New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

Usichoelewa nini? Au kauli yake kwamba "atafanya kazi ya kuwahudumia binadamu bila ubaguzi bila kujali misingi ya tofauti za kidini?"

Swaga zake. Kuhusu huduma kutoka kwa watu wa kanisa hizo wala sina shaka nazo atazitowa kwani kila siku tunaona duniani ma padri na wakitowa huduma zote za kibinaadamu bila ubaguzi na ziada hata Tanzania tunaona kanisa katoliki likihudumia kwa ufanisi mkubwa sana. Jee unataka niwe na shaka na hilo? hapana.

Swaga zake uliziona? umezielewa-elewa?
 
We thank the Almight God for having us the 266th new pop, Pop Francis. God bless our pop, amen.
 
Dah.Watu mnapenda ligi..Wivu hadi kwa papa mpya?mtu asisifiwe
 

Petri, De opus, tibi gratias ago pro providente nobis cum accuratam informationem de Pope Francisci I. Chasis praeterea sanctus Franciscus ad modum post multum religiosus habet partem. Ipse beatissimus ego volui apud Ecclesia Catholica sit conservativum honorem.
Gratias tibi valde.
 

Yes!! Habemus Papam Franscicum First Pope from the Americas and the First JESUIT Pope
 
Moshi mweupe umeonekana St. Peter's Square Vatican..,Papa mpya amepatikana....stay tuned

Nimesikia DW wakisema kuwa ni mfuasi wa Jesuit, ambapo nakumbuka nilisha ona hum Jf Jesuit ikitajwa kuwa ni wafuasi wa Freemason. Vipi hapa waroma mnasemaje?
 
Wewe ulimuelewa? alikuwa haongei Kiitaliano, umechemsha. Alikuwa anaongea KiLatino.

Kiitaliano nakielewa vizuri sana.
Ndo maana nasema hukumuelewa. Ngoja nikusaidie mdogo wangu zomba, yule Cardinali alomtangaza Papa ndo aliyeongea Kilatino na Pp Francis aliongea Kiitaliano, well, sometimes Kilatino na Kiitaliano vinaelekeana sana hasa kwa matamshi. Pope Francis alianza kuamkia "Bona sera" manake "Habari za jioni" ni kiitaliano hiki kaka!!!
 
Ni jambo jema hasa kwa kipindi hiki ambacho changamoto ni kubwa sana ndani ya kanisa. Kingine kinaondoa ile fillings kuwa pope ni kama siasa na kwamba atatoka ulaya tu. Kwa kweli MUNGU wa ajabu maana umdhanie ndiye siye na siye ndiye.
 
Hivi haya Majina ya Pope Paul ,benedict ,Francis huwa wanayachaguaje ? Ni vigezo vip vinatumika kuyapata?
 
Mimi nilipenda maneno yake haya
"And now I would like to give the blessing, but first I want to ask you a favour. Before the bishop blesses the people I ask that you would pray to the Lord to bless me – the prayer of the people for their Bishop. Let us say this prayer – your prayer for me – in silence."
hii ni ishara kuwa he is humble.......
 
Hii kitu hata mimi inanichanganya sana. Mkuu Candid Scope emu tupige shule.

TUMBIRI (PhD, HULL -UK),
tumbiri@jamiiforums.com

Nakala: Kimbunga, etc


Wanataaluma wakatoliki wanaweza kutoa shule nzuri zaidi.
Maana hasa ya kubadili majina ina maana ya kuaga hali ya zamani na kuivaa mpya kama Tumbili leo ungekuwa hujabatizwa kwa mapokeo ya kanisa uko na nafasi ya kuchagua jina jipya kutoka majina mengi ya wakristo wa zamani waliotangazwa watakatifu ambao unataka kufuata na kuiga matendo yao katika maisha yako na kuona kama ni mfano na kielelezo cha maisha mapya unayoyaanza ya ukatoliki.

Si mapapa tu, mashirika ya kitawa ya kikatoliki mengi yana utaratibu huo, baada ya kipindi cha kutazamwa
(aspirants and postulants) wanapoingia kwanye malezi ya maisha yenyewe (novice) huchagua majina mapya ambayo watayatumiwa wakiwa wanashirika, na source ya majina ni kutoka wakristo ambao wametangazwa watakatifu kama wasimamizi na mifano ya kuigwa katika maisha yao ya kikristo.

Papa mpya kimapokeo huchagua jina mojawapo la mapapa waliomtangulia kuiga mfano wa maisha yake, utendaji wake ingawa si yote aliyofanya huyo mtangulizi wake katika kiti cha kitume atayafuata, ila binafsi anaona ni kielelezo chenye kumfunza katika maisha na utendaji wake.

cc.
FirstLady1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…