Unakuta mtu anapaa alafu anasafiri na farasiHivi hii movie ilikua nzuri ? Mimi nikiona movie za hawa macho madogo naziruka tu naonaga ni kupaa tu mtindo mmoja🤔🤔
Dah ngoja nitaipakua kama ni hivyo .Hahaa moja ya series kali. Akili nyingi jamii za kina Prison Break. Humu hakuna kupaa.