Netanyahu: Jerusalem, Judea and Samaria will never again be taken from us!

Netanyahu: Jerusalem, Judea and Samaria will never again be taken from us!

Not all twelve tribes were children of Jacob, two of those are sons of Joseph ( Manaseh and Ephraim)
That makes 14 not 12 brother! Its true, but they were not from Jacob's waist though Jacob counted them as his children, yet the Bible says Jacob had 12 sons

Vv
 
Kama UN (Dunia) Itawaacha Israel vs Palestina wazichape mpaka mmoja abakie na atakayechapwa apotezwe kabisa na afutike kwenye hii planet A
Ingependeza
 
Kumbe wafilisti wanapiga sana vyombo??
anaeyajua.haya lzm anakuwa member ktk hizo Club. halafu majina ya members pia huwa yanafanana na Club hizo.

Sasa kwa ushauri tu hizi balaa msituletee Bongo kaka uji uji . tafadhali sana
 
That makes 14 not 12 brother! Its true, but they were not from Jacob's waist though Jacob counted them as his children, yet the Bible says Jacob had 12 sons

Vv

12 tribes of Israel are named after 10 sons of Jacob and 2 sons of Joseph
 
Dhana ya neno israel imetokana na pale mungu alipomuambia yakobo jina lako utaitwa israel na sio yakob tena, huyu israel kizazi chake baada ya kuishi misri utumwani kwa muda mrefu ndipo musa alipo alipotumwa kuwakomboa na kuwapeleka ktk nchi ya ahadi kanaani kutokea misri, kwahivo wakawa ni wana wa israel waliotokea utumwani kuelekea kanaani nchi walioahidiwa,


Sasa kwa nn mbishane kutaja jina la nchi ambalo kiuhalisia ni jina la mtu alieitwa yakobo ambae alibadilishiwa jina na mungu nabkuitwa israel na vizazi vyake vikajulikana kama wana wa israel yan watoto wa israel ambae ni yakobo kisha mkaliacha jina halisi la nchi ile ambalo ni kaanani?

Acheni kelele zenu bana. Nisawa na sasa ivi nchi iitwe tanzania halafu apatikane msukuma mmoja maarufu sana na anawatoto wengi wenye nguvu na ushawaishi na huyo msukuma aitwe shuli halafu watu waseme lile taifa ni la wana shuli baadae waje walibatize hilo jina la shuli kua la nchi.
 
Back
Top Bottom