Netanyahu: Jerusalem, Judea and Samaria will never again be taken from us!

Netanyahu: Jerusalem, Judea and Samaria will never again be taken from us!

Wapalestina ndo wapelekwe kigoma
Wapalestina wangekuja kigoma na waisraeli wakaenda serengeti watafute mlima mzuri wajenge hekaru lao ugonvi uishe...

Sidhani kama Mungu anafurahi kuona watu wanateseka kisa majengo tu na ardhi ambayo hata hapa bongo tunayo na haitumiki
 
Kwanza hujui maana ya Neno Hebrania.

Pili jua issue ya Uyahudi si suala la Genetic kwamba wayahudi ni superior genetically lah.

Issue ni kutunza agano la Mungu kutoka kwa Ibrahim via Isaac via Jacobs ambaye ndiye Israel.

Taifa la Israel lilipogawanyika waliobaki wakitunza angano la Mungu ni Wayahudi hivyo mkataba uliendelea kupitia wayahudi si wengine.

Wingi si tija. Agano linasema watasimamisha taifa lenye Nguvu pale Kanani no matter what.

Na kwa kukusaidia hakuwai kutokea Nabii nje ya Yuda na Benjamin. Unajua kwa nini..... Yuda ndiye alipewa kutunza na kulinda agano toka kwa Yakobo.

Utawala kaskazini wa Israel (Wasamaria) na utawala wa kusini wa Yuda hawajawahi kupendana kiviiile, infact ni mahasimu wao kwa wao kwa muda mrefu.

Infact Wasamaria walijiamini kwamba wao ndo wanafuata mafundisho halisi ya Torah na waliwaona Wayahudi waliotoka Utumwani Babylon kama wanafuata dini iliyoharibiwa.

Wasamaria wengi miaka ya baadae waliconvert kuwa Waislamu na Wakiristo.

Wasamaria hujinasibisha na Uzao wa Yusufu kutoka kabila la Manaseh na Ephraim

Kumbuka Yuda na ndugu zake walimfanyia kitu kibaya Yusufu kwa sababu ya wivu!

Miongoni mwa Wapalestina wa leo wamo ISRAELITES sema tu kwa kuwa wameadapr kiarabu na dini ya kiislamu hudhaniwa kuwa walitoka Arabia lakini ni Wana wa Yakobo kabisa hivyo basi Jews hata wafanyeje hawataweza kuwatoa pale
 
Hahaha umenifurahisha sana. Sababu ni kwamba Mungu mwenyewe alichagua Jerusalem kupaita kwa jina lake. Hii mivutano tunayoishuhudia ni matokeo ya roho zinazopingana ndani ya watu husika.
Kwahio mkuu unaniambia kua Mungu anafurahi kuona watu wanavyoteseka kwa mapigano hayo kisa tu ardhi? ?
 
Wapalestina wangekuja kigoma na waisraeli wakaenda serengeti watafute mlima mzuri wajenge hekaru lao ugonvi uishe...

Sidhani kama Mungu anafurahi kuona watu wanateseka kisa majengo tu na ardhi ambayo hata hapa bongo tunayo na haitumiki
Kabisa mkuu, au waende Bonde la MTO rufiji huko,mji wenyewe umejaa mawe tu huko Jerusalem
 
Kwanini agano la Mungu kutoka kwa Ibrahim liwe legally binding in any court of law kiasi cha kuwaondoa na kuwany'ang'anya nchi wakaazi?
Kwa nini msielezee uhalali wa waisraeli kuwepo Jerusalem kwa kutumia sheria za kimataifa?
Hayo maagano, hakuna mtu yeyote aliyeyaona wala hakuna signature yeyote kwenye waraka au andiko lolote. There's no MoU (legally binding) other than the British government granting independence to the colony of Palestine.
So, the timeline should be zeroed at that point and all arguments should be based on the Palestine independence as a legally binding "henceforth"
OK. Kwa nini tuanzie kwenye colony la Palestine na si kabla ya hapo. State formation its big than law itself.

Cases. Like Ukraine in relation to USSR. For that case USSR has locus stand to claim whole Ukraine.

Consider that UN started at 1945 and the case of Palestine-Israel has 3000 year of conflict and wars.
 
Wewe ni mwongo sana na unafundisha ulaghai na wongo (Heresy)
Musa ndiye nabii wa kwanza kabisa- Kabila la Lawi (Siyo Myahudi wala Mbenjamini)
Eliya alikuwa nabii wa moto- Kabila la Gadi (Siyo Myahudi wala Mbenjamini)
Yoshua alikuwa nabii wa moto- Kabila la Ephraim (Siyo Myahudi wala Mbenjamini)
Elisha mrithi wa Eliyea na nabii wa moto- Kabila la Issachar (Siyo Myahudi wala Mbenjamini)

NB: Kumbuka Ufalme wa Isreal ndiyo ulikuwa na manabii wengi kuliko hata Ufalme wa Yuda.
Ukisoma hata historia unaambiwa Eliya alikuwa na chuo cha manabii huko. Biblia yenyewe unayoitumia kuleta hoja zako hizi inasema kabisa kwamba Jezebeli mke wa Ahabu Mfalme wa Israeli aliua manabii zaidi ya 100 ambao wote walikuwa siyo Wayahudi na Wabenjamini.
Wewe source yako ni nini

Musa ni Mlawi. Kwa taarifa yako walawi walikua makuhani na lilipowanyika taifa la Israel waligawanyika kote kote na hawa kuwa Yuda au Israel. Wakulikuwa kote.

ISAYA ulikua myuda pure na Alizaliwa Yuda zama za mfalme Azaria na ntakuletea kifungu ukitaka. Hivyo hivyo kwa Eliya.

Ikibidi twende na vifungu.
 
Haramu unasema wewe !
Mbona Mungu alimbariki sana ???
Hata Mfalme Suleimani naye alikuwa haramu hivi unajua ???
Hata Yesu mwenyewe Wayahudi wanamwita mwanaharamu lakini leo hii mnamwabud!

NB: Shirikisha ubongo kabla ya kuropoka.
Watu wa zamani walikuwa wanaruhusiwa kuoa wake zaidi ya moja.
Hata makabila kumi na mbili ya Israel hayajatokana na Rebeka na Raheli pekee.
Yakobo alizaa watoto wake wengine kutoka kwa vijakazi wa wake zake.
Mama yake Ishmael hakuwahi kuwa mke wa Ibrahim
 
Kwani hii sio sawa na kusema mkwawa alitawala uhehe na mirambo tabora lakini yote ni Tanganyika ?

Itakuwaje sawa wakati Tanganyika imekuja baada ya Wakoloni ???
Israel na Yuda zilikuwepo hata kabla ya Warumi kuwepo hapa duniani.
 
Wewe source yako ni nini

Musa ni Mlawi. Kwa taarifa yako walawi walikua makuhani na lilipowanyika taifa la Israel waligawanyika kote kote na hawa kuwa Yuda au Israel. Wakulikuwa kote.

ISAYA ulikua myuda pure na Alizaliwa Yuda zama za mfalme Azaria na ntakuletea kifungu ukitaka. Hivyo hivyo kwa Eliya.

Ikibidi twende na vifungu.

Mkuu kubali bwana kule juu ulipodai manabii wote walitokana na Kabila la Yuda na Benjamin ulikosea. Umeonyeshwa hapo kuwa Musa anatokana na kabila la Levi (Lawi). Na kwa mujibu wa Waisrael hakuna nabii mkubwa aliyewahi kutokea Israel kushinda Musa
 
Mama yake Ishmael hakuwahi kuwa mke wa Ibrahim

Hata Naftali na Gadi moja ya Makabila makubwa ya Israel mama yao ZILPA hakuwa ni mke wa Yakobo.
Tena Dani na Naftali watoto wa BILHA mama yao hakuwa mke wa Yakobo.
Unataka kusema hawa walikuwa ni wana haramu ???
 
Kama ni kweli chanzo cha Wayahudi ni Abraham ; basi Professor wangu alikuwa sahihi Siku moja huyo Professor akatwambia eti kwa mara ya kwanza Idd Amin Dada alikuwa sahihi , aliwahi kunukuliwa akisema " Waachane hao ni ndugu ." Akimaanisha eti Wayahudi na Wapelestina ni watoto wa Ibrahim hivyo ugomvi wao ni mgumu kuumaliza kama wao hawajaamua.
 
Wewe source yako ni nini

Musa ni Mlawi. Kwa taarifa yako walawi walikua makuhani na lilipowanyika taifa la Israel waligawanyika kote kote na hawa kuwa Yuda au Israel. Wakulikuwa kote.

ISAYA ulikua myuda pure na Alizaliwa Yuda zama za mfalme Azaria na ntakuletea kifungu ukitaka. Hivyo hivyo kwa Eliya.

Ikibidi twende na vifungu.

Kama ulikuwa unajua haya kwanini uliandika huu upumbavu:
"Na kwa kukusaidia hakuwai kutokea Nabii nje ya Yuda na Benjamin"

NB: Haya jibu swali Elia na Elisha walitokea makabila gani ????
 
Hata Naftali na Gadi moja ya Makabila makubwa ya Israel mama yao ZILPA hakuwa ni mke wa Yakobo.
Tena Dani na Naftali watoto wa BILHA mama yao hakuwa mke wa Yakobo.
Unataka kusema hawa walikuwa ni wana haramu ???
Ndiyo, hao walikuwa wajakazi wa Rachel na Leah na siyo wake.
 
Mkuu kubali bwana kule juu ulipodai manabii wote walitokana na Kabila la Yuda na Benjamin ulikosea. Umeonyeshwa hapo kuwa Musa anatokana na kabila la Levi (Lawi). Na kwa mujibu wa Waisrael hakuna nabii mkubwa aliyewahi kutokea Israel kushinda Musa

Kuna manabii kama Eliya na Eliah hawakuwa Wayahudi,
Hili hawezi kujibu hata siku moja maana anajua kwamba amepuyanga.
 
Maandiko juu ya Israel lazima yatimie.. Japo uislamu na ukristo kuliasisiwa huko lakini haimaanishi ule mji si wa wayahudi
 
Hata Naftali na Gadi moja ya Makabila makubwa ya Israel mama yao ZILPA hakuwa ni mke wa Yakobo.
Tena Dani na Naftali watoto wa BILHA mama yao hakuwa mke wa Yakobo.
Unataka kusema hawa walikuwa ni wana haramu ???

Tena ukiisoma biblia, Yuda mwenyewe mwana wa Yakobo alilala na mke wa mwanae wa kumzaa akazaa naye mtoto ambaye kutokana na line ya mtoto huyo Suleimani, Daudi hata Yesu wametokana nayo.

Hawa wenye kumnyooshea kidole BABA wa IMANI ABRAHAM wanajua wanachokiongea au wanajiropokea tu?

Maandiko yanasema, "Sara akamtwaa Hajra akampa Abraham ili awe Mkewe", sasa uliona wapi mtu akalala na mkewe wakazaa Haramu?
 
Kwanini agano la Mungu kutoka kwa Ibrahim liwe legally binding in any court of law kiasi cha kuwaondoa na kuwany'ang'anya nchi wakaazi?
Kwa nini msielezee uhalali wa waisraeli kuwepo Jerusalem kwa kutumia sheria za kimataifa?
Hayo maagano, hakuna mtu yeyote aliyeyaona wala hakuna signature yeyote kwenye waraka au andiko lolote. There's no MoU (legally binding) other than the British government granting independence to the colony of Palestine.
So, the timeline should be zeroed at that point and all arguments should be based on the Palestine independence as a legally binding "henceforth"

Under the strict Legal sense what America and is forcing the General Assembly to do with regard to the Status of Jerusalem is a blatant Violation of International law. The world is silent about United Nations Security Council Resolution 478 of 1980 which recognized Israel as an International City and prohibited and change of status thereof. The reason behind was to provide room for the Palestinians to get international recognition and then have a bargaining power to negotiate on the Status of Israel.

In my humble opinion,
The vote with regarding the Status of Jerusalem should second the vote by the General Assembly with regard to the full recognition if the state of Palestine. The Jews clearly understand that when Palestine becomes a fully recognized state then the Issue of Jerusalem will be a Potential Storm. And, i see that the UNGA need to recognize Palestine and clearly declare that it has equal rights Over Jerusalem just as Israel has.

Utawala kaskazini wa Israel (Wasamaria) na utawala wa kusini wa Yuda hawajawahi kupendana kiviiile, infact ni mahasimu wao kwa wao kwa muda mrefu.

Infact Wasamaria walijiamini kwamba wao ndo wanafuata mafundisho halisi ya Torah na waliwaona Wayahudi waliotoka Utumwani Babylon kama wanafuata dini iliyoharibiwa.

Wasamaria wengi miaka ya baadae waliconvert kuwa Waislamu na Wakiristo.

Wasamaria hujinasibisha na Uzao wa Yusufu kutoka kabila la Manaseh na Ephraim

Kumbuka Yuda na ndugu zake walimfanyia kitu kibaya Yusufu kwa sababu ya wivu!

Miongoni mwa Wapalestina wa leo wamo ISRAELITES sema tu kwa kuwa wameadapr kiarabu na dini ya kiislamu hudhaniwa kuwa walitoka Arabia lakini ni Wana wa Yakobo kabisa hivyo basi Jews hata wafanyeje hawataweza kuwatoa pale

Ambacho hawa watu wanasahau ni kwamba Wayahudi hawatumii Torati tena,
Baada ya kutoka Babeli wakaanza kutumia Babylonian Talmud kama mbadala wa Torah.
Ilifika hadi kipindi Wayahudi walimtumia Alexander the Great kuwaua Wasamaria kama kisasi kwasababu walimshawishi Koreshi azuie hekali kujengwa. Wakakaa na kisasi muda mrefu na kuanza kuua ndugu zao; hawajawahi kupatana kabisaaaa.
 
Jacob ndio israel hawa wengine walisimama kwa majina yao kama.mataifa kila.mmoja kwa jina lake. Na ndio maana kwenye bible Mungu hakuiita israel.kama ncho bali "watoto wa israel means watoto wa yakobo" but sio taifa la israel.
Juda na benjamini ndio walianzisha uyahudi
Mengine 10 yalipotea na hakuna anayewajua!!
Hata hao Juda na Benjamin na kidogo levi bado hawajarudi maana Yesu alisema yeye ndio atawarudisha sio UN wala USA.
 
Back
Top Bottom