Tatizo nimekwambia nyuma. Issue ni Agano Wana Wa Israel wanaotunza agano ndo wataorudishwa. Issue si genetics hiyo haki ilichepuka kwa Wasamaria kama vile Agano la Ibrahimu lisivyomhusu Ishamael na kama Vile haki za Isaka zisivyomuhusu Hesau.Kwa hiyo hapa unataka kusema Biblia na manabii wanaongopa, ???
11. And it shall come to pass on that day, that the Lord will set His hand again the second time to recover the remnant of His people, that shall remain from Assyria, and from Egypt and from Pathros and from Kush and from Eklam and from Shinar and from Hamath and from the islands of the sea.
12. And he shall set up an ensign for the nations and will assemble the dispersed of Israel and gather together the scattered of Judah from the four corners of the Earth.
Isaiah 11: 11-12
3 "The days are coming, 'declares the LORD,' when I will bring my people Israel and Judah back from captivity and restore them to the land I gave their ancestors to possess," says the LORD.
Jeremiah 30:3
NB: Teh teh teh teh, kweli manabii wa uwongo mpo wengi sana.
Note Jews and Judaism hawajawi kuchangamna na mataifa hadi kesho.
Tatizo nimekwambia nyuma. Issue ni Agano Wana Wa Israel wanaotunza agano ndo wataorudishwa. Issue si genetics hiyo haki ilichepuka kwa Wasamaria kama vile Agano la Ibrahimu lisivyomhusu Ishamael na kama Vile haki za Isaka zisivyomuhusu Hesau.
Na Wanarudi sasa nashangaa munalalama wakati mkijua kabisa ni neno la Mungu
Kwahiyo unataka tudangaye wayahudi ndiyo Wenye nchiSasa kwa nini mnajipendekeza kwao wakati wao ni " Wapinga Kristo"?
They are Lost= No where to be found.They lost? You meant that they are not existed?
Maasi ya Wamakabayo/ Maccabees yako recorded kidogo kwenye bible.Wewe unaongopa sana,
Wayahudi walichangamana sana na Wagiriki kipindi Seleucid Empire inatawala Yuda.
Hadi ilipelekea Makuhani kuasi kwasababu Wayahudi walianza kufuata Hellenistic Traditions za Kigiriki.
Walianza kula nguruwe na kuvaa kama Wagiriki halafu wakaanza kuona na Wagiriki.
Haya yalifanyika mnamo mwaka 167-160 BCE,
Hii ilipelekea familia za kikuhani Al maaruf kama The Maccabees kuanzisha vita dhidi ya Ufalme wa Seleucid.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba Wayahudi wa sasa siyo Wayahudi wa miaka ile ya kina Bwana Yesu au Daudi.
NB: Usisahau kwamba Wayahudi wa leo wamegawanyika katika makundi tofauti kabisa kama;
Jiulize sasa ,
- Ashkenazim- Hawa ni Wayahudi wa Ulaya na hawana tofauti kimuonekano na Donald Trump au Pik Botha.
- Sephardim- Hawa ni Wayahudi waliobaki Palestina na hawana tofauti kimuonekano na Waarabu.
- Mizrahi- Hawa ni Wayahudi waliotekea Afrika Magharibi na wanamuonekano wa huko.
- Falahasha Jew- Hawa ni Wayahudi waliotokea Ethiopia na ni weusi kama Baloteli.
Kama hawajachanganyika kwanini wako tofauti sana kimuonekano na kitamaduni ???
Daudi hakupanga kumuua Mwana Wa Saul. Tena kwa Amri yake aliagiza wauwawe waliomuua Mwana Wa Saul. Tena alimzika yeye Mwana Wa Saul na kumkalia Matanga.nyabhera,
unaposema Daud hakuuwa Saul bali aliuawa na watumishi wake,ni sawa na kusema Joseph kabila hakumuua Laurent kabila bali aliuawa na bodyguard wake,
ama idd amin hakumuua mtu yeyote bali waliouwa ni wafanyakazi wa malyamungu.
Daud alikuwa muuaji,na hilo liko wazi kabisa,
pia unabishana na biblia kusema kuwa mtoto wa sauli hakuwa mfalme wa israel,lakini ukweli ndo huo,ukiendelea kubisha nakuwekea kifungu cha bible,
daud alitawazwa na samweli kuwa mtawala wa yuda kwanza kabla mwana wa saul hajauawa ndo Daud akawa mtawala wa israel na yuda,
kuna watu pia wanajidanganya eti kuna kabila sijui la yuda,benjamini etc,
in reality ukweli ni kuwa hakuna hata kitu kinaitwa kabila la kiyahudi,ni usanii tu,
watu wa samaria na wale wa yuda waliongea lugha moja,kilichowatofautisha ni hizo koo tu,ni sawa na kusema uzae watoto watano,sasa kila hao watoto wakiwa na famili unaita hawa ni wana wa maduhu,hawa wana wa masanja,wana wa sita,wana wa matogoro,wana wa Nindwa etc,
hakuna kabila hapo wote wataitwa wasukuma tu,
maana kuna watu wakisikia wayahudi ni makabila ya Yuda na Benjamini basi wanafikiri kweli kuna namna ya kuongea kibenjamini ama kiyuda tofauti na wale wana wa manase,ephraim etc
Mstari gani wa Biblia unazungumzia Wamakabayo na Ufalme wa Seleucid ??? Uweke hapa tuuone.Maasi ya Wamakabayo/ Maccabees yako recorded kidogo kwenye bible.
Yalikua ya kisiasa Wamakabayo walikua wakitaka free state. Na walishindwa.
Torati na Agano vilitunzwa chini ya kile wanachoita Jewish Community. Huko ndiko Wayahudi wawekeana rekodi za vizazi nabvifo hadi Leo ukisema wewe ni myahudi cha kwanza utaulizwa utaje Jewish community yako na atatafutwa Rabi mkuu Wa hiyo Jewish Community na kuthibitisha Uyahudi wako.
Jewish community zilikua kila mahala wayahudi walipokuwepo. Ziliweka rekodi zote za vizazi na vifo vya wayahudi.
Kuhusu makundi ya Wayahudi Ashkenazi na nk haya yapo kutokana na makazi yao walikolowea. Mfano Ashkenazi ni Waisrael waliolowea Maeneo ya Ujeruman na Ulaya.
Kuhusu kutifautiana muenekano hili ni suala la kibaolojia..
Jibu lake ni lilelile kwa nini kunarangi tofauti za watu ikiwa asili moja.
Note hawa watu wameishi katika jiografia tofuti tofauti kwa miaka zaidi ya 2000.
Unajua effect ya food selection kwenye maumbile?
jiulize tu hata hapa Afrika kwa nini Jamii za kifugaji kama Kalamajong, Maasai and etc zinafafana mionekano.
Hivyo hivyo Jamii za kikulima hufanana mienekano. Mfano Haya, Nyakyusa na nk
Kuhusu hili tafiti kwanini Watusti na Wahutu Rwanda wanatofautiana mionekano na wrote by oral tradition zao wansema ni Ndugu asili moja achana na. Eurocentric/Hamite Hypothesis... basing to Prof Mahamdu Mahamadan.. When Victims become Killers.
Kwa ufupi maumbile ni zao la Food selection and geographical factors.
Note wapo hadi Indian Jews wanafanana na Wahidi kabisa. Pia kuna Bantu Jews wako Zimbabwe ijapokuwa bado Jews Community yao inajadiliwa.
There's no USSR, that thing was dismantled. You could've at least mentioned Tibet, Goa, etc..OK. Kwa nini tuanzie kwenye colony la Palestine na si kabla ya hapo. State formation its big than law itself.
Cases. Like Ukraine in relation to USSR. For that case USSR has locus stand to claim whole Ukraine.
Consider that UN started at 1945 and the case of Palestine-Israel has 3000 year of conflict and wars.
Yesu nae aliwaita Wasamaria hhah naye alipiga Propaganda. Haha umeamua kutunga.Baada ya kufa solomoni,makabila(koo) yale kumi ya israel yalijitenga na kuanzisha ufalme wao wa ISRAEL ukiwa na mji mkuu wa samaria huku wana wa Yuda na Benjamini wakibaki na ufalme wa yuda mji wao ukiwa yerusalem,
hawa wa yudea waliamini mungu alieitwa Yahweh ama jehova kwa kiswahili,huku wale waisrael wakiabudu mungu aitwae El.
Baada ya israel kuvamiwa na waasyria na kutekwa na lazima ifahamike kuwa kisa cha kuvamiwa na kutekwa ni pale mfalme pekah wa israel na yule wa syria kumfuata mfalme wa yuda na kumtaka waungane kuiasi Asyria empire,
mfalme wa yudah akagoma,israel na syria wakaanza kujiandaa kuishambulia yudah,
yudah ulikuwa ufalme masikini na weak,mfalme akakimbilia kwa wa Asyria na kwenda kuwasnitch israel na syria,
asyria wakaahidi kumlinda,na wakashambulia utawala wa israel na kuuangusha na kisha wakashambulia utawala wa syria na kuungusha,
sasa pale israel,kuna waisrael walibaki wengi tu,hawakwenda utumwani Asyria,
yudea wakaanza kuenea imani yao kule samaria,wakafanya propaganda kuwa yale makabila kumi ndo yashapotea na hayatapatikana tena,wakayabadili maandiko yaendane na propaganda hizo,na pia maandiko ya waisrael wakayachanganya na yao na kujaribu kuedit,na hiki ndo chanzo kwanini agano la kale lina contradiction,mfano ukisoma mwanzo 1 na Mwanzo 2 ni maandiko kutoka vyanzo viwili tofauti,
na ndo mwanzo wa mkanganyiko wa zama hizi kuwa mungu ni yahwew ama ni El,
walichofanya wayahudi baada ya wao nao kutoka utumwani babeli ni kuyapitia maandiko upya na kujaribu kumfuta mungu El aliekuwa akiabudiwa na waisrael wa samaria.
Halafu wale waisrael wakaanza kuitwa eti Wasamalia ili kuficha ukweli kuwa nao ni waisrael japo si wayahudi.
Mpaka leo hii wasamalia wanafuata vitabu vitano vya agano la kale,lakini wamegoma kufuatwa maandiko ya wayahudi mfano akina Samweli,isaya etc
Ohh.. Mi ni M Orthodox. In short bible yangu inakitabu kinaitwa MakabayoMstari gani wa Biblia unazungumzia Wamakabayo na Ufalme wa Seleucid ??? Uweke hapa tuuone.
Halafu mbona Wamakabayo waliwashinda Wagiriki na Mfalme Antiochus alishindwa. Wewe hili la Wamakabayo kushindwa umelitoa wapi ???
Halafu uasi ulioshindwa ni ule wa Metsada dhidi ya Rumi mnamo karne ya 70A.D. Hekalu likavunjwa na Wayahudi wakafurumushwa pale Yerusalem.
Kwa hiyo Biblia yako inakuambia kwamba Wamakabayo walishindwa vita shidi ya Seleucid ???Ohh.. Mi ni M Orthodox. In short bible yangu inakitabu kinaitwa Makabayo
Yaah uzao Wa Mattatias ulishndwa baada ya kufa Seleucid kama sijakosea ndipo wakapewa autonomy kwa mazungumzo si vita.Kwa hiyo Biblia yako inakuambia kwamba Wamakabayo walishindwa vita shidi ya Seleucid ???