- Thread starter
- #21
I said founder.Do you know the meaning of a nation ???
How can a single man "Abraham" with two wives form a nation ???
I said founder.Do you know the meaning of a nation ???
How can a single man "Abraham" with two wives form a nation ???
I said founder.
Through Isaac. Then Jacob. You get the 12 tribes. These tribes are the true Israel nation.How did Abraham and his two wives form a nation called Israel ???
Genetic my brother. You will only leave your true legacy on earth through having your own biological childrenWhen did Abraham find the Nation called Israel ???
From your arguments, no wonder you will call Tanzania or Kenya a nation.When did Abraham find the Nation called Israel ???
Ukitazama documentary niliyoshea "Who owns Jerusalem?" utagundua hakukuwahi kuwa na taifa liitwalo Palestine. Wote wanaojiita Wapelestina ni waarabu na walianza kujiita wapalestina kama counter attack ili kulifuta Israel kwenye uso wa DuniaMfalme wa kwanza wa israel ni Saul,
baada ya hapo mpiga zumari wa mfalme,yaani Daud wa kabila la yuda akajitenga na kutawadhwa na nabii samweli kuwa mfalme wa yuda,kisha akaanzisha vita,civil war na kumuua Saul,kisha mtoto wa saul akaapishwa kuwa mfalme wa israel,kisha tena Daud akamuua mtoto wa sauli na kujitangaza mfalme wa israel yote,United kingdom of israel,
Daud akamzaa suleiman,lakini seleman hakutakiwa kuwa mfalme,mtoto mkubwa wa Daud ndo alitaka awe mfalme,mamake selemani akacheza mpaka mwanae ndo akawa mfalme,
wakati wa seleman palitulia kidogo,lakini alipokufa tu,utawala ukaganyika na haukupata kuungana tena.
Eneo ilipo west bank ndo ilikuwepo judea,
tatizo hapa ni kuwa israel wanashindwa watawapeleka wapi wapalestina,wakitaka kuwaua wote hawawezi,
wakitaka kuwapa uraia,
tatizo wapalestina wanazaliana mno,waisrael wanaogopa watamezwa,
sasa wana opt kuwaua taratibuna kuwaweka mazingira magumu labda baada ya miaka 1000 watatoweka,na ni vigumu wapalestina nao ndo wanazaana sana kufidia wale wanaouawa,huku waisrael wakizaa kizungu kwa mpango,
sasa guesse baada ya miaka 200 hali itakuwaje,
japo waziri wa mambo ya nje wa zamani wa marekani ,Henry kissinger ambae pia ni myahudi,kanukuliwa akisema,israel haitakuwepo katika miaka 10 ijayo
Tunajua ninyi ndo mnafikiri hatujui. Tu najua Jews si wakristo.Na hii confusion ndo wayahudi huitumia kuwavuruga vichwa walokole!, Kuna Uyahudi dini, na Uyahudi Ethnicity
Ngoja nikuendelezee baadae Taifa linaloitwa Israel lilimezwa na Assyria Wasamaria wakawa stateless. Walipokuja Warumi eneo lote la Israel na Juda likawa likaitwa Judea. Na kila aliyeishi Judea aliitwa a Jew.Samaria ni makao makuu ya Ufalme wa Israel,
Wakati Yerusalemu ni makao makuu ya Ufalme wa Yuda.
Baada ya Mfalme Suleimani kufa Ufalme wa Israeli uligawanyika sehemu mbili.
Kaskazini makabila kumi ya Israel (Ufalme wa Israel) na Kusini makabila mawili ya Yuda na Benjamini (Ufalme wa Yuda)
Tunajua ninyi ndo mnafikiri hatujui. Tu najua Jews si wakristo.
Masahihisho.From your arguments, no wonder you will call Tanzania or Kenya a nation.
Mfalme wa kwanza wa israel ni Saul,
baada ya hapo mpiga zumari wa mfalme,yaani Daud wa kabila la yuda akajitenga na kutawadhwa na nabii samweli kuwa mfalme wa yuda,kisha akaanzisha vita,civil war na kumuua Saul,kisha mtoto wa saul akaapishwa kuwa mfalme wa israel,kisha tena Daud akamuua mtoto wa sauli na kujitangaza mfalme wa israel yote,United kingdom of israel,
Daud akamzaa suleiman,lakini seleman hakutakiwa kuwa mfalme,mtoto mkubwa wa Daud ndo alitaka awe mfalme,mamake selemani akacheza mpaka mwanae ndo akawa mfalme,
wakati wa seleman palitulia kidogo,lakini alipokufa tu,utawala ukaganyika na haukupata kuungana tena.
Eneo ilipo west bank ndo ilikuwepo judea,
tatizo hapa ni kuwa israel wanashindwa watawapeleka wapi wapalestina,wakitaka kuwaua wote hawawezi,
wakitaka kuwapa uraia,
tatizo wapalestina wanazaliana mno,waisrael wanaogopa watamezwa,
sasa wana opt kuwaua taratibuna kuwaweka mazingira magumu labda baada ya miaka 1000 watatoweka,na ni vigumu wapalestina nao ndo wanazaana sana kufidia wale wanaouawa,huku waisrael wakizaa kizungu kwa mpango,
sasa guesse baada ya miaka 200 hali itakuwaje,
japo waziri wa mambo ya nje wa zamani wa marekani ,Henry kissinger ambae pia ni myahudi,kanukuliwa akisema,israel haitakuwepo katika miaka 10 ijayo
Ahsante sana,Ngoja nikuendelezee baadae Taifa linaloitwa Israel lilimezwa na Assyria Wasamaria wakawa stateless. Walipokuja Warumi eneo lote la Israel na Juda likawa likaitwa Judea. Na kila aliyeishi Judea aliitwa a Jew.
Malcolm.Ahsante sana,
Hata Wayahudi baada ya Mfalme Baldwin kupigwa na Salahadini wao pia walikuwa Stateless. Eneo lote la Uyahudi likawa ni Palestina ya Waislamu na kila aliyekaa pale aliitwa Mpalestina.
Kama unadai Wayahudi walifukuzwa Yerusalemu na leo wana haki ya kudai mji wao, unadhani Wasamaria nao hawana haki ya kudai mji wao unaotaka uvamiwe na Wayahudi ???
Kibaya zaidi na mimi naweza kutumia dini kuthibitisha hili kwamba Wasamaria walipewa ule mji na Mungu. Hivyo haujawahi kuwa mali ya Wayahudi hata siku moja.
Hivyo kidini na kihistoria vyote hivi vinamfanya Myahudi asiwe na haki juu ya Samaria.
NB: Halafu Yudea iliunganishwa na Warumi na kutawaliwa na Herode na siyo Wayahudi wenyewe. Hata hivyo bado Wasamaria na Wayahudi walitofautiana sana na hata Wayahudi walijua kwamba eneo lile siyo lao.......
Saladini alikuwa Sultan wa eneo lote la Mashariki ya kati hadi kufika Misri.Malcolm.
Thibitisha kuwa Saladin aliita Judea kuwa Palestine.
Fact. Judea na Israel imeitwa Palestine na Waingereza Juzi tu baada ya WW1.
Na Samaria ni Lebanon si Israel ya sasa hii ni Judea tangu na tangu
Mbona hata hawa Wayahudi hasa Ashkenazi wanalalamikiwa kwamba ni Wazungu kutokea Ulaya Mashariki ???Ukitazama documentary niliyoshea "Who owns Jerusalem?" utagundua hakukuwahi kuwa na taifa liitwalo Palestine. Wote wanaojiita Wapelestina ni waarabu na walianza kujiita wapalestina kama counter attack ili kulifuta Israel kwenye uso wa Dunia
He never had two wives,Ishmael ni mtoto haramu.How did Abraham and his two wives form a nation called Israel ???
HahahahhaahahahahaWafilisti tafuteni pa kujificha