New bollywood and arabic songs 2013 & 2014

New bollywood and arabic songs 2013 & 2014

Yeah na nyimbo zake pia huyu bwana anazeeka na kipaji chake naona atarithiwa na mwanawe wa kiume na wanavyofanana basi

Bora iwe hivo, nilikua napenda amitabh ile movie zak sasa hivii bom kweli... Let's see SRK' s son first movie itakua vp
 
Ngoja ntatafuta...alafu naona umeisahau khabi khushi khabi gum..nice movie pia

Owh kweli thanks kwa kunikumbusha...movie hii nkiitizama alafu nkimaliza nashindwa kula roho yauma inasikitisha sana machozi tuuu mpaka inaisha lol

Jism 2 umeiona napenda nyimbo zake hususan yeh kasoor mera hai
 
Haha sasa movie ukiona hata 2n time unalia??lol
 
farkhina naomba uniwekee hapa clip ya wimbo unaoitwa 'Mann mera' from film 'Table 21'....... Naupenda huo wimbo hasa ninapokuwa na guitar langu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom