Neno moja kwa huyu mtu

Mtu Mbinafsi aliyejiona yy ni yy bila kufundisha kizazi cha kuwa viongoz kwa wakat ujao
 
Kwaiyo ulitaka Idd Amin kwenye vita asiwe na mshirika? Vipi na Waganda wawachukulie vipi wachina na wazungu walio tusaidia zana na vifaa katika vita ya Kagera?
Are you sure? Vifaa gani vya kichina tulitumia? Nilikuwa jeshini wakati wa vita vya kagera naomba unieleze ni kifaa kipi cha kichina tulitumia. Vifaa vingi tulikuwa tunatoa Western countries labda hizi bunduki ndogo ndogo. Nitajie kifaa tulichotoa china. Hata vyombo vya maji na chakula tulitumia vya Israel wakati tulishavunja uhusiano nao.
 
Mbona nimeandika Wachina na Wazungu hapo cha ajabu umewashupalia Wachina tu hao Wazungu mbona hujitetei kwamba hawajatusaidia? Na swali lipo palepale Waganda wawachukulie vipi hao Wazungu wako na Waisrael uliowataja ikiwa walishiriki kuwaua ndugu zao?
 
Mbona humtaji Ghadaffi watu wetu aliowaua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom