Netanyahu amekiri kuwapa HAMAS ufadhili wa fedha $1+ billion

Netanyahu amekiri kuwapa HAMAS ufadhili wa fedha $1+ billion

Na wale wamatumbi weusi wanaotetea na kupeperusha bendera za Israel waelewe, kama?!
 
🚨🚨NETANYAHU'S POLICE INTERROGATION TAPES JUST LEAKED AND THEY REVEAL HE PERSONALLY FUNDED HAMAS. THIS CHANGES EVERYTHING.🚨🚨

1,000 hours of secret police interrogation footage of Benjamin Netanyahu.

Now public. Banned in Israel. Going viral globally.

Here's what's on those tapes:

💀 Netanyahu personally arranged for Hamas to receive $35,000,000 EVERY MONTH from Qatar

💀 This was done IN SUITCASES OF CASH — because even banks refused to cooperate

💀 He personally begged Qatar, a country with no ties to Israel, to give money to his "enemy"

💀 He was doing this while ACTIVELY under corruption investigation

💀 His own words: "under the request of Benjamin Netanyahu personally"

💀 Total transferred to Hamas with his blessing: OVER $1,000,000,000

Let that sink in.

The same man who stood up after October 7 and declared "Hamas is a monster, we will annihilate them" was the one keeping Hamas alive with suitcases of Qatari cash.

⚠️ His strategy, from his own transcript: keep Hamas in Gaza, keep Fatah in the West Bank, PREVENT them from uniting — so there would NEVER be a Palestinian state

⚠️ Without a Palestinian state, Netanyahu stays in power — no peace deal means endless war means he stays "Mr. Security"

⚠️ He needed Hamas to survive so he could keep winning elections by being the only man who could "handle" them

Now watch what this means:

→ Netanyahu funds Hamas for years → Hamas grows stronger → October 7 happens → Netanyahu declares war → 46,000+ Palestinians die → War delays his criminal trial → He seeks a pardon

→ The monster he fed attacked his own people

→ And he's using that attack to escape justice

The corruption trial? 3 charges. Bribery. Fraud. Breach of trust.

His court just REJECTED his request to delay hearings — TWICE in one day.

The ICC issued an arrest warrant for him for war crimes in Gaza.

His own aide was arrested for taking Qatari money.

And now his police interrogation tapes show he was the one sending Qatari money to Hamas.

The same Qatar he "hates." The same Hamas he "fights."

⚠️ He publicly called Hamas the enemy

⚠️ He privately funded them for years

⚠️ His bombing of Gaza kills tens of thousands

⚠️ His war delays his own criminal conviction

This isn't a war on terror.

This is a man running out the clock on his own criminal case using 46,000 Palestinian lives as cover.

And the world is just starting to understand it.


View: https://x.com/USronaldcarter/status/2037891017282601252/video/1
 
Narudia Netanyahu Kafa iyo kesi ni Kutafuta Sababu ili tuambiwe Netanyahu kujiuzulu kwa Sababu ya iyo kesi!!!

Na Israel itapata PM mpya chezo la Netanyahu kwishaa !!!

mtakuja kujua ukweli baada miaka kadhaaa mbele 🤠🤠

au kwasasa Serikali ya Israel isambalatike..!!!

watakaokamatwa watasema Netanyahu yupo wapi shimo lipi☠️☠️☠️🤠🤠🤠
 
Kashfa za Netanyahu tunazozijua sio kubwa na haziwausu kina HAMAS🤠🤠

lkn kwasasa lazima itafutwe kashfa kubwaa yakuwezesha Kutakiwa kujiuzulu Netanyahu ilo ndio lengo.. 🤠🤠

NETANYAHU KAFA.tangu march 8

mnakumbuka kateuliwa makamu PM🤠🤠

kwanini msishangae na kujiuliza icho kwanini kwasasa ndio apatikane Makam wa PM !!!!¿¿¿¿¿¿

Kwanini kesi kubwa kama hii ya kusaidia Hamas ichupuke sasaivi tu na sio miaka mitatu nyuma tangu hii Vita!!!

Netanyahu alikuwa na kesi mbili zakawaida sio kubwa.
Sana. Kama hii ya sasa🤠

Vita sasa miaka mingapi kwanini hii kesi itoe sasaivi🤠🤠

Qatar alikuwa akitoa pesa za kulipia mishahara ya Wafanyakazi apo GAZA sio kuwapa Hamas zawadi

mkumbuke Gaza kulikuwa na Serikali Wizara tofaut tofaut so pesa izo zilikuwa za kulipia Wafanyakazi mishahara tu..

na kulikuwa na mkataba miaka ya nyuma Kuwa Qatar italipa mishahara ya wafanyakazi wa Serikali ya Gaza.

Kila mwezi.

Majinga ndio waliwao kila siku..
 
Uyo apo 👇👇 Makamu PM wa Netanyahu kwanini apatikane kipindi ichi Y!!. Jiulize tu icho.
 

Attachments

  • 1774017791014.jpg
    1774017791014.jpg
    102.6 KB · Views: 12
Lini Netanyahu kaomba kuwa na Makamu wake🤠🤠

Lini wewe umesikia Netanyahu kuwa na Makamu wake🤠🤠

Wajinga ndio waliwao🤠🤠

Ikiwa umesikia sauti mpya ya Netanyahu akiongea ndio umeamini ni Netanyahu

Picha kwa AI mbona rahisi tu🤠
Sauti jiulize
kwani Tanzania hakuna sauti ya Rip JPM
Kwaiyo mzima!!!
Sembuse MA propaganda wa IDF wenye mafunzo.

Netanyahu kafa siku moja yeye na Kakake ,march 8
 
Siku mbili tatu kutoka sasa au mbele week na zaidi kidogo!!!

tutasikia Netanyahu kujiuzulu ili Akambambane na kesi yake Nimekaaa paleee.

Ndio kuhusu Netanyahu itakuwa kimyaaa🤠🤠

ama siku wakiamua kitengo cha propaganda basi mtasikia jina la Netanyahu Mahakamani imetoka iyoo..
 
Mtu na kakake walikufa pamoja kwenye office ya Netanyahu ya chini ya Ardhi!!!

sio Tela Aviv
ni Office ya Jerusalem
 

Attachments

  • 1773118261422.jpg
    1773118261422.jpg
    425.9 KB · Views: 14
Narudia Netanyahu Kafa iyo kesi ni Kutafuta Sababu ili tuambiwe Netanyahu kujiuzulu kwa Sababu ya iyo kesi!!!

Na Israel itapata PM mpya chezo la Netanyahu kwishaa !!!

mtakuja kujua ukweli baada miaka kadhaaa mbele 🤠🤠

au kwasasa Serikali ya Israel isambalatike..!!!

watakaokamatwa watasema Netanyahu yupo wapi shimo lipi☠️☠️☠️🤠🤠🤠
Mkuu weka hata picha ya maiti yake.
 
Ni kweli kabisa mfano Taliban liliibuka wakati wa uvam8zi wa soviet , marekani ndio alikua mfandhili,mtoa mafunzo na silaha , baada ya kumfurumusha soviet marekani kamgeukia talban

Hamasi ndio kama hivi tunaambiwa funded by Israel,kitu cha kushangaza zaidi ISIS haijawah kushambulia Israel badala yake imekua ikiipiga HAMAS ,hazbollah etc

Hauko Syria ISIS na Hazbollah walikua wanapigana ,Israel alikua aikitoa matibabu kwa majeuhi wa pande zote mbili
Rais wa sasa wa Syria aliwahi kuwa mpiganaji wa Al qaeda na ISiS na kwa sasa ni mshirika muhimu wa Marekani.
 
Hayo makundi pesa yanatoa wapi ,hao hao USA na Israel wanawaunga mkono ..Wana pesa za kucheza huku raia anaambiwa afanye kazi...Watu wanatumia bajeti ya nchi fulani kwa mwaka ,kufanya vita ya wiki tu .

Dunia na mambo ya uchumi ni utapeli
 
Kazi kipimo cha utu.

Iranian endeleeni kuchapaa 💥💥💥💥💥 kila kitu kitakuwa wazi tu✍️
 
Most likely hawa mashetani wawili Nyau na lile zee DT yanaweza kutumia hata Nuclear Kuioiga Iran hawa sio watu ni mashetani...
 
Netanyahu anahitaji uwepo wa HAMAS na vita ku survive kwenye nafasi yake, ndio maana Kila mara yeye ndio mvunjaji mkuu wa peace deal. No peace deal means endless war, means he stays Mr. Security.

Ametengenza mazingira Israel iwe kwenye vita Muda wote na yeye ndio Mtu pekee could handle it
Lakini safari mambo yamempalia hesabu alizopiga zimemkataa
Dunia ya geopolitics imejaa Udanganyifu mwingi sana yaani kama ni mjinga unakuwa kama bendera fuata upepo
 
Back
Top Bottom