mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,047
mbona sioni chozi hapo?Sasa umeandika nini? Tukusaidie nini? We Si kamanda ,kamanda huwa halili ovyo
mbona sioni chozi hapo?Sasa umeandika nini? Tukusaidie nini? We Si kamanda ,kamanda huwa halili ovyo
Uongo ni upi, hakuwekwa korokoroni?!Acha kuandika habari za uongo zinazotokana na mawazo yako yanayo shabihiana na mapenzi yako kwa CDM.
Ieleweke wala huisaidii CDM kuandika habari za UONGO!
Halafu akale wapi?!Nakushauri achana na Siasa
akalime jela sio nzuri siku atapotezwa kabisaHalafu akale wapi?!
Dear Gag, watu huwa wanauliza maswali ili wapate majibu, sasa wewe unauliza majibu ndio tukujibuje?.Paskali,
Who is this worst dictator?!
Sasa umeandika nini? Tukusaidie nini? We Si kamanda ,kamanda huwa halili ovyo
Binadamu tumeumbwa na uwezo tofauti wa ufahamu. Kusema kwamba nauliza majibu kwa kuwa tu sifahamu unachokifahamu wewe ni dharau na matusi kwangu kitu ambacho sikutarajia kingetoka kwa mtu wa caliber yako.Dear Gag, watu huwa wanauliza maswali ili wapate majibu, sasa wewe unauliza majibu ndio tukujibuje?.
P
Gag, kwanza pole sana na samahani kuhisi umedharauliwa na umetukanwa matusi!. Nahisi kuna tatizo mahali, kabla sijalitatua, naomba kwanza nirudie nilichosema hadi wewe ukauliza, ukijiona bado hujaelewa na hata baada ya kukuwekea mara ya pili bado tuu hujaelewa, then nitakuelewa na nitasaidia.Binadamu tumeumbwa na uwezo tofauti wa ufahamu. Kusema kwamba nauliza majibu kwa kuwa tu sifahamu unachokifahamu wewe ni dharau na matusi kwangu kitu ambacho sikutarajia kingetoka kwa mtu wa caliber yako.
Vijana wenye ari na uzalendo wa dhati ndio watakaolikomboa Taifa hili dhidi ya mambo yote ambayo yapo kinyume kama ukandamizaji wa haki za kawaida za raia/binadamu..umeonesha mfano Yerico
relax.Gag, kwanza pole sana na samahani kuhisi umedharauliwa na umetukanwa matusi!. Nahisi kuna tatizo mahali, kabla sijalitatua, naomba kwanza nirudie nilichosema hadi wewe ukauliza, ukijiona bado hujaelewa na hata baada ya kukuwekea mara ya pili bado tuu hujaelewa, then nitakuelewa na nitasaidia.
If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's ...
Paskali
Jasho la wapigania haki ni mbegu izaayo mashujaa na damu ya mashujaa ni mbegu ya ukomboziNadhani umejifunza punguza kimbelembele
IZAAYOJASHO LA WAPIGANIA HAKI NI MBEGU IZAAYA MASHUJAA NA DAMU YA MASHUJAA NI MBEGU YA UKOMBOZI