New bollywood and arabic songs 2013 & 2014

Mzuri nae pia

Ukitaka romantic arabian songs basi namba 1 ni elissa hana mpinzani, kuna waimbaji vichwa pale Lebanon kama kina Yara, Ayman zbib, fadhil Shakur, Diana haddad, marwan khory, najwa karam, na pale middle east kuna vichwa sana, rashid majed, balqess Fathi, mona amarsha, wael khofry, ragheb alama, dah mpaka nawasahau wengi sana
 
Me napenda sana nyimbo za Elisa,sherine na nancy ajram
 
Back
Top Bottom