New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

Kitu kizuri kabisa ninachokiamini katika kanisa letu hili ni namna viongozi wanavyopatikana. Makanisa mengine ungeona kambi za wagombea zinatoana jasho. Huku ni so peaceful wakiongozwa na Roho Mtakatifu mpaka kiongozi anapatikana. I like this church. Hata speech ya Pope si za wanasiasa, kaongea machache tu basi. Laiti tawala za kidunia (za wananchi) nazo zingikuwa hivi ingekuwa bora sana. Kanisa Katoliki ni mfano wa kuigwa.

Hakikaaa...Proudly Catholic
 
Kilichonifurahisha zaidi ni hiki zoezi limekamilika ndani ya siku 3, amechaguliwa siku ya 3 ya juma on 13/3/2013 time 3:33 p.m alizaliwa mwaka 1936 namba tatu tatu zimetawala watalaam wa namba kazi kwenu.Mimi naanza YESU alikufa na siku ya tatu akafufuka.
 
Francis I
505px-Card._Jorge_Bergoglio_SJ%2C_2008.jpg

Born Jorge Mario Bergoglio; December 17, 1936) is the 266th and current POPE of the Catholic Church, elected on March 13, 2013.
He chose his regnal name in honor of the Catholic saint Francis of Assisi.
He is the first Pope born in the Americas.
Prior to his election, he served as Archbishop of Buenos Aires , since 1998, and as a Cardinal since 2001.

Jorge Mario Bergoglio was born in Buenos Aires, one of the five children of an Italian railway worker and his wife.
After studying at the Seminary in Villa Devoto, he entered the Society of Jesus on March 11, 1958.

Bergoglio obtained a licentiate in philosophy from the Colegio Máximo San José in San Miguel and then taught literature and psychology at the Colegio de la Inmaculada in Santa Fe and the Colegio del Salvador in Buenos Aires.

He was ordained to the priesthood on December 13, 1969, by Archbishop Ramón José Castellano.

He attended the Philosophical and Theological Faculty of San Miguel, a seminary in San Miguel. Bergoglio attained the position of novice master there and became professor of theology.
Impressed with his leadership skills, the Society of Jesus promoted Bergoglio and he served as provincial for Argentina from 1973 to 1979.
He was transferred in 1980 to become the Rector of the seminary in San Miguel where he had studied. He served in that capacity until 1986. He completed his doctoral dissertation in Germany and returned to his homeland to serve as confessor and spiritual director in Cordoba.
:hail::hail:
 
He looks humble, na ndio maana amechagua humble name pia. St Fransis of Assisi
Anajipikia mwenyewe, anatumia usafiri wa umma na pia alikataa kuishi jumba la kifahari na kuhamia kwenye kiji apartment cha 'kawaida'
 
Kitu kizuri kabisa ninachokiamini katika kanisa letu hili ni namna viongozi wanavyopatikana. Makanisa mengine ungeona kambi za wagombea zinatoana jasho. Huku ni so peaceful wakiongozwa na Roho Mtakatifu mpaka kiongozi anapatikana. I like this church. Hata speech ya Pope si za wanasiasa, kaongea machache tu basi. Laiti tawala za kidunia (za wananchi) nazo zingikuwa hivi ingekuwa bora sana. Kanisa Katoliki ni mfano wa kuigwa.

Angalau makanisa mengine viongozi wao hawachaguliwi na wanaolawiti watoto. Miongoni mwa makardinali waliokuwa kwenye uchaguzi wa papa benedict ni kardinali Keith O'brien wa Edinburgh Scotland. Wiki mbili zilizopita wakati akijiandaa kwenda kumchagua papa mwingine, au kuchaguliwa papa, skandali lake likaibuka kwamba aliwalawiti watoto wadogo ambao nao sasa ni mapadri. Akakataa kwanza, kisha baadaye akaomba msamaha. Ni wiki mbili tuu zilizopita. Google Cardinal Keith O'brien utapata habari zake.
Point yangu ni kwamba; kusema papa anachaguliwa na roho mtakatifu ni maoni tuu. Facts ni kwamba miongoni mwa wanaomchagua ni "Padeophiles" wafiraji wa watoto wa kiume.
 
'Habemus papam' ikimaanisha 'Tunaye Papa'. Ni Mwadhama Jorge Mario Kardinali Beorgligio wa Argentina. Atajulikana kama Papa Francis I. Anakuwa Papa wa kwanza toka Amerika ya Kusini. Pia anakuwa Papa wa kwanza toka Shirika la Mapadre wa Jesuit. Ni mtu sahihi kwa wakati sahihi. 'Soli deo gloria'- utukufu ni kwa Mungu pekee!
 
Angalau makanisa mengine viongozi wao hawachaguliwi na wanaolawiti watoto. Miongoni mwa makardinali waliokuwa kwenye uchaguzi wa papa benedict ni kardinali Keith O'brien wa Edinburgh Scotland. Wiki mbili zilizopita wakati akijiandaa kwenda kumchagua papa mwingine, au kuchaguliwa papa, skandali lake likaibuka kwamba aliwalawiti watoto wadogo ambao nao sasa ni mapadri. Akakataa kwanza, kisha baadaye akaomba msamaha. Ni wiki mbili tuu zilizopita. Google Cardinal Keith O'brien utapata habari zake.
Point yangu ni kwamba; kusema papa anachaguliwa na roho mtakatifu ni maoni tuu. Facts ni kwamba miongoni mwa wanaomchagua ni "Padeophiles" wafiraji wa watoto wa kiume.

Wafiraji wa watoto wa kiume na wa kike wamo hata kwenye ngazi za juu za Uislamu na Uprotestanti, na Upagani pia.
 
Wafiraji wa watoto wa kiume na wa kike wamo hata kwenye ngazi za juu za Uislamu na Uprotestanti, na Upagani pia.

BOLLOX!!! I am talking about systemic child abuse here. Muslims and Protestants clergies have their wives to relieve themselves sexually; and not through someone else's son who was put under their trust.
 
Rais Cristina wa Argentina amempongeza Papa na hata kama wanapingana mambo mengi sana kiasi kuwa anamchukia sana kwani ni mtetezi wa waumini wake
 
Messi asema 2014 World Cup atafanya maajabu yatakayokuwa zawadi kwa Papa Francis
 
waooo we thax GOD for amazing and blessing time like this one
alisema niiteni nami nitawaitikia na kuwaonesha mambo makubwa magumu msiyoyajua
viva pope Francis MWENYEZI MUNGU AMETUONESHA WEWE
VIVA VIVA WE BE-LEAVE IN GOD THAT YOU CAN
GOD BLESS YOU
 
Mkuu ndio sistine chapel imefunguka. Poa sana mkuu, nafikiri ni exceptional
 
Papa ambaye yupo simple inapendeza sana...anaonekana yupo Social sana
 
Back
Top Bottom