never trust a woman
Bwana Himidini watu hawadumu katika muhusiano kwa kuwa wanapendana sana,hasha! Ngoja nikupe kisa kimoja:-
Bwana mmoja alifanya annivensary ya kutimiza miaka 25 ya ndoa! Tukio hilo lilivuta sana hisia za mji aliokuwa anaishi huyu bwana kwa kuwa katika kipindi hicho chote hawakuwahi kutofautiana kwenye ndoa yao!
Siku ya maadhimisho ikabidi waandishi wa habari na wahariri kutoka vyombo mbali mbali vya habari kutaka kuju siri ya kudumu kwa ndoa hii,bwana mkubwa akafunguka!
Kwamba baada ya harusi yao yeye na mkewe walienda pahala kwa ajili ya fungate yao,siku ya mwisho ya fungate wakaamua kucheza mchezo wa kupanda farasi,yeye akapanda farasi aliyekuwa mtulivu huku mkewe akipanda farasi mapepe ambapo baada ya muda yule farasi alimbwaga mkewe!
Mkewe akamuonya farasi kwamba hii ni mara ya kwanza...Baada ya muda farasi akamdondosha tena,mke akamuonya hii ni mara ya pili...Alipomuangusha mara ya tatu yule bi dada alimlipua kwa risasi na kumuua pale pale,jamaa akahamaki na kumfokea mkewe kwamba umerukwa na akili? kwanini umemuua huyu mnyama masikini...mke akainuka akamkata jamaa jicho bayaaaaa kisha akamwambia hii ni mara ya kwanza...
Kuanzia hapo ndipo ndoa yenye furaha ilipoanzia!
^^
Tunatambua kuwa semi nyingi za kale zinabeba ukweli ambao leo utaukataa lakini ukikutana na masaibu ya maisha unarudi nyuma kuukubali.
...
Never trust a woman ni moja ya semi hizo.
Je ni kweli wanaume tusiwaamini wanawake? Je wanaume tunayo mambo ambayo hatuwezi kuwaambia wanawake? Je mwanamke unajisikiaje,mwanaume akisema hakuamini?

Inasemekana mkiaminiwa mnabadilika sana katika mahusiano,,Munkari can you be trusted?
^^
Dhana nzima ya kuamini inanipa tabu sana kuitafsiri kwenye eneo hili!!
Kukaa kwa akili na mke inamaanisha usimwamini?
^^
Tunatambua kuwa semi nyingi za kale zinabeba ukweli ambao leo utaukataa lakini ukikutana na masaibu ya maisha unarudi nyuma kuukubali.
...
Never trust a woman ni moja ya semi hizo.
Je ni kweli wanaume tusiwaamini wanawake? Je wanaume tunayo mambo ambayo hatuwezi kuwaambia wanawake? Je mwanamke unajisikiaje,mwanaume akisema hakuamini?
^^
Trust nobody even your own shadow banaa not just with the exceptional of a woman
Hasa kwa miaka hii!mmh!! uanamke ni kazi sana
Hapo kwenye bold nitajisikia vibaya sana iwapo nitaambiwa siaminiki au siaminiwi. Lkn namshukuru Mungu Mume wangu ananiamini na ninamuamini nje ya hapo hao wengine wote hata wasiponiamini sintojali sana.^^
Tunatambua kuwa semi nyingi za kale zinabeba ukweli ambao leo utaukataa lakini ukikutana na masaibu ya maisha unarudi nyuma kuukubali.
...
Never trust a woman ni moja ya semi hizo.
Je ni kweli wanaume tusiwaamini wanawake? Je wanaume tunayo mambo ambayo hatuwezi kuwaambia wanawake? Je mwanamke unajisikiaje,mwanaume akisema hakuamini?
^^
^^
Tunatambua kuwa semi nyingi za kale zinabeba ukweli ambao leo utaukataa lakini ukikutana na masaibu ya maisha unarudi nyuma kuukubali.
...
Never trust a woman ni moja ya semi hizo.
Je ni kweli wanaume tusiwaamini wanawake? Je wanaume tunayo mambo ambayo hatuwezi kuwaambia wanawake? Je mwanamke unajisikiaje,mwanaume akisema hakuamini?
^^
^^
Karibu Mwanafalsafa wa JF..
Mkabala wa imani unaotaka tutumie ni upi,,wa
theology,
metaphysics,
epstemology,
existentialism,
Realism,
Idealism au upi ili tupate dhana ya imani katika kuamini.
Eiyer
^^