Netflix yapata hasara ya trilioni 92 baada ya kujiondoa Urusi

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Vikwazo vinawaathiri sana mabeberu wakicheza na urusi watazidi kudidimia

KAMPUNI ya huduma ya utayarishaji maudhui mtandaoni ya Netflix yenye makao yake makuu nchini Marekani imepata hasara ya Sh trilioni 92.88 sawa na dola bilioni 40 baada ya kujiondoa Urusi na kupandisha gharama za shitariki (subscription) kwa Marekani na Uingereza.

Kwa mara ya kwanza katika zaidi ya muongo mmoja, Netflix wateja wake wamepungua kwa takribani shitariki 200,000 katika robo ya kwanza, ikiathiri utabili wake wa awali kwamba idadi ya watu ambao wangejisajili kupata huduma hiyo ingeongezeka kwa watumiaji milioni 2.5.

Urusi pekee imechangia hasara ya wateja 700000
 
Ila sisi maskn jaman. Vikampuni vya huko vina pesa kuliko budget zetu wakati tuna kila kitu
 
Harafu Putin wamuache hivi hivi? Thubutuuuu, kuna kitu kimeshawekwa jikoni huko Russia, baada ya masiku kadhaa moto utawashwa, baada ya hapo chombo kitachemka.
Russia sio kama Iraq, Libya, Sijui wapi. Hawa na US wamekuwa mahasimu muda mrefu sana and bado ipo tu.
Mimi sasa naelewa kwanini North Korea inafanya inachokifanya baada ya kusoma historia yao kwa umakini na kutazama biased history inayoonyeshwa pia NatGeo kila jumapili kuhusu North Korea
 
Ni kwamba wamepata hasara au faida imepungua kwa hicho kiasi?
 
Vikwazo vinawaathiri sana mabeberu wakicheza na urusi watazidi kudidimia

KAMPUNI ya huduma ya utayarishaji maudhui mtandaoni ya Netflix yenye makao yake makuu nchini Marekani imepata hasara ya Sh trilioni 92.88 sawa na dola bilioni 40 baada ya kujiondoa Urusi na kupandisha gharama za shitariki (subscription) kwa Marekani na Uingereza.

Kwa mara ya kwanza katika zaidi ya muongo mmoja, Netflix wateja wake wamepungua kwa takribani shitariki 200,000 katika robo ya kwanza, ikiathiri utabili wake wa awali kwamba idadi ya watu ambao wangejisajili kupata huduma hiyo ingeongezeka kwa watumiaji milioni 2.5.

Urusi pekee imechangia hasara ya wateja 700000
We ni muongo sana
 
mkuu weka link basi make wamarekani wa Namtumbo wameanza kupata pa kujichokonorea.
 
Vikwazo vinawaathiri sana mabeberu wakicheza na urusi watazidi kudidimia

KAMPUNI ya huduma ya utayarishaji maudhui mtandaoni ya Netflix yenye makao yake makuu nchini Marekani imepata hasara ya Sh trilioni 92.88 sawa na dola bilioni 40 baada ya kujiondoa Urusi na kupandisha gharama za shitariki (subscription) kwa Marekani na Uingereza.

Kwa mara ya kwanza katika zaidi ya muongo mmoja, Netflix wateja wake wamepungua kwa takribani shitariki 200,000 katika robo ya kwanza, ikiathiri utabili wake wa awali kwamba idadi ya watu ambao wangejisajili kupata huduma hiyo ingeongezeka kwa watumiaji milioni 2.5.

Urusi pekee imechangia hasara ya wateja 700000
Huyu MTU uwa anatoaga habari za uzushi sio wa kumsikiliza
 
Source?
 
Back
Top Bottom