Neno 'sina' ni muhimu sana

Neno 'sina' ni muhimu sana

Mpaka Sasa mimi na brother mawasiliano yetu yanasuasua baada ya kuomba nimkopeshe 200k
Sasa hapokei simu wala kujibu sms zangu.

Hakika kukopesha mtu kunavunja undugu.
 
Mimi nakwambia tu SINA mwanangu ukinichukia powa tuu habari za kudaiana siwezi. Huwa sipendi kukopa pia.

Kuna watu wana mioyo migumu asee, unakuta simu ya mkopo, bodaboda ya mkopo, songesha mkopo, timiza mkopo, mtaani mikopo hivi mnawezaje hizi stress
Halafu unakuta anakoroma kabisa 😂
Anaedai anakosa usingizi
Ya nini matatizo sikupi tu
 
IMG_0748.jpeg
 
Watu wengi wanazhindwa kuaminika kwa sababu tu hawasemi hawana mimi naungana na wewe.
 
Watoto wadogo mnapotoshana sana mkiannzaga kushika vichenchi, ukikua utakopa na utakopesha.
 
Mimi nakwambia tu SINA mwanangu ukinichukia powa tuu habari za kudaiana siwezi. Huwa sipendi kukopa pia.

Kuna watu wana mioyo migumu asee, unakuta simu ya mkopo, bodaboda ya mkopo, songesha mkopo, timiza mkopo, mtaani mikopo hivi mnawezaje hizi stress
Unaweza pasuka ila mabingwa wapo na hawawazi
 
MTU akikuomba na yupo katika shida endelevu usimpe pesa Ila mtafutie fursa ambayo atapata hiyo pesa na kuendesha Maisha yake.

Na ukimkopa MTU hakikisha upo tayari kuipoteza hiyo hela.

Ndugu , marafiki wa karibu hao usieakopeshe hela kabisa give them for free or say no .
Nakazia hapa 🛠️
 
Utaratibu wangu mimi ni huwa sikopi kwa mtu, wala kukopeshwa na mtu,kwa sababu huwa inapelekea urafiki kufa kabisa huko mbeleni,mimi huwa nanuna na mambo yangu mpka natatua changamoto zangu mwenyewe

Neno sina linamaliza kabisa utata japo huonekana kuwa ni lakikatiri sana unapomjibu mtu anaekuomba pesa ila niamini mimi ni neno lenye msaada mkubwa sana kwako ukilitumia,mtu hawezi kukuhoji asa kwanini huna hela na wakati na yeye mda huo hana hela pia ndio mana kakufata wewe.

Kuna jamaa kanisumbua sana 30k yangu hataki kunilipa,Kazi tunafanya ni Moja,ugumu wa kupata hela anaujua..ila akawa anajifanya mjanja...siwakaanzisha mchezo afu wakanichagua niwe nawawekea hela linapofika jina nampa anaepokea kwa kuwa wananiamini...nikasema hapa hapa na fyeka na hela yangu ilipofika zamu yake.
Alilalamika.,,,Kuna watu wanajua kulalamika aisee.
Ulifanya vizuri sana
 
Sahihi kabisa...nilikuwa na rafiki mpaka ikafikia watu kujua sisi ni ndugu kwa kudai tunafanana....50k tu imefanya hata sasa hajui nilipo nami sijui alipo,mana nilimkumbusha mara tatu tu,akaona akate na mawasiliano kabisa....😅
 
mwanaume kamili hagombani na mtu kisa deni,wewe ukinikopa ninayo nakupa,kama sina nitakwambia,na ukiamua kutonilipa sawa,maana shida si umezimaliza!! ila siwezi kukununia.

kanuni yangu ni kwamba ukinikopa 50,nakupa 20.ili ukikimbia isiniume.
 
Utaratibu wangu mimi ni huwa sikopi kwa mtu, wala kukopeshwa na mtu,kwa sababu huwa inapelekea urafiki kufa kabisa huko mbeleni,mimi huwa nanuna na mambo yangu mpka natatua changamoto zangu mwenyewe

Neno sina linamaliza kabisa utata japo huonekana kuwa ni lakikatiri sana unapomjibu mtu anaekuomba pesa ila niamini mimi ni neno lenye msaada mkubwa sana kwako ukilitumia,mtu hawezi kukuhoji asa kwanini huna hela na wakati na yeye mda huo hana hela pia ndio mana kakufata wewe.

Kuna jamaa kanisumbua sana 30k yangu hataki kunilipa,Kazi tunafanya ni Moja,ugumu wa kupata hela anaujua..ila akawa anajifanya mjanja...siwakaanzisha mchezo afu wakanichagua niwe nawawekea hela linapofika jina nampa anaepokea kwa kuwa wananiamini...nikasema hapa hapa na fyeka na hela yangu ilipofika zamu yake.
Alilalamika.,,,Kuna watu wanajua kulalamika aisee.
Safiii
 
Back
Top Bottom