shegacool2015
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 394
- 133
Tizama nyimbo iyo apo juu utaipenda tu.
Actor paresh rawal
Yani acha nitafute audio yake.. Mependa inavo anza
Tizama nyimbo iyo apo juu utaipenda tu.
Actor paresh rawal
Movie gani umeipenda zaid?
Owh unapenda nasheeds za mahir zain?
So soon si ndio aliowaimbia watoto wa Palestine? Inasikitisha
Una hatari wewe. Hii niliipenda sana
Nafikiri huyo ndio zaidi au kwakuwa sijawahi kuwasikiliza wengine.
Haswaa Ustadhat ndio hiyo hiyo. Mahir anajua
Una hatari wewe. Hii niliipenda sana
Me naipenda hadi kesho
Sami Yussuf hodari pia
Ngoja nimtafute huyo