Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,455
- 6,465
🤣🙌 NENO MOYAAA KWAKE 🤦💔
😂😂😂Kada Ufaransa
Mzee wa kuumbua watu hasa ukiwa kwenye usafiri wa umma ilimladi tu watu wajue kwamba unaishi nao hawa jamaa.🤣🙌 NENO MOYAAA KWAKE 🤦💔View attachment 2835187
😂😂😂Mzee wa kuumbua watu hasa ukiwa kwenye usafiri wa umma ilimladi tu watu wajue kwamba unaishi nao hawa jamaa.
Kwanza hawataki taa yako na stori zao ni usiku tu.
Nuksi sana Hawa😂Mzee wa kuumbua watu hasa ukiwa kwenye usafiri wa umma ilimladi tu watu wajue kwamba unaishi nao hawa jamaa.
Kwanza hawataki taa yako na stori zao ni usiku tu.
Nuksi sana hawaMzee wa kuumbua watu hasa ukiwa kwenye usafiri wa umma ilimladi tu watu wajue kwamba unaishi nao hawa jamaa.
Kwanza hawataki taa yako na stori zao ni usiku tu.
Hongera bwana mdogo. Ulimi nyama iliyo huru.Wapo Kateshi
KIROBOTO ANARUDI🤣🙌 NENO MOYAAA KWAKE 🤦💔View attachment 2835187
Ogopa sana akishiba damu.Nuksi sana hawa
Kwa ugali wa mtama anapendeza zaidi🤣🙌 NENO MOYAAA KWAKE 🤦💔
Hatari😂😂😂😂🙌🏾Ogopa sana akishiba damu.
Washanifanya nikalala juu ya meza enzi hizo.
Washanifanya naenda geto kulala saa Tisa usiku.
Mbaya zaidi chumba cha jirani hakuna.
KiajeKuna wahuni wanaishi maisha ya huyo mwamba na wanapiga pesa mjini,daaah
Na pilipili Kwa mbaaaali 😂😂😂😂Kwa ugali wa mtama anapendeza zaidi