sanju charles
New Member
- Sep 10, 2013
- 1
- 0
mtrust kwa kiasi kdogo mana any tyme hwa wanabadlka
hatuna jinsi thats why tunawakabidhi maisha yetu. lakini hati ya nyumba, kadi ya benki huzioni ng'ooo ha ha.hamtuamini yet mnatukabidhi maisha yenu........
kaazi kweli
ha haaa, yako nisipoiona wala sipati tabu......hatuna jinsi thats why tunawakabidhi maisha yetu. lakini hati ya nyumba, kadi ya benki huzioni ng'ooo ha ha.
Napita tu
usiponiamini ndio vizuri, kwa sababu hata mm sikuamini.^^
Tunatambua kuwa semi nyingi za kale zinabeba ukweli ambao leo utaukataa lakini ukikutana na masaibu ya maisha unarudi nyuma kuukubali.
...
Never trust a woman ni moja ya semi hizo.
Je ni kweli wanaume tusiwaamini wanawake? Je wanaume tunayo mambo ambayo hatuwezi kuwaambia wanawake? Je mwanamke unajisikiaje,mwanaume akisema hakuamini?
^^
Wa Kwang ninamuamini na ndio maana sina nyoka mfukoni , nina amani tele for 27 yrs sasa
ha ha kumbe unaaminika. vizuri kwa kutokuwepo kwenye group la wanawake wa himidiniha haaa, yako nisipoiona wala sipati tabu......
pale nyumbani kwangu mimi ndo waziri wa mambo ya ndani/fedha...
kila kitu kinachohusu ile familia lazima kipate sahihi yangu, hata kwa remote control
Hahahaha umenifanya nifurahi hapo nilipo-underline. Nakumbuka kuna kundi flani la wamama nilikua nimekaa nao kwa issue flani basi kukazuka kamjadala ka namna hii na wengi wao wakasema kwamba wanaume hawaaniki hata kidogo tena usipoteze muda wako kuwaamini na walitoa sababu mbali mbali ikiwa ni pamoja na mifano ya waume zao. Ikabidi niwaombe wamtoe mume wangu kwenye hilo kundi na waseme wanaume hawaaminiki isipokua mume wa Ablessed.ha ha kumbe unaaminika. vizuri kwa kutokuwepo kwenye group la wanawake wa himidini
hatuna jinsi thats why tunawakabidhi maisha yetu. lakini hati ya nyumba, kadi ya benki huzioni ng'ooo ha ha.
Na kwanini asiniamini?kama nimemuonesha bad sign lazma uaminifu upungue ama usiwepo kabisa! Lakin kama nina good communication lazma niaminiwe!! But kuamini unaosema wewe ni ktk nyanja ipi?Btw -kuna wanaume wachache sana huwaamini wanawake waliobakia wote zerooo!!
Yet, BEHIND EVERY SUCCESSFUL MAN THERE IS AN INTELLIGENT WOMAN!!!!!
Ni ww kweli!!?
..ipo wapi imani yako my dia?
...umesahau kuwa our rigth to receive anything based on his blood(Jesus)' camon
mnatuonea wajameni.......
that applies to both sides...........
hamtuamini yet mnatukabidhi maisha yenu........
kaazi kweli
usilie jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
we aya tu...............
So u dont trust me...........
all these years u still dont trust me!!!!!!!!!1