Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 356
- 1,605
π€£π NENO MOYAAA KWAKE π€¦π
πππKada Ufaransa
Mzee wa kuumbua watu hasa ukiwa kwenye usafiri wa umma ilimladi tu watu wajue kwamba unaishi nao hawa jamaa.π€£π NENO MOYAAA KWAKE π€¦πView attachment 2835187
πππMzee wa kuumbua watu hasa ukiwa kwenye usafiri wa umma ilimladi tu watu wajue kwamba unaishi nao hawa jamaa.
Kwanza hawataki taa yako na stori zao ni usiku tu.
Nuksi sana HawaπMzee wa kuumbua watu hasa ukiwa kwenye usafiri wa umma ilimladi tu watu wajue kwamba unaishi nao hawa jamaa.
Kwanza hawataki taa yako na stori zao ni usiku tu.
Nuksi sana hawaMzee wa kuumbua watu hasa ukiwa kwenye usafiri wa umma ilimladi tu watu wajue kwamba unaishi nao hawa jamaa.
Kwanza hawataki taa yako na stori zao ni usiku tu.
Hongera bwana mdogo. Ulimi nyama iliyo huru.Wapo Kateshi
KIROBOTO ANARUDIπ€£π NENO MOYAAA KWAKE π€¦πView attachment 2835187
Ogopa sana akishiba damu.Nuksi sana hawa
Kwa ugali wa mtama anapendeza zaidiπ€£π NENO MOYAAA KWAKE π€¦π
HatariππππππΎOgopa sana akishiba damu.
Washanifanya nikalala juu ya meza enzi hizo.
Washanifanya naenda geto kulala saa Tisa usiku.
Mbaya zaidi chumba cha jirani hakuna.
KiajeKuna wahuni wanaishi maisha ya huyo mwamba na wanapiga pesa mjini,daaah
Na pilipili Kwa mbaaaali ππππKwa ugali wa mtama anapendeza zaidi