- Thread starter
- #121
Safi sana hiyo Hindi version ya shakespeare's Romeo and Juliet
Wenyewe romeo and juliet wanaita laila and majnu kama sikosei
Safi sana hiyo Hindi version ya shakespeare's Romeo and Juliet
Wenyewe romeo and juliet wanaita laila and majnu kama sikosei
Hahaha meri dhadkano ko samjo tum bhi mujse pyar karlo
But hadithi ya Romeo and Juliet inafanana na ya qayamat se qayamat tak
Means understand my heart then fall in luv wit me...
Unafaa kutafsiri basi hAhahahaha umpiku juma khan
Who is juma khan?
Hahahahaah si yule anaetafsiri movie za kihindi anasema kwa kiswahili
Chosen generation kama hujaona hii itafute ni best movie ever
Kama unatumia android ingia playstore andika neno anghami dowload hiyo hakuna nyimbo ya kiarabu utakosa pale
My first hindi song to play with my guitar is 'pehli nazar mein' by Atif Aslam from film Race, but nyimbo iliyonipelekea kujifunza guitar inaitwa 'I'm Yours' by Jason Mraz ,unaijua hii. Sio ya kihindi hii.
Hahahaha una kipaji maashaAllah mie napenda sana movie za kihindi na nyimbo pia sio mhindi
Wenyewe romeo and juliet wanaita laila and majnu kama sikosei
Oh! Leo nikirudi home jioni nitaidownload kabisa. Asante!
Kwa sasa ashiq2 nyimbo zainaongoza
Yani ukifanya ur selection ikawa YouTube, itapata likes na downloads nyingi sana