Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,658
Lord hear our prayers.....
thanx for the link Bigirita
nawatch hapa watu wanakomunika........You are welcome @FP
nawatch hapa watu wanakomunika........
inanikumbusha mbali sana.... kuna Pasaka fulani niliamua kwenda kutembea/kusali hapo basi nilikuwa naimagine nipo Mbinguni hasa Ijumaa Kuu, lol!
Elizabeth DominicLive coverage as hundreds of
thousands are expected to cram
St Peter's Square in the Vatican
for the official start to Pope
Francis's pontificate
Pope Francis...!Let us never forget that real power is service
Umeon eeh!Lazima ilikuwa nje ya duniani i can imagine dada @FP
I agree, ukiwa St Peters squire unahisi tofauti kabisa ...sio sawa na kuwa kwenye kigango chako cha King'ong'o...hahahahahaa!!nawatch hapa watu wanakomunika........
inanikumbusha mbali sana.... kuna Pasaka fulani niliamua kwenda kutembea/kusali hapo basi nilikuwa naimagine nipo Mbinguni hasa Ijumaa Kuu, lol!
Hahahaha...moyo unaweza kusimama wenyewe....unaenda ukiwa msafiiii...yani unaungama mara Tatu kwa week kabla ya safari!Umeon eeh!
na nilijitahidi nimeenda nimeungama kabisa..... maana excitement unaweza ukashtukia umeRIP, lol!
kwa kweli ilikuwa the Best Easter ever......
Huyu Pope kwa kweli nilimpenda the moment nilipomuona ile siku anatokea kwenye kidirisha na kutupa Baraka......Hii Sentensi nimeipenda sana:
Pope Francis...!
Umeon eeh!
na nilijitahidi nimeenda nimeungama kabisa..... maana excitement unaweza ukashtukia umeRIP, lol!
kwa kweli ilikuwa the Best Easter ever......
ha haaaa, nakuambia, yaani pale siyo mchezo, lol!I agree, ukiwa St Peters squire unahisi tofauti kabisa ...sio sawa na kuwa kwenye kigango chako cha King'ong'o...hahahahahaa!!