Na kwanini asiniamini?kama nimemuonesha bad sign lazma uaminifu upungue ama usiwepo kabisa! Lakin kama nina good communication lazma niaminiwe!! But kuamini unaosema wewe ni ktk nyanja ipi?Btw -kuna wanaume wachache sana huwaamini wanawake waliobakia wote zerooo!!
Hapo umeongea mama na mimi nilitaka kugusia hapohapo lkn umeniwahi!Na kwanini asiniamini?kama nimemuonesha bad sign lazma uaminifu upungue ama usiwepo kabisa! Lakin kama nina good communication lazma niaminiwe!! But kuamini unaosema wewe ni ktk nyanja ipi?Btw -kuna wanaume wachache sana huwaamini wanawake waliobakia wote zerooo!!
Unajua inakuwa sio sahihi ukisema mwanamke haaminiki,inamaana mwanaume ndio anaaminika?Kwasababu kama mtu amepitia masahibu fulani mpaka kusababishia kutoaminika kwa mwanamke/mwanaume,maana yake ameathirika kisaikolojia..na hapa naongelea both parts...
Ni FIKRA POTOFU tu vitu vingine lazima tufikirie with LOGICS...Mfano kidini inasema mwanamke ni dhaifu na ni rahisi kushawishi na kushawishika na ndio maana hawezi kuaminika...Lakini kwa mtazamo wangu mimi I think this ball bounces both ways...^^
Hapa nimekupata vema,,afadhali sasa naanza kuelewa.
mimi49 ivi inakuaje tangu enzi na enzi rekodi zinaonyesha mwanamke hapaswi kuaminiwa na mwanaume ili ndoa na nyanja nyingine za maendeleo zifanikiwe?
^^
inategemea huyo mwanamke ni nani, na umwamini kwa sababu zipi?
kama ni mpenzi/mke wako kwa nini usimwamini? usipo mwamini mpenzi au mke wako utamwamini nani?
Haya makitu bwana Himidini hujawahi kukutana nayo uso kwa uso...mapenzi i mean..mswahili mmoja aliwahi kusema Those who love deeply never grown old; they may die of old age, but they die young...ukifikia hapa hutaacha kuamini/kumwamini!
Ila kuna kazi zetu zileee(za kung'oa kucha),ni bora kukaa kimya milele,usijiamini hata wewe binafsi, mkeo ajue tu wewe ni nani msibani ikitokea umekufa kabla yake!
^^
Hapa nimekupata vema,,afadhali sasa naanza kuelewa.
mimi49 ivi inakuaje tangu enzi na enzi rekodi zinaonyesha mwanamke hapaswi kuaminiwa na mwanaume ili ndoa na nyanja nyingine za maendeleo zifanikiwe?
^^