Netanyahu: Jerusalem, Judea and Samaria will never again be taken from us!

Netanyahu: Jerusalem, Judea and Samaria will never again be taken from us!

15 Malaika wa Bwana akamwita Ibrahimu mara ya pili kutoka mbinguni
Mwanzo 22 :15

16 akasema, Nimeapa kwa nafsi yangu asema Bwana, kwa kuwa umetenda neno hili, wala hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee,
Mwanzo 22 :16

17 katika kubariki nitakubariki, na katika kuzidisha nitauzidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, na kama mchanga ulioko pwani; na uzao wako utamiliki mlango wa adui zao;
Mwanzo 22 :17

18 na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia; kwa sababu umetii sauti yangu.
Mwanzo 22 :18
 
58 Wakamwita Rebeka wakamwuliza, Je! Utakwenda na mtu huyu? Akasema, Nitakwenda.
Mwanzo 24 :58

59 Ndipo wakampeleka Rebeka ndugu yao, na yaya wake, na mtumishi wa Ibrahimu, na watu wake.
Mwanzo 24 :59

60 Wakambarikia Rebeka, wakamwambia, Ndugu yetu, uwe wewe mama wa kumi elfu, mara elfu nyingi, na wazao wako waurithi mlango wa hao wawachukiao.
Mwanzo 24 :60

61 Rebeka akaondoka na vijakazi wake, nao wakapanda juu ya ngamia, wakamfuata yule mtu. Naye huyo mtumishi akamchukua Rebeka akaenda zake.
Mwanzo 24 :61

62 Basi Isaka alikuwa amekuja kwa njia ya Beer-lahai-roi, maana alikaa katika nchi ya kusini.
Mwanzo 24 :62

63 Isaka akatoka ili kutafakari kondeni wakati wa jioni; akainua macho yake, akaona, kuna ngamia wanakuja.
Mwanzo 24 :63

64 Rebeka akainua macho, naye alipomwona Isaka, alishuka juu ya ngamia.
Mwanzo 24 :64

65 Akamwambia mtumishi, Ni nani mtu huyu ajaye kondeni kutulaki? Mtumishi akasema, Huyu ndiye bwana wangu. Basi akatwaa shela yake akajifunika.
Mwanzo 24 :65

66 Yule mtumishi akamwambia Isaka mambo yote aliyoyatenda.
Mwanzo 24 :66

67 Isaka akamwingiza Rebeka katika hema ya mama yake, Sara, akamtwaa Rebeka, akawa mkewe, akampenda; Isaka akafarijika kwa ajili ya kufa kwa mamake.
Mwanzo 24 :67
 
nyabhera

sorry siwezi kukuquote
biblia inaeleza wazi kulikuwa na uhasama kati ya nyumba ya Saul na nyumba ya daud .
Sasa Daud anaweza vipi kukaa matanga ya adui wake?,

kuhusu kabila na lugha zina tofauti ipi mimi sielewi,
ila najua nikitaka naandika kiswahili na kisha natafsi kisukuma ama kikulya kwa kuandika au hata kusema,

sasa hebu niandikie kiyahudi halafu utafsiri kibenjamini.

Niujuavyo mimi hakuna lugha ama kabila la benjamini,ila kuna ukoo wa benjamini,
sasa kama ukoo kumbe unaweza kuitwa kabila ama lugha ,basi mimi lugha yangu ni Maduhu
 
1 Ibrahimu alioa mke mwingine jina lake akiitwa Ketura.
Mwanzo 25 :1

2 Akamzalia Zimrani, na Yokshani, na Medani, na Midiani, na Ishbaki, na Sua.
Mwanzo 25 :2

3 Yokshani akamzaa Sheba, na Dedani; na wana wa Dedani walikuwa Waashuri na Waletushi, na Waleumi.
Mwanzo 25 :3

4 Na wana wa Midiani walikuwa, Efa, na Eferi, na Hanoki, na Abida, na Eldaa. Hao wote walikuwa ni wana wa Ketura.
Mwanzo 25 :4

5 Ibrahimu akampa Isaka yote aliyokuwa nayo.
Mwanzo 25 :5

6 Lakini wana wa masuria aliokuwa nao Ibrahimu, Ibrahimu akawapa zawadi, naye akawaondoa katika mahali alipokaa Isaka mwanawe, wakati wa uhai wake, waende pande za mashariki, mpaka nchi ya Kedemu.
Mwanzo 25 :6

7 Hizi ndizo siku za miaka ya maisha ya Ibrahimu alizoishi, miaka mia, na sabini na mitano.
Mwanzo 25 :7

8 Ibrahimu akafariki, naye akafa katika uzee mwema, mzee sana, ameshiba siku, akakusanyika kwa watu wake.
Mwanzo 25 :8

9 Isaka na Ishmaeli wanawe wakamzika katika pango ya Makpela, katika shamba la Efroni bin Sohari Mhiti, lielekealo Mamre.
Mwanzo 25 :9

10 Katika lile shamba alilolinunua Ibrahimu kwa wazawa Hethi, huko ndiko alikozikwa Ibrahimu na Sara mkewe.
Mwanzo 25 :10

11 Ikawa, baada ya kufa kwake Ibrahimu, Mungu akambariki Isaka mwanawe. Naye Isaka akakaa karibu ya Beer-lahai-roi.
Mwanzo 25 :11

12 Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli, mwana wa Ibrahimu, ambaye Hajiri, Mmisri, mjakazi wa Sara, alimzalia Ibrahimu.
Mwanzo 25 :12

13 Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
Mwanzo 25 :13

14 na Mishma, na Duma, na Masa,
Mwanzo 25 :14

15 na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.
Mwanzo 25 :15

16 Hao ndio wana wa Ishmaeli, na hayo ni majina yao, katika miji yao, na katika vituo vyao, maseyidi kumi na wawili kwa kufuata jamaa zao.
Mwanzo 25 :16

17 Na hii ndiyo miaka ya maisha ya Ishmaeli, miaka mia na thelathini na saba. Akakata roho, akafa, akakusanyika kwa watu wake.
Mwanzo 25 :17

18 Wakakaa toka Havila mpaka Shuri, unaoelekea Misri, kwa njia ya kwenda Ashuru. Akakaa katikati ya ndugu zake wote.
Mwanzo 25 :18

19 Na hivi ndivyo vizazi vya Isaka, mwana wa Ibrahimu. Ibrahimu alimzaa Isaka.
Mwanzo 25 :19

20 Isaka akawa mwenye miaka arobaini alipomtwaa Rebeka binti Bethueli, Mshami, wa Padan-aramu, ndugu wa Labani, Mshami, kuwa mke wake.
Mwanzo 25 :20

21 Isaka akamwomba Bwana kwa ajili ya mke wake, maana alikuwa tasa. Naye Bwana akamwitikia, na Rebeka mkewe akachukua mimba.
Mwanzo 25 :21

23 Bwana akamwambia,Mataifa mawili yamo tumboni mwako,Na kabila mbili za watu watafarakana tangu tumboni mwako.Kabila moja litakuwa hodari kuliko la pili,Na mkubwa atamtumikia mdogo.
Mwanzo 25 :23

24 Siku zake za kuzaa zilipotimia, tazama! Mapacha walikuwamo tumboni mwake.
Mwanzo 25 :24

25 Wa kwanza akatoka, naye alikuwa mwekundu mwili wote kama vazi la nywele. Wakamwita jina lake Esau.
Mwanzo 25 :25

26 Baadaye ndugu yake akatoka, na mkono wake unamshika Esau kisigino. Akaitwa jina lake Yakobo. Isaka alikuwa mwenye miaka sitini mkewe alipowazaa.
Mwanzo 25 :26

27 Watoto wakakua, Esau alikuwa mtu ajuaye kuwinda wanyama, mtu wa nyikani, na Yakobo alikuwa mtu mtulivu, mwenye kukaa hemani.
Mwanzo 25 :27

28 Basi Isaka akampenda Esau, kwa sababu alikula mawindo yake, na Rebeka akampenda Yakobo.
Mwanzo 25 :28

29 Yakobo akapika chakula cha dengu. Esau akaja kutoka nyikani, naye alikuwa amechoka sana.
Mwanzo 25 :29

30 Esau akamwambia Yakobo, Tafadhali, unipe hicho chakula chekundu nile, kwa kuwa ninazimia mimi. Kwa hiyo walimwita jina lake Edomu.
Mwanzo 25 :30

31 Yakobo akamwambia, Kwanza niuzie leo haki yako ya mzaliwa wa kwanza.
Mwanzo 25 :31

32 Esau akasema, Tazama, mimi ni karibu kufa, itanifaa nini haki hii ya uzazi?
Mwanzo 25 :32

33 Yakobo akamwambia, Uniapie kwanza. Naye akamwapia, akamwuzia Yakobo haki yake ya mzaliwa wa kwanza.
Mwanzo 25 :33

34 Yakobo akampa Esau mkate na chakula cha dengu, naye akala, akanywa, kisha akaondoka, akaenda zake. Hivyo Esau akaidharau haki yake ya mzaliwa wa kwanza.
Mwanzo 25 :34
 
1 Basi Isaka akamwita Yakobo, akambariki, akamwagiza akamwambia, Usitwae mke wa binti za Kanaani.
Mwanzo 28 :1

2 Ondoka, uende Padan-aramu, mpaka nyumba ya Bethueli baba ya mama yako, ukajitwalie huko mke katika binti za Labani, ndugu wa mama yako.
Mwanzo 28 :2

3 Na Mungu Mwenyezi, akubariki, akuzidishe, na kukuongeza, ili uwe mkutano wa makabila.
Mwanzo 28 :3

4 Akupe mbaraka wa Ibrahimu, wewe na uzao wako pamoja nawe, upate kuirithi nchi ya kusafiri kwako, Mungu aliyompa Ibrahimu.
Mwanzo 28 :4

5 Basi Isaka akampeleka Yakobo, naye akaenda Padan-aramu, kwa Labani, mwana wa Bethueli, Mshami, ndugu wa Rebeka, mama yao Yakobo na Esau.
Mwanzo 28 :5

10 Yakobo akatoka Beer-sheba, kwenda Harani.
Mwanzo 28 :10

11 Akafika mahali fulani akakaa huko usiku kucha, maana jua lilikuwa limekuchwa; akatwaa jiwe moja la mahali pale akaliweka chini ya kichwa chake, akalala usingizi pale pale.
Mwanzo 28 :11

12 Akaota ndoto; na tazama, ngazi imesimamishwa juu ya nchi, na ncha yake yafika mbinguni. Tena, tazama, malaika wa Mungu wanapanda, na kushuka juu yake.
Mwanzo 28 :12

13 Na tazama, Bwana amesimama juu yake, akasema, Mimi ni Bwana, Mungu wa Ibrahimu baba yako, na Mungu wa Isaka; nchi hii uilalayo nitakupa wewe na uzao wako.
Mwanzo 28 :13

14 Na uzao wako utakuwa kama mavumbi ya nchi, nawe utaenea upande wa magharibi, na mashariki, na kaskazini, na kusini; na katika wewe, na katika uzao wako, jamaa zote za dunia watabarikiwa.
Mwanzo 28 :14

15 Na tazama, mimi nipo pamoja nawe, nitakulinda kila uendako, nami nitakuleta tena mpaka nchi hii, kwa maana sitakuacha, hata nitakapokufanyia hayo niliyokuambia.
Mwanzo 28 :15

16 Yakobo akaamka katika usingizi wake, akasema, Kweli Bwana yupo mahali hapa, wala mimi sikujua.
Mwanzo 28 :16

17 Naye akaogopa akasema, Mahali hapa panatisha kama nini! Bila shaka, hapa ni nyumba ya Mungu, napo ndipo lango la mbinguni.
Mwanzo 28 :17

18 Yakobo akaondoka asubuhi na mapema, akalitwaa lile jiwe aliloliweka chini ya kichwa chake, akalisimamisha kama nguzo, na kumimina mafuta juu yake.
Mwanzo 28 :18

19 Akaita jina la mahali pale Betheli; lakini jina la mji ule hapo kwanza uliitwa Luzu.
Mwanzo 28 :19
 
21 Yakobo akamwambia Labani, Nipe mke wangu, maana siku zangu zimetimia; niingie kwake.
Mwanzo 29 :21

22 Labani akakusanya watu wote wa mahali pale, akafanya karamu.
Mwanzo 29 :22

23 Ikawa wakati wa jioni akamtwaa Lea, binti yake, akamletea Yakobo, naye akaingia kwake.
Mwanzo 29 :23

24 Labani akampa Lea mjakazi wake Zilpa, awe mjakazi wake.
Mwanzo 29 :24

25 Ikawa, kulipokuwa asubuhi, kumbe! Ni Lea. Akamwambia Labani, Nini hii uliyonitenda?
Mwanzo 29 :25

26 Sikukutumikia kwa Raheli? Mbona umenidanganya? Labani akasema, Havitendeki hivi kwetu, kumtoa mdogo kabla ya mkubwa;
Mwanzo 29 :26

27 timiza siku zake saba, nasi tutakupa huyu naye kwa utumishi utakaonitumikia, miaka saba mingine.
Mwanzo 29 :27

28 Yakobo akafanya hivi, akatimiza siku zake saba. Naye akampa Raheli binti yake kuwa mkewe.
Mwanzo 29 :28

29 Labani akampa binti yake Raheli mjakazi wake Bilha, awe mjakazi wake.
Mwanzo 29 :29

30 Akaingia kwa Raheli naye, akampenda Raheli kuliko Lea, akatumika kwa ajili yake miaka saba mingine.
Mwanzo 29 :30

31 Bwana akaona ya kwamba Lea hakupendwa, naye akafungua tumbo lake; bali Raheli alikuwa hazai.
Mwanzo 29 :31

32 Lea akapata mimba akazaa mwana, akampa jina lake, Reubeni, maana alisema, Kwa kuwa Bwana ameona teso langu; sasa mume wangu atanipenda.
Mwanzo 29 :32

33 Akapata mimba tena akazaa mwana, akasema, Kwa kuwa Bwana amesikia ya kwamba mimi sikupendwa, amenipa na huyu; akamwita jina lake Simeoni.
Mwanzo 29 :33

34 Akapata mimba tena, akazaa mwana, akasema, Basi wakati huu mume wangu ataungana nami, kwa sababu nimemzalia wana watatu. Kwa hiyo akamwita jina lake Lawi.
Mwanzo 29 :34

35 Akapata mimba tena, akazaa mwana. Akasema, Mara hii nitamsifu Bwana; kwa hiyo akamwita jina lake Yuda; akaacha kuzaa.
Mwanzo 29 :35
 
21 Yakobo akamwambia Labani, Nipe mke wangu, maana siku zangu zimetimia; niingie kwake.
Mwanzo 29 :21

22 Labani akakusanya watu wote wa mahali pale, akafanya karamu.
Mwanzo 29 :22

23 Ikawa wakati wa jioni akamtwaa Lea, binti yake, akamletea Yakobo, naye akaingia kwake.
Mwanzo 29 :23

24 Labani akampa Lea mjakazi wake Zilpa, awe mjakazi wake.
Mwanzo 29 :24

25 Ikawa, kulipokuwa asubuhi, kumbe! Ni Lea. Akamwambia Labani, Nini hii uliyonitenda?
Mwanzo 29 :25

26 Sikukutumikia kwa Raheli? Mbona umenidanganya? Labani akasema, Havitendeki hivi kwetu, kumtoa mdogo kabla ya mkubwa;
Mwanzo 29 :26

27 timiza siku zake saba, nasi tutakupa huyu naye kwa utumishi utakaonitumikia, miaka saba mingine.
Mwanzo 29 :27

28 Yakobo akafanya hivi, akatimiza siku zake saba. Naye akampa Raheli binti yake kuwa mkewe.
Mwanzo 29 :28

29 Labani akampa binti yake Raheli mjakazi wake Bilha, awe mjakazi wake.
Mwanzo 29 :29

30 Akaingia kwa Raheli naye, akampenda Raheli kuliko Lea, akatumika kwa ajili yake miaka saba mingine.
Mwanzo 29 :30

31 Bwana akaona ya kwamba Lea hakupendwa, naye akafungua tumbo lake; bali Raheli alikuwa hazai.
Mwanzo 29 :31

32 Lea akapata mimba akazaa mwana, akampa jina lake, Reubeni, maana alisema, Kwa kuwa Bwana ameona teso langu; sasa mume wangu atanipenda.
Mwanzo 29 :32

33 Akapata mimba tena akazaa mwana, akasema, Kwa kuwa Bwana amesikia ya kwamba mimi sikupendwa, amenipa na huyu; akamwita jina lake Simeoni.
Mwanzo 29 :33

34 Akapata mimba tena, akazaa mwana, akasema, Basi wakati huu mume wangu ataungana nami, kwa sababu nimemzalia wana watatu. Kwa hiyo akamwita jina lake Lawi.
Mwanzo 29 :34

35 Akapata mimba tena, akazaa mwana. Akasema, Mara hii nitamsifu Bwana; kwa hiyo akamwita jina lake Yuda; akaacha kuzaa.
Mwanzo 29 :35

Mkuu biblia tunazo au tunajua sehemu ya kuzitafuta hizo verse, si lazima uhamishie bible nzima hapa
 
KUZAA NA VIJAKAZI MUNGU ALIBARIKI TU??.?

1 Naye Raheli alipoona ya kuwa hamzalii Yakobo mwana, Raheli alimwonea ndugu yake wivu. Akamwambia Yakobo, Nipe wana; kama sivyo, nitakufa mimi.
Mwanzo 30 :1

2 Yakobo akamghadhibikia Raheli, akasema, Je! Mimi ni badala ya Mungu, aliyekuzuilia uzao wa mimba?
Mwanzo 30 :2

3 Akasema, Yuko mjakazi wangu, Bilha, uingie kwake ili kwamba azae juu ya magoti yangu, nami nipate uzao kwa yeye.
Mwanzo 30 :3

4 Basi akampa Bilha mjakazi wake kuwa mkewe. Yakobo akaingia kwake.
Mwanzo 30 :4

5 Naye Bilha akapata mimba, akamzalia Yakobo mwana.
Mwanzo 30 :5

6 Raheli akasema, Mungu amenipa haki yangu, naye amesikia sauti yangu, akanipa mwana. Kwa hiyo akamwita jina lake Dani.
Mwanzo 30 :6

7 Bilha, mjakazi wa Raheli, akapata mimba tena, akamzalia Yakobo mwana wa pili.
Mwanzo 30 :7

8 Raheli akasema, Kwa mashindano makuu nimeshindana na ndugu yangu, nikashinda. Akamwita jina lake Naftali.
Mwanzo 30 :8

9 Lea alipoona ya kuwa ameacha kuzaa, alimtwaa Zilpa, mjakazi wake, akampa Yakobo kuwa mkewe.
Mwanzo 30 :9

10 Zilpa, mjakazi wa Lea, akamzalia Yakobo mwana.
Mwanzo 30 :10

11 Lea akasema, Bahati njema! Akamwita jina lake Gadi.
Mwanzo 30 :11

12 Zilpa, mjakazi wa Lea, akamzalia Yakobo mwana wa pili.
Mwanzo 30 :12

13 Lea akasema, Ni heri mimi, maana wanawake wataniita heri. Akamwita jina lake Asheri.
Mwanzo 30 :13

16 Yakobo akaja kutoka kondeni jioni, Lea akatoka kumlaki, akasema, Lazima uje kwangu, kwa sababu nimekuajiri, kwa tunguja za mwanangu; akalala kwake usiku ule.
Mwanzo 30 :16

17 Mungu akamsikia Lea, naye akapata mimba, akamzalia Yakobo mwana wa tano.
Mwanzo 30 :17

18 Lea akasema, Mungu amenipa ujira wangu, kwa sababu nimempa mume wangu mjakazi wangu. Akamwita jina lake Isakari.
Mwanzo 30 :18

19 Lea akapata mimba tena, akamzalia Yakobo mwana wa sita.
Mwanzo 30 :19

20 Lea akasema, Mungu amenipa mahari njema, sasa mume wangu atakaa nami, kwa kuwa nimemzalia wana sita. Akamwita jina lake Zabuloni.
Mwanzo 30 :20

21 Baadaye akazaa binti, akamwita jina lake Dina.
Mwanzo 30 :21

22 Mungu akamkumbuka Raheli; Mungu akamsikia, akamfungua tumbo.
Mwanzo 30 :22

23 Akapata mimba, akazaa mwana, akasema, Mungu ameondoa aibu yangu.
Mwanzo 30 :23

24 Akamwita jina lake Yusufu, akisema, Bwana aniongeze mwana mwingine.
Mwanzo 30 :24
 
Do you know the meaning of a nation ???
How can a single man "Abraham" with two wives form a nation ???
Mungu anaweza yote, mtu mmoja anaweza kulifanya Taifa kutoka kwake huyo, hata wewe Mungu akikuchagua kutoka kwako litakuwepo Taifa
 
Mkuu biblia tunazo au tunajua sehemu ya kuzitafuta hizo verse, si lazima uhamishie bible nzima hapa


SAWA MKUU YA MWISHO HII.

24 Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
Mwanzo 32 :24

25 Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye.
Mwanzo 32 :25

26 Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki.
Mwanzo 32 :26

27 Akamwuliza, Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo.
Mwanzo 32 :27

28 Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.
Mwanzo 32 :28

29 Yakobo akamwuliza, akasema, Niambie, tafadhali, jina lako? Akasema, Kwa nini waniuliza jina langu? Akambariki huko.
Mwanzo 32 :29

30 Yakobo akapaita mahali pale, Penueli, maana alisema, Nimeonana na Mungu uso kwa uso, na nafsi yangu imeokoka.
Mwanzo 32 :30

32 Kwa hiyo wana wa Israeli hawali ule mshipa ulio katika uvungu wa paja hata leo; maana alimgusa Yakobo panapo uvungu wa paja katika mshipa wa kiuno.
Mwanzo 32 :32
 
Mimi ni mpenzi wa kusoma vitabu vitakatifu Quran na Biblia. Sasa nilikuja kuchanganyikiwa pale story moja iliyopo katika vitabu hivyo zinavyotofautiana ma stealing wake. Habari ya Ibrahim kuamriwa kumtoa mwanae wa pekee sadaka ipo pande zote mbili ila utata unakuja pale Quran inapposema kuwa mtoto aliyetaka kutolewa sadaka ni ISHMAEL mtoto wa HAJIR aliyekuwa mjakazi wa SARAT ambaye alikuwa hazai na baadaye kwa ahadi ya Mungu alimzaa mtoto wa uzeeni aitwaye ISIAKA.ambaye wasoma bilia wanaamini kuwa ndiye alitaka kutolewa sadaka.

1.Kuna baadhi ya wadadisi wa mambo wanaamini kuwa ISHMAEL mtoto wa HAJIR ndio uzao wake ulikuja kuwa WAARABU na Waislam

2.Kuna badhi ya wachambuzi wanaamini kuwa uzao wa ISIAKA ndio ulikuja kutoa WAYAHUDI ambao wana dini zao , na baadaye Ukristo ukazaliwa kutokana na uzao huu
 
Mfalme wa kwanza wa israel ni Saul,

baada ya hapo mpiga zumari wa mfalme,yaani Daud wa kabila la yuda akajitenga na kutawadhwa na nabii samweli kuwa mfalme wa yuda,kisha akaanzisha vita,civil war na kumuua Saul,kisha mtoto wa saul akaapishwa kuwa mfalme wa israel,kisha tena Daud akamuua mtoto wa sauli na kujitangaza mfalme wa israel yote,United kingdom of israel,
Daud akamzaa suleiman,lakini seleman hakutakiwa kuwa mfalme,mtoto mkubwa wa Daud ndo alitaka awe mfalme,mamake selemani akacheza mpaka mwanae ndo akawa mfalme,
wakati wa seleman palitulia kidogo,lakini alipokufa tu,utawala ukaganyika na haukupata kuungana tena.
Eneo ilipo west bank ndo ilikuwepo judea,
tatizo hapa ni kuwa israel wanashindwa watawapeleka wapi wapalestina,wakitaka kuwaua wote hawawezi,
wakitaka kuwapa uraia,
tatizo wapalestina wanazaliana mno,waisrael wanaogopa watamezwa,
sasa wana opt kuwaua taratibuna kuwaweka mazingira magumu labda baada ya miaka 1000 watatoweka,na ni vigumu wapalestina nao ndo wanazaana sana kufidia wale wanaouawa,huku waisrael wakizaa kizungu kwa mpango,
sasa guesse baada ya miaka 200 hali itakuwaje,
japo waziri wa mambo ya nje wa zamani wa marekani ,Henry kissinger ambae pia ni myahudi,kanukuliwa akisema,israel haitakuwepo katika miaka 10 ijayo
Kumbe wafilisti ni tabia yao ya kuzaana na kuongezeka kwa fujo sasa hapa nimepata kuelewa lengo la kale kambinu kao ka kuoa mke zaidi ya mmoja mpaka watano kalipoanzia mpaka kwenye ile imani yao
 
Samaria ni makao makuu ya Ufalme wa Israel,
Wakati Yerusalemu ni makao makuu ya Ufalme wa Yuda.
Baada ya Mfalme Suleimani kufa Ufalme wa Israeli uligawanyika sehemu mbili.
Kaskazini makabila kumi ya Israel (Ufalme wa Israel) na Kusini makabila mawili ya Yuda na Benjamini (Ufalme wa Yuda)
Lakini ukizungumzia Israel humaanishi Yuda na Israel Bali wana wa Yakobo kwa ujumla wao kwa hiyo hakuna tofauti
 
Do you know the meaning of a nation ???
How can a single man "Abraham" with two wives form a nation ???
Wala sio kwa wake wawili bali kwa mke mmoja Sara na kwa mtoto mmoja wa uzeeni Isaka ambae kwa huyo Mungu alimwahidi Ibrahimu kuwa taifa na kwa yeye mataifa yote watabarikiwa.Taifa linaanza kwa familia ,ukoo,kabila ,makabila then taifa nini cha ajabu?
 
How did Abraham and his two wives form a nation called Israel ???
Point of correction,Abraham hakufanywa taifa na wake wawili bali mmoja tu Sara.Abrahamu akamzaa Isaka, Isaka akawazaa Yakobo na Esau,Yakobo akawazaa wana 12,ndizo kabila kumi na mbili za Israel na taifa la Israel.Shida nini jameni?
 
Wala sio kwa wake wawili bali kwa mke mmoja Sara na kwa mtoto mmoja wa uzeeni Isaka ambae kwa huyo Mungu alimwahidi Ibrahimu kuwa taifa na kwa yeye mataifa yote watabarikiwa.Taifa linaanza kwa familia ,ukoo,kabila ,makabila then taifa nini cha ajabu?

Najua taifa linaanza kwenye ngazi ya familia, (Hii siyo mada yangu ya leo)
Swali langu ni rahisi tu sanaaa na wewe hujajibu hata nusu.
Lini taifa la Wahebrania lilizaliwa rasmi ???


Lakini ukizungumzia Israel humaanishi Yuda na Israel Bali wana wa Yakobo kwa ujumla wao kwa hiyo hakuna tofauti

Bahati mbaya sana mimi simaanishi Israel Mtu, (Natural Person)
Namaanisha Israel taifa lenye makabila kumi (An artificial political entity).
 
Point of correction,Abraham hakufanywa taifa na wake wawili bali mmoja tu Sara.Abrahamu akamzaa Isaka, Isaka akawazaa Yakobo na Esau,Yakobo akawazaa wana 12,ndizo kabila kumi na mbili za Israel na taifa la Israel.Shida nini jameni?

Andiko linasema na kwa habari za Ishmael numekusikia naye nimembariki nitamfanya kuwa Taifa kubwa. Atazaa Maseyyidi kumi na wawili!

Hivi unadhani kwa kuwa Uzao wa Ishmael hawakuandika Struggle zao kama vile Uzao wa Isaka ulivyofanya kupitia biblia yao ndo unadhani hawana Stori za kusimulia laiti nao wangeandika?.

Nashangaa mnawagombanisha Ishmael na Isaka mtu na kaka yake wakati walikuwa brothers wanapendana na wote walikuwa pamoja katika mazishi ya baba yao!. Acheni kufitinisha ndugu nyinyi!

Kama ulitokea ugomvi utotoni kati ya Isaka na Ishmael basi yalikuwa mambo ya utotoni!

Nawashangaa wanaomsimanga Ishmael wakati bible imemtaja vizuri kweli, kwanza
1. Jina lake kapewa na Malaika
2. Mungu kasema atambariki
3. Mungu kasema atamfanya Taifa kubwa
4. Mungu kasema atazaa Maseyyid 12

Nyie mnaomsimanga Ishmael wapi Mungu amewataja nyinyi japo kwa robo ya baraka kama za Ishmael?
 
Ukisoma maneno ya Netanyahu tu hapo juu ,utaona kuna kitu hakiko sawa,
netanyau anadai ",we are called Jews because we came from JUDEA".

Hapa outomatically wana wengine wa israel wamekuwa excluded.

Huu ni ubaguzi sana,na ukiwauliza wanajibu simply kuwa yale makabila kumi yalipotea,
lakini mbona watu wa makabila ya ephraim,manase bado wapo,na wao wanatenga kwa kuwaita si wayahudi bali ni wasamalia?,
kwanini wanakwepa kusema sio wayahudi bali ni waisrael?
 
Point of correction,Abraham hakufanywa taifa na wake wawili bali mmoja tu Sara.Abrahamu akamzaa Isaka, Isaka akawazaa Yakobo na Esau,Yakobo akawazaa wana 12,ndizo kabila kumi na mbili za Israel na taifa la Israel.Shida nini jameni?

Abraham alipewa ahadi kwamba Uzao wake ndiyo utakuwa taifa kubwa. (Siyo yeye)
Yeye hadi anakufa hakuwahi kuona taifa (political entity) linaitwa Israel: Read between the lines!
Hata Yakobo anashuka Misri aliambiwa huko ntakufanya uwe taifa kubwa lakini binafsi hakuwahi kuona taifa la Israel.
Miaka 400 baada ya yeye utumwa wa Misri taifa la Israeli ndiyo likatengenezwa na Joshua na Kalebu......
 
Back
Top Bottom