Neno moja kwa huyu mtu

Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
7,953
Points
2,000
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
7,953 2,000
Hivi huyu alikua anauza waafrica?lol
 
avogadro

avogadro

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
3,295
Points
2,000
avogadro

avogadro

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
3,295 2,000
Alitaka kuangamiza Tanzania kwa kutuma majeshi yake wakati wa vita ya IDD amini. Hajawahi kuwa rafiki mzuri wa nchi za kiafrika alikuwa na ka unafiki fulani hata misaada yake ilikuwa na uwalakini wa mrengo fulani ama masharti fulani
 
haa mym

haa mym

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2014
Messages
4,411
Points
2,000
haa mym

haa mym

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2014
4,411 2,000

Misaada ya Wazungu haina masharti au masharti yake mepesi kama ushoga n.k.
 
N

niah

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Messages
5,748
Points
2,000
N

niah

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2015
5,748 2,000
Shujaa wa kweli aliyezimwa na mabeberu ili wainyonye africa
Shujaa kwako.
Ndugu zetu watanzania aliowaua pamoja na Idd Amin tutasemaje? He was an opportunist ambaye alitaka asifiwe. Na alimpenda Amin sababu walifanana kwa kila hali. Kuua, kudamiza watu wao na hasa alitaka Africa nzima iwe ya waislam bila kujua dini peke yake haileti maendeleo.
Ile ndege aliyotuma watu wake waplant bomu si ilimghalimu mpaka alipokubali kulipa kikombozi na Blair kwa ujinga wake akarejesha urafiki naye?

Kumbuka alipovalia njuga lile swala la umoja wa Afrika ila akataka yeye eti awe ndiye rais, wengine walipokataa si akaamua kuunda lile la waarabu. Yule alikuwa na kichaa kichwani. Alipiga marufuku pombe lakini siku alipouawa, nyumbani kwake walikuta kila aina ya kileo.
 
S

Sela Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Messages
243
Points
250
S

Sela Son

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2018
243 250

Kumbe. Pombe na Hapo waliikuta?
Wazungu bwana!
 
N

niah

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Messages
5,748
Points
2,000
N

niah

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2015
5,748 2,000
Kumbe. Pombe na Hapo waliikuta?
Wazungu bwana!
Mbona umesema wazungu? Waliokuta pombe ni walibya wenyewe waliomuua. Ghadaffi hakuuawa na watu wa nje ni wenyewe kwa wenyewe. Nenda Utube uangalie jinsi walivyomtoa kwenye karavati alikokuwa amejificha.
 
S

Sela Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Messages
243
Points
250
S

Sela Son

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2018
243 250
Mbona umesema wazungu? Waliokuta pombe ni walibya wenyewe waliomuua. Ghadaffi hakuuawa na watu wa nje ni wenyewe kwa wenyewe. Nenda Utube uangalie jinsi walivyomtoa kwenye karavati alikokuwa amejificha.
Hilo nalielewa. Wazungu wanafanya kila kitu kionekane namna watakavyo na bila kujua tumefata hivyo hivyo.. eg kufikiri, kuelewa, na kuchambua mambo.
Wapinzan wote wa west Ni watu wasiofaa, madikteta na wauaj.
Hivi unajua kagame Ni dikteta mkubwa asiyefaa kabisa Pengine hata zaidi ya Bashir na gadafi?
Huyu huwaua wapinzan wake kila siku. Lakini Ni Western puppet.
Nani aso ujua ukatili wa huyu mwamba toka 94 Hadi leo.lakini juzi BBC wanasema KG Ni raisi wa mfano Africa.kisa ameendesha baskeli mtaani..
 
N

niah

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Messages
5,748
Points
2,000
N

niah

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2015
5,748 2,000
Hilo nalielewa. Wazungu wanafanya kila kitu kionekane namna watakavyo na bila kujua tumefata hivyo hivyo.. eg kufikiri, kuelewa, na kuchambua mambo.
Wapinzan wote wa west Ni watu wasiofaa, madikteta na wauaj.
Hivi unajua kagame Ni dikteta mkubwa asiyefaa kabisa Pengine hata zaidi ya Bashir na gadafi?
Huyu huwaua wapinzan wake kila siku. Lakini Ni Western puppet.
Nani aso ujua ukatili wa huyu mwamba toka 94 Hadi leo.lakini juzi BBC wanasema KG Ni raisi wa mfano Africa.kisa ameendesha baskeli mtaani..
Siwezi comment kwa hilo sababu na mimi ni puppet. Nimesoma elimu ya kizungu, nimeishi ulaya na marekani, mpaka sasa nalipwa mshara na hao unaowaita wazungu. Swali na wachina tuwaiteje?
 
S

Sela Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Messages
243
Points
250
S

Sela Son

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2018
243 250
Siwezi comment kwa hilo sababu na mimi ni puppet. Nimesoma elimu ya kizungu, nimeishi ulaya na marekani, mpaka sasa nalipwa mshara na hao unaowaita wazungu. Swali na wachina tuwaiteje?
Ni kweli huwezi mpinga baba aliye hakikisha unasoma na Leo una kazi safi.
Mchina Hana tofauti na mzungu kwani kwa pa1 lngo la 1 unyonyaji..
Wao wananyonya bila jina la demokrasia.
Lakn mzungu ananyonya kwa jina la demokrasia hata pale asipoweza kuingia kirahisi.
NAdhani kwa Sasa walibya wanainjoi mno demokrasia bila gadafi
 
N

niah

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Messages
5,748
Points
2,000
N

niah

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2015
5,748 2,000
Ni kweli huwezi mpinga baba aliye hakikisha unasoma na Leo una kazi safi.
Mchina Hana tofauti na mzungu kwani kwa pa1 lngo la 1 unyonyaji..
Wao wananyonya bila jina la demokrasia.
Lakn mzungu ananyonya kwa jina la demokrasia hata pale asipoweza kuingia kirahisi.
NAdhani kwa Sasa walibya wanainjoi mno demokrasia bila gadafi
Walioiona demokrasia ni wali waliomuunga mkono. Aliua, aliweka vizuizini watu na kufanya watu waishi uhamishoni kwa miongo mingi. Kama uliishi wa kati wa Idd Amin kama mimi utajua Ghadaffi alikuwa mtu wa aina gani.
 
haa mym

haa mym

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2014
Messages
4,411
Points
2,000
haa mym

haa mym

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2014
4,411 2,000
Walioiona demokrasia ni wali waliomuunga mkono. Aliua, aliweka vizuizini watu na kufanya watu waishi uhamishoni kwa miongo mingi. Kama uliishi wa kati wa Idd Amin kama mimi utajua Ghadaffi alikuwa mtu wa aina gani.
Kwaiyo ulitaka Idd Amin kwenye vita asiwe na mshirika? Vipi na Waganda wawachukulie vipi wachina na wazungu walio tusaidia zana na vifaa katika vita ya Kagera?
 
Forum statistics

Threads 1,296,165
Members 498,559
Posts 31,236,940
Top