Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,714
- 24,891
Hivi ni lazima uwe na mwanaume kila saa akuridhishe maana hili nalo neno kwa maana humu wengi wanadai kufanya mapenzi eti nilazima .
Wajuzi ambao mnazini kila daily tujulisheni umuhimu wa healthy sex maana mnanichamba eti na shida ya mwanaume sasa sijui nyie wanaume ambao mnahitaji wanawake sijui hamna shida ya wanawake?? Maana mnasema watu hadi kero kama nyie mpo sawa