Netanyahu: Jerusalem, Judea and Samaria will never again be taken from us!

Netanyahu: Jerusalem, Judea and Samaria will never again be taken from us!

Saladini alikuwa Sultan wa eneo lote la Mashariki ya kati hadi kufika Misri.
Halafu wewe unasahau vitu vya msingi sana. Unajua nini maana ya neno "Palestina" au "kwa lugha za Mashariki ya kati ??? Hilo neno limekuwepo hata kabla ya Uingereza kuwepo.

Mwisho kabisa,
Eneo la Samaria haliko Lebenon wewe.
Acha wongo kabisaaa, Samaria inapakana na Ufalme wa Yordan na West Bank....hebu muwe mnapitia hata Ramani basi....
All in all the land belong to Israelites.

Na kweli Mungu yu juu yao kwa miaka 3000 jamaa wapo wamepigana na kuangamizwa lakini wapo tu..

Mamisri walivamiwa mara chache tu taifa ilakangamia hadi sasa wamebaki Historia.

Wapi red Indian.
 
He never had two wives,Ishmael ni mtoto haramu.
Haramu unasema wewe !
Mbona Mungu alimbariki sana ???
Hata Mfalme Suleimani naye alikuwa haramu hivi unajua ???
Hata Yesu mwenyewe Wayahudi wanamwita mwanaharamu lakini leo hii mnamwabud!

NB: Shirikisha ubongo kabla ya kuropoka.
Watu wa zamani walikuwa wanaruhusiwa kuoa wake zaidi ya moja.
Hata makabila kumi na mbili ya Israel hayajatokana na Rebeka na Raheli pekee.
Yakobo alizaa watoto wake wengine kutoka kwa vijakazi wa wake zake.
 
All in all the land belong to Israelites.

Na kweli Mungu yu juu yao kwa miaka 3000 jamaa wapo wamepigana na kuangamizwa lakini wapo tu..

Mamisri walivamiwa mara chache tu taifa ilakangamia hadi sasa wamebaki Historia.

Wapi red Indian.
Tumia akili wewe,
Wayahudi ni sehemu ndogo mno kwenye jamii ya Kihebrania wewe.

Yuda alipewa Yerusalem,
Manasseh na Ephraim walitawala Samaria. Lakini leo hii Manasseh na Ephraim hawajulikani walipo na Samaria walipewa na Mungu. Wewe utasemaje ni eneo la Wayahudi ???
 
Mfalme wa kwanza wa israel ni Saul,

baada ya hapo mpiga zumari wa mfalme,yaani Daud wa kabila la yuda akajitenga na kutawadhwa na nabii samweli kuwa mfalme wa yuda,kisha akaanzisha vita,civil war na kumuua Saul,kisha mtoto wa saul akaapishwa kuwa mfalme wa israel,kisha tena Daud akamuua mtoto wa sauli na kujitangaza mfalme wa israel yote,United kingdom of israel,
Daud akamzaa suleiman,lakini seleman hakutakiwa kuwa mfalme,mtoto mkubwa wa Daud ndo alitaka awe mfalme,mamake selemani akacheza mpaka mwanae ndo akawa mfalme,
wakati wa seleman palitulia kidogo,lakini alipokufa tu,utawala ukaganyika na haukupata kuungana tena.
Eneo ilipo west bank ndo ilikuwepo judea,
tatizo hapa ni kuwa israel wanashindwa watawapeleka wapi wapalestina,wakitaka kuwaua wote hawawezi,
wakitaka kuwapa uraia,
tatizo wapalestina wanazaliana mno,waisrael wanaogopa watamezwa,
sasa wana opt kuwaua taratibuna kuwaweka mazingira magumu labda baada ya miaka 1000 watatoweka,na ni vigumu wapalestina nao ndo wanazaana sana kufidia wale wanaouawa,huku waisrael wakizaa kizungu kwa mpango,
sasa guesse baada ya miaka 200 hali itakuwaje,
japo waziri wa mambo ya nje wa zamani wa marekani ,Henry kissinger ambae pia ni myahudi,kanukuliwa akisema,israel haitakuwepo katika miaka 10 ijayo
Kuna vingi umeandika ambavyo siyo vya kweli.. according to Bible.
 
Samaria ni makao makuu ya Ufalme wa Israel,
Wakati Yerusalemu ni makao makuu ya Ufalme wa Yuda.
Baada ya Mfalme Suleimani kufa Ufalme wa Israeli uligawanyika sehemu mbili.
Kaskazini makabila kumi ya Israel (Ufalme wa Israel) na Kusini makabila mawili ya Yuda na Benjamini (Ufalme wa Yuda)
Kwani hii sio sawa na kusema mkwawa alitawala uhehe na mirambo tabora lakini yote ni Tanganyika ?
 
Tumia akili wewe,
Wayahudi ni sehemu ndogo mno kwenye jamii ya Kihebrania wewe.

Yuda alipewa Yerusalem,
Manasseh na Ephraim walitawala Samaria. Lakini leo hii Manasseh na Ephraim hawajulikani walipo na Samaria walipewa na Mungu. Wewe utasemaje ni eneo la Wayahudi ???
Kwanza hujui maana ya Neno Hebrania.

Pili jua issue ya Uyahudi si suala la Genetic kwamba wayahudi ni superior genetically lah.

Issue ni kutunza agano la Mungu kutoka kwa Ibrahim via Isaac via Jacobs ambaye ndiye Israel.

Taifa la Israel lilipogawanyika waliobaki wakitunza angano la Mungu ni Wayahudi hivyo mkataba uliendelea kupitia wayahudi si wengine.

Wingi si tija. Agano linasema watasimamisha taifa lenye Nguvu pale Kanani no matter what.

Na kwa kukusaidia hakuwai kutokea Nabii nje ya Yuda na Benjamin. Unajua kwa nini..... Yuda ndiye alipewa kutunza na kulinda agano toka kwa Yakobo.
 
sisi nao tutapiga kura kutotambua alichosema trump?
Marekani ashatumia veto hakuna effect yoyote ktk kura za UN ni protocol tuu wanafuata. Na Leo UN wakipiga kura ya tifauti na US ndogo mwanzo wa kukosa misaada kasema Trump kuwa hatosaidia kifedha UN wala hizo nchi America doesn't care anymore
 
Kwanini agano la Mungu kutoka kwa Ibrahim liwe legally binding in any court of law kiasi cha kuwaondoa na kuwany'ang'anya nchi wakaazi?
Kwa nini msielezee uhalali wa waisraeli kuwepo Jerusalem kwa kutumia sheria za kimataifa?
Hayo maagano, hakuna mtu yeyote aliyeyaona wala hakuna signature yeyote kwenye waraka au andiko lolote. There's no MoU (legally binding) other than the British government granting independence to the colony of Palestine.
So, the timeline should be zeroed at that point and all arguments should be based on the Palestine independence as a legally binding "henceforth"
 
Marekani ashatumia veto hakuna effect yoyote ktk kura za UN ni protocol tuu wanafuata. Na Leo UN wakipiga kura ya tifauti na US ndogo mwanzo wa kukosa misaada kasema Trump kuwa hatosaidia kifedha UN wala hizo nchi America doesn't care anymore

Trump sio mnafiki kwenye hili. Kasema wazi, hatuwezi kuwa tunafaidika na mabilioni ya pesa zao kama misaada huku tunapiga kura kupingana nao.

Tutie akili kwamba misaada huwa ina makusudi yake.
 
Tunajua ninyi ndo mnafikiri hatujui. Tu najua Jews si wakristo.
Kwa Abrahamu au Eliya au Elisha etc w alikuwa wakristo ? Suala hapo ni imani iliyojengwa na Mungu kipitia hao watu sio jina la ukristo. Yesu alikuwepo kipindi chote tangu kuumbwa kwa dunia angeamua hao wawe wote wakristo angeweza lakini apiwatumia pasipo hilo jina la wakristo. Na bado wengine answatumia pasipo kuwa na hiyo title ktk huohuo uyahudi wao.
 
Trump sio mnafiki kwenye hili. Kasema wazi, hatuwezi kuwa tunafaidika na mabilioni ya pesa zao kama misaada huku tunapiga kura kupingana nao.

Tutie akili kwamba misaada huwa ina makusudi yake.
Misaada ni fedha za wananchi wa Marekani na siyo Trump.
Egypt itapinga mji mkuu kuwa Jerusalem na misaada watapata. Hii ni kwa faida ya US.
 
Kwa Abrahamu au Eliya au Elisha etc w alikuwa wakristo ? Suala hapo ni imani iliyojengwa na Mungu kipitia hao watu sio jina la ukristo. Yesu alikuwepo kipindi chote tangu kuumbwa kwa dunia angeamua hao wawe wote wakristo angeweza lakini apiwatumia pasipo hilo jina la wakristo. Na bado wengine answatumia pasipo kuwa na hiyo title ktk huohuo uyahudi wao.
Unajua Mungu hajaanzisha Dini. Hao manabii walileta ujumbe Wa Mungu. Nikisema dini namaanisha tamaduni na taratibu za kuabudu katika iman Fulani.

Mungu alituletea iman si tamaduni.

Watu kwa tamaduni zetu tuamini Mungu.

Hata Judaism pia iliabzishwa na wayahudi kwa tamaduni zao hakuna Nabii iliyeanzisha Judaism.

Ukristo ni nini.

Ukiristo ni imani iliyojijenga katika kutambua na kukiri Yesu ndiyo masiha.

Tofauti yetu na Wayahudi ni hilo tu wao hawatambui Yesu ni Masiha na bado wanamsubili masiha..

Waislam wao tunatofauti kubwa kiiman
 
Ukitazama documentary niliyoshea "Who owns Jerusalem?" utagundua hakukuwahi kuwa na taifa liitwalo Palestine. Wote wanaojiita Wapelestina ni waarabu na walianza kujiita wapalestina kama counter attack ili kulifuta Israel kwenye uso wa Dunia
Fafanua kidogo
 
Na kwa kukusaidia hakuwai kutokea Nabii nje ya Yuda na Benjamin. Unajua kwa nini..... Yuda ndiye alipewa kutunza na kulinda agano toka kwa Yakobo.

Wewe ni mwongo sana na unafundisha ulaghai na wongo (Heresy)
Musa ndiye nabii wa kwanza kabisa- Kabila la Lawi (Siyo Myahudi wala Mbenjamini)
Eliya alikuwa nabii wa moto- Kabila la Gadi (Siyo Myahudi wala Mbenjamini)
Yoshua alikuwa nabii wa moto- Kabila la Ephraim (Siyo Myahudi wala Mbenjamini)
Elisha mrithi wa Eliyea na nabii wa moto- Kabila la Issachar (Siyo Myahudi wala Mbenjamini)

NB: Kumbuka Ufalme wa Isreal ndiyo ulikuwa na manabii wengi kuliko hata Ufalme wa Yuda.
Ukisoma hata historia unaambiwa Eliya alikuwa na chuo cha manabii huko. Biblia yenyewe unayoitumia kuleta hoja zako hizi inasema kabisa kwamba Jezebeli mke wa Ahabu Mfalme wa Israeli aliua manabii zaidi ya 100 ambao wote walikuwa siyo Wayahudi na Wabenjamini.
 
Hawa watu wanazingua...
Wangekuja kigoma kuna maeneo mengi mazuri... tungewapa mlima mmoja wajenge hekalu ugonvi wote ukaisha
Hahaha umenifurahisha sana. Sababu ni kwamba Mungu mwenyewe alichagua Jerusalem kupaita kwa jina lake. Hii mivutano tunayoishuhudia ni matokeo ya roho zinazopingana ndani ya watu husika.
 
Trump sio mnafiki kwenye hili. Kasema wazi, hatuwezi kuwa tunafaidika na mabilioni ya pesa zao kama misaada huku tunapiga kura kupingana nao.

Tutie akili kwamba misaada huwa ina makusudi yake.
Israel anamsadia america?
 
Back
Top Bottom