST MANAGEMNENT IN THE WORLD WAS COPIED FROM ROMAN CATHOLIC SYSTEM.Nadhani umetosheka kwa haya machache wenzangu watakujuza zaidi
Mkuu kwa faida yako ni kwamba.Mkatoliki akizaliwa anabatizwa akiwa mchanga au hata mtu mzima anayejiunga na kanisa kwa mara ya kwanza na hapo anaingizwa ktk register book ya parokia kisha parokia inapeleka return jimboni na jimbo linapeleka makao makuu ya kanisa katoliki yaani VATICAN, kwa kukusaidia wakatoliki unaweza kujua idadi yao kila mwaka au at any time 't'kwa waliokufa, waliozaliwa, waliooa na kuolewa, ndoa zilizo vunjika n.k. It is a system of its kind under the sun.Ndiyo maana wataalam wa management wanasema THE FIRST MANAGEMNENT IN THE WORLD WAS COPIED FROM ROMAN CATHOLIC SYSTEM.Nadhani umetosheka kwa haya machache wenzangu watakujuza zaidi
Mkuu nakubaliana nawe Wakatoliki ni taasisi ambayo hiko well organised, nakumbuka kisa kimoja maishani mwangu - mimi ni Mlutheli na mke wangu Mkatoliki, kilicho nishangaza ni kule kuweza kutangaza kwenye makanisa yao karibu yote mkoani kwangu wiki kama mbili kabla ya kufunga NDOA kwangu, kumbuka sisi wahusika tulikuwa tupo hapa DAR, sijui kama walitangaza mikoa yote ya Tanzania? Nina uhakika hata Vatican walipewa taarifa, jamaa hawa database yao kuhusu wahumini wao i.e wanandoa, watoto inazidi ya CIA au FBI - wana uwezo mkubwa wa kufanya lolote wapendalo at any time.
Pamoja na mengine mengi yaliyojiri huko hili limenifurahisha.
View attachment 87564
Tunakutakia uongozi mwanana wenye kuleta mabadiliko dhahiri ya KIROHO KWA WAKRISTO WA KANISA KATOLIKI
Nimekuelezea utaratibu wa kanisa nje ya utaratibu wa serikali wa kuwatambua waumini wake kwa majina na idadi, kinacholeta shida ni kwa baadhi ya madhehebu ya dini kutaka kutumia resources za umma kwa kupata idadi yao wakati hilo ni jukumu lao binafsi.Mkuu haka kautaratibu kwa RC ni kazuri unaruhusiwa kucopy na kupaste
Hili nalo linastahili kuwa kwenye jukwaa hili?...upuuzi mtupu... tunahitaji serious politics hapa....
Pole, Catholic wana registered directory, kila kigango, parokia, jimbo, taifa kuna registered directory ambayo huakisi wapya kama mtu anabatizwa maana yake ana kadi inayotunzwa kwenye register na kuhakiki uhai wake katika kanisa. Inapotokea kifo basi huondolewa kwenye registered directory. Jamaa wanajua nani hai, nani kafa, wapo wangapi, ndio maana hawahitaji kuhesabiwa na timu ya Kikwete maana wanajua idadi kamili bila taabu kwa utaratibu wa kisomi si kama kupita nyumba kwa nyumba kiswahiliswahili.
Niliwahi kuona hesabu ya watu Marekani, hawapiti nyumba kwa nyumba, ila kila nyumba serikali hutuma form kwa njia ya posta ya kujaza na unaiweka nje ndani ya sanduku lako la barua, watumishi wa posta wanapita kukusanya pamoja na barua nyingine wakati napopitia kuacha barua zako. Wasomi hawafanya kibongobongo bana. Ingawa wanaweza kupata information kupitia social security, hii ni kwa ajili ya kuhakiki zaidi wanaojipenyeza hasa wazamiaji.
mmejuaje kama wakatoliki ni wengi tanzania,huku mlikataa kipengele cha dini kisiwepo kwenye sensa?