Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
Mungu aendelee kukupa nguvu braza Mshana.
Pole sana Hakuna jipya chini ya Jua na maisha ya mwanadamu siku zote ni Ubatili mtupu Mungu awatie nguvu ktk wakati huu mgumu
Aaamen asanteni sanaMbele yetu yeye nyuma yake sisi pumumzika Kwa amani mama sisi sote niwapitji tonatofautiana tarehe tu ,Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.R.I.P mama mshana.....pole sana kaka mshana nakuombea ustahmilivu Kwa kipindi chote hiki cha majonzi........amina
Duu pole sana kwa ban! Viungo vya mwanamke mjamzito hutumika kama malighafi kwenye mambo ya kishirikinaMsiba wa MAMA ulipelekea kwa Mara ya kwanza kupewa bonge LA BANN ya siku4 maana niliandika comment ya mzaha nikijua ni ule ule utani na maneno yako ya kichawi kichawi Ila nilipogundua ni ukweli niliumia sana aiseee pole Sana Jamaa angu ila tukio LA msiba na Mimi linabaki kama kumbukumbu kwangu toka nirudi upya Hapa JF nilikuwa sijapigwa Bann ni kama mods walikuwa wananiwinda aisee haikupita hata Dk5 nikaona Banned daaaa noma sana Karibu tena mkuu Nakuomba uje unieleza Viungo vya siri vya mwanamke aliyefariki na ujauzito vinatumika ktk upande gani wa mambo ya Ulozi????
Pole sana mkuu,
Mimi binafsi sijawahi kukutana na huyu mkuu mshana Jr physically but sometimes spiritually we do connect we do meet actually.
You are strong spiritually, so you're strong physically. As within so it is without.
Aiseee basi ni hatari inabidi kuilinda maiti mochwari kumbe maana mortuary attendant wanakula sana hizi dealDuu pole sana kwa ban! Viungo vya mwanamke mjamzito hutumika kama malighafi kwenye mambo ya kishirikina