Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 14,250
- 40,779
Aisee huko ulikoitoa habari umekosea kuibeba, Netflix ametangaza kupungukiwa na subscribers na sababu sio kujitoa Russia, sababu ni kuwepo kwa streaming services nyingi ambazo ni mbadala wa neflix.
Baada ya kutangaza kupungukiwa na subscribers kumepelekea shares zao kushuka thamani, soko la hisa limefungwa leo huku wao wakiwa wamepoteza thamani. Ni mambo ya kawaida kwa kampuni kushuka thamani inapotoa taarifa kama hiyo.