Freesociety
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 1,077
- 1,041
Where they are these 10 tribes?Samaria doesn't belong to the Jews or Judea. It belongs to Israel and the 10 tribes, but unfortunately the 10 tribes are not there....
Where they are these 10 tribes?Samaria doesn't belong to the Jews or Judea. It belongs to Israel and the 10 tribes, but unfortunately the 10 tribes are not there....
Not Abraham the founder of word Israel was Jocob,When did Abraham find the Nation called Israel ???
Kwanini agano la Mungu kutoka kwa Ibrahim liwe legally binding in any court of law kiasi cha kuwaondoa na kuwany'ang'anya nchi wakaazi?
Kwa nini msielezee uhalali wa waisraeli kuwepo Jerusalem kwa kutumia sheria za kimataifa?
Hayo maagano, hakuna mtu yeyote aliyeyaona wala hakuna signature yeyote kwenye waraka au andiko lolote. There's no MoU (legally binding) other than the British government granting independence to the colony of Palestine.
So, the timeline should be zeroed at that point and all arguments should be based on the Palestine independence as a legally binding "henceforth"
Where they are these 10 tribes?
A bit confusing though! For us the 10 tribes make Israel after the schism of the Confederacy in 993 BC. Then the tribes of Judah and Benjamin make up Judah of Judea.Samaria doesn't belong to the Jews or Judea. It belongs to Israel and the 10 tribes, but unfortunately the 10 tribes are not there....
What's difference between Jewish people and Israel?
They lost? You meant that they are not existed?LOST.
Wasamaria niwatu gani hao,,naomba maelezo kwahilo sana,,asili yaoAhsante sana,
Hata Wayahudi baada ya Mfalme Baldwin kupigwa na Salahadini wao pia walikuwa Stateless. Eneo lote la Uyahudi likawa ni Palestina ya Waislamu na kila aliyekaa pale aliitwa Mpalestina.
Kama unadai Wayahudi walifukuzwa Yerusalemu na leo wana haki ya kudai mji wao, unadhani Wasamaria nao hawana haki ya kudai mji wao unaotaka uvamiwe na Wayahudi ???
Kibaya zaidi na mimi naweza kutumia dini kuthibitisha hili kwamba Wasamaria walipewa ule mji na Mungu. Hivyo haujawahi kuwa mali ya Wayahudi hata siku moja.
Hivyo kidini na kihistoria vyote hivi vinamfanya Myahudi asiwe na haki juu ya Samaria.
NB: Halafu Yudea iliunganishwa na Warumi na kutawaliwa na Herode na siyo Wayahudi wenyewe. Hata hivyo bado Wasamaria na Wayahudi walitofautiana sana na hata Wayahudi walijua kwamba eneo lile siyo lao.......
Makabila mengine yapo wapi,,,pia ukumbuke Yuda ndio aliyebarikiwa sana kuliko wengine wote,Maeneo mbalimbali ya Nchi ya Israel yaligawanywa kwa mujibu wa Makabila 12 ya wana wa Yakobo, sasa kwa nini leo wana wa Yuda ( Wayahudi) wadai maeneo ya makabila mengine?
A bit confusing though! For us the 10 tribes make Israel after the schism of the Confederacy in 993 BC. Then the tribes of Judah and Benjamin make up Judah of Judea.
Ndio maana Kwanini hawakwenda jordanSaladini alikuwa Sultan wa eneo lote la Mashariki ya kati hadi kufika Misri.
Halafu wewe unasahau vitu vya msingi sana. Unajua nini maana ya neno "Palestina" au "kwa lugha za Mashariki ya kati ??? Hilo neno limekuwepo hata kabla ya Uingereza kuwepo.
Mwisho kabisa,
Eneo la Samaria haliko Lebenon wewe.
Acha wongo kabisaaa, Samaria inapakana na Ufalme wa Yordan na West Bank....hebu muwe mnapitia hata Ramani basi....
Kuhusu Eliya ametajwa kuwa mzawa Wa uko Wa Benjamin soma 1 chronicles 8:27.Kuna manabii kama Eliya na Eliah hawakuwa Wayahudi,
Hili hawezi kujibu hata siku moja maana anajua kwamba amepuyanga.
Wasamaria niwatu gani hao,,naomba maelezo kwahilo sana,,asili yao
Alikuwa hawara yake.Mama yake Ishmael hakuwahi kuwa mke wa Ibrahim
Israel anamsadia america?
Misaada ni fedha za wananchi wa Marekani na siyo Trump.
Egypt itapinga mji mkuu kuwa Jerusalem na misaada watapata. Hii ni kwa faida ya US.
Unachanganya mambo. Histiria ya Samaria haina tija tena as waliachana na agano la Mungu wakafata miungu wengine is Baal.Kihistoria Assyria ilipovamia Israel siyo wasamaria wote waliondoka Israel, baadhi walibaki and then dola ya WaAssyria ilichukua watu kutoka mataifa mengine na kuwasettle hapo Israel ( Hapa tunazungumza miaka zaidi ya 600) kabla ya Kristo. Kwa hiyo mpaka Yesu anakuja Israel ilikuwa na mchanganyiko wa damu ya watu wa mataifa mengi, wakiwemo ISRAELITES original, Kuna watu walioletwa na WaASsyria kuishi Israel miaka mingi iliyopita lakini wakaconvert kufuata dini ya Kiyahudi kabla hata ya Yesu hajaja.
Pia ukisoma Historia, ilikuwepo jamii ya Wasamaria hata kipindi cha Yesu, na pia hata Waislamu walipoiteka Jerusalem miaka zaidi ya 600 baada ya Kristo ilikuwepo jamii ya Wasamaria pale waliosilimu na kuwa Waislamu, wengine waliamua kuendelea na version yao ya dini ya Kiyahudi, Hawa walilindwa na Waislamu kwa sababu nao pia walitambulika kama " Watu wa Kitabu"
It's biblical. Jews are Israelis because Israel is the father of Jude, one of the 12 sons. Samaria was a combination of 10 tribes that rebelled the living God and were wiped away leaving the tribe of juda as the only Israeli people. It's the people of tribe of Judah that are the JEWS.What's difference between Jewish people and Israel?
Unachanganya mambo. Histiria ya Samaria haina tija tena as waliachana na agano la Mungu wakafata miungu wengine is Baal.
Note Jews and Judaism hawajawi kuchangamna na mataifa hadi kesho.