Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
mkuu unazisubiri baraka za kwanza kwanza!Duh! tusubiri ajitokeze kutoa baraka!
mkuu unazisubiri baraka za kwanza kwanza!Duh! tusubiri ajitokeze kutoa baraka!
Bendera ya TZ sioni hakuna wazalendo huko?
Maana yake nini dada?
Mungu jalia papa mpya alete mapinduzi mema
Nimeona moshi mweupe
Nimeona moshi mweupe
Maana yake nini dada?
Naona moshi unaelekea kule kule alikotarajiwa kutoka Papa mpya.
I hope the papa mpya ni Muadhama Polycap Pengo..