Mfalme wa kwanza wa israel ni Saul,
baada ya hapo mpiga zumari wa mfalme,yaani Daud wa kabila la yuda akajitenga na kutawadhwa na nabii samweli kuwa mfalme wa yuda,kisha akaanzisha vita,civil war na kumuua Saul,kisha mtoto wa saul akaapishwa kuwa mfalme wa israel,kisha tena Daud akamuua mtoto wa sauli na kujitangaza mfalme wa israel yote,United kingdom of israel,
Daud akamzaa suleiman,lakini seleman hakutakiwa kuwa mfalme,mtoto mkubwa wa Daud ndo alitaka awe mfalme,mamake selemani akacheza mpaka mwanae ndo akawa mfalme,
wakati wa seleman palitulia kidogo,lakini alipokufa tu,utawala ukaganyika na haukupata kuungana tena.
Eneo ilipo west bank ndo ilikuwepo judea,
tatizo hapa ni kuwa israel wanashindwa watawapeleka wapi wapalestina,wakitaka kuwaua wote hawawezi,
wakitaka kuwapa uraia,
tatizo wapalestina wanazaliana mno,waisrael wanaogopa watamezwa,
sasa wana opt kuwaua taratibuna kuwaweka mazingira magumu labda baada ya miaka 1000 watatoweka,na ni vigumu wapalestina nao ndo wanazaana sana kufidia wale wanaouawa,huku waisrael wakizaa kizungu kwa mpango,
sasa guesse baada ya miaka 200 hali itakuwaje,
japo waziri wa mambo ya nje wa zamani wa marekani ,Henry kissinger ambae pia ni myahudi,kanukuliwa akisema,israel haitakuwepo katika miaka 10 ijayo