Lakini ana vyeti halali? hilo jina litarejea.Huyo Nyerere sio ukoo wa nyerere na wala sio mtu wa mkoa wa mara unabii wako umeupeleka kwa kibaka wa majina kama Makonda yeriko Nyerere ni wa iringa kaiba jina tu huyo.
Mkuu Yeriko, pole kwa yote.NINALAANI kwa nguvu zote MDUDU anayeitwa "MAAGIZO TOKA JUU", Huyu kwahakika anaichafua serikali ya rais wetu mpendwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli kwakubaka haki za watu, tunayo sababu ya kumuomba rais wetu amshughulikie....
Yericko Nyerere
Kuwa makini sana na mtu huyu. ..Wakuu,
Tanzania tuko kwenye vita vya ukombozi wa pili wa nchi yetu!. Kwenye vita hii, tuna wapiganaji mashujaa walioko mstari wa mbele wa mapambano, ambao wao kazi yao ni kupigana tuu, no matter what!. Na kuna wapiganaji makini ambao hawaamua kupigana pale tuu kwenye uhakika wa posibility ya kushinda vita!, lakini kundi kubwa zaidi ni kundi la watazamaji!. Hawa ndio determinant ya kundi lipi lishinde hii vita kwa sababu ushindi wa vita unaitegemea support ya hawa watazamaji na sio nguvu ya jeshi la adui!.
Wapiganaji Shujaa!.
Ndani ya vita hii kuna wapiganaji shupavu, hawa ni wale waliodhamiria kuingia vitani, na ni kweli wameingia vitani, na sasa wako vitani kupigana kufa na kupona, kuikomboa nchi yetu!. Wanapigana kwa ari kubwa huku "motto" yao ni "fight fight fight no matter what!", "no retreat!, no surrender!", hawa watapigana hadi risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limwagike, hata kama wanajua kabisa kuwa hawatashinda vita hii, na watashindwa tuu kutokana na kuwa na jeshi dogo na silaha duni kuliko adui yao, lakini wataendelea kupigana tuu, na mwisho wa siku, watashindwa and all will be wiped!, ila watakuwa declared "mashujaa wa ukombozi wa taifa" na majina yao, yataandikwa na kumbukwa milele!.
Wapiganaji Makini!.
Wapiganaji makini, hawaingii vitani mpaka kwanza wajue nguvu ya jeshi la adui!, na wakijipima na nguvu yao, wanaamua kutopeleka kwanza majeshi vitani ili kuepuka a loosing battle!, yaani kushindwa!, hawa formula yao ni "never fight a loosing battle", na wakiwa kwenye uwanja wa mapambano, wakiona dalili za kushindwa, kuliko kuendelea kupigana na kushindwa, yaani just to fight na kuwa wiped out, watarudi nyuma, retreat, kwenda kujijenga upya, mpaka wawe na nguvu ya kutosha to hit back and win, vinginevyo baada ya majaribio kadhaa ya kushindwa, then wanaamua "if you can't beat them, join them" and learn their secrets of battlefields" kinachowafanya washinde!. Hawa watazomewa ni waoga, wanarudi nyuma!, wanakimbia vita!, That is me!, mimi niko kwenye kundi hili!.
Wengi wa wapinzani Tanzania ni wapiganaji mashujaa so does wengi wa wana jf, mimi ni miongoni mwa wale wachache tunaosema ukweli huu mchungu bila kumung'unya maneno, ili angalau watusikie, sometimes tunalazimika kutumia maneno makali kama hili la "ignorant!' tunaowaambia kuwa, upinzani Tanzania, bado sana!, kuliko kujiunga na upinzani, ni bora kusimama tuu na kuangalia kuepuka kupoteza muda!, hata kwenye urais wa 2015 ni CCM tena!, simply kwa sababu wapinzani bado hawajawa tayari kushika dola, au kutawala!, vyama vya upinzani Tanzania bado ni wanaharakati wa ukombozi badala ya wanamikakati ya kutawala!. Wakiambiwa ukweli huu mchungu, wanakasirika!, mimi nitaendelea kuusema ukweli huu mchungu no matter what, kwa sababu ndio ukweli wenyewe halisi!
Na kwenye upinzani pia wapo wapinzani ambao ni wapigani shupavu, wao target yao ni Ikulu tuu, hata kama wanajua hawana askari wa kutosha kuwafikisha ikulu, wao ni kupigana tuu kuelekea ikulu hata kama wataishia njiani, ndoto yao ni ikulu tuu!.
Ndani ya upinzani, pia wako wapiganaji makini ambao tayari wameishajua mbinu zinazotumiwa na wapinzani haziwezi kuwapa ushindi wa vita hii!, wamegundua udhaifu wa makamanda wao, silaha zao duni na mbinu hafifu za medani zinazotumiwa na viongozi wao wachovu, haziwezi kuwaletea ushindi!, wamejaribu kuhamasisha mageuzi ya ndani, (internal reforms) ndani ya vyama vyao ili vyama vyao viongozwe na majemedari wa vita wenye uwezo wa kutumia mbinu zakisasa za medani, wameishia kuzomewa, kuitwa wasaliti na wengine kuhukumiwa vifo!.
Paskali
Makamanda, ndugu jamaa na marafiki,
Kwa heshima zote naomba niwashukuru kwa kuwa nami katika kipindi kigumu nilichopitiana ninachoendelea kupitia hadi sasa,
Naishukuru familia yangu na naiomba radhi kwakuipitisha katika bonde hili la uvuli wa mauti, hii ndio njia tuliyopo na nilazima tufike tulipokusudia...
Kwa uzito usioelezeka, namshukuru sana wakili wangu msomi Mh Peter Kibatala na jopo zima la mawakili wenza, Nakishukuru chama changu cha Chadema chini ya Mwanasheria Mkuu ambae pia ni Rais wa TLS wakili msomi Mh Tundu Lissu,
Naishukuru serikali ya Chadema Dar chini ya Meya wa Jiji Mstahiki Isaya Mwita, Nalishukuru jopo la uongozi Chadema Kanda ya Pwani chini ya kamanda Mbusule C. Shillu
Afisa Oganizesheni na Uchaguzi Kanda ya Pwani, Naishukuru Chadema Wilaya ya Kigamboni chini Katibu wa Chama Kamanda Simon Magese, Nawashukuru madiwani wa Chadema Dar wakiongozwa na Mh Selestine Maufi Diwani wa Mjimwema Kigamboni, Diwani wa Mchikichini Ilala, Diwani viti Maalumu Kigamboni Mh Stela, Nawashukuru sana baraza la wazee Mbutu wakiongozwa na Mwenyekiti wa mtaa Mh Jamal Hassan Mfaume, mmekuwa silaha yangu na walezi imara katika kipindi chote.
Na mwisho nalishukuru jeshi la polisi na maafisa usalama wote waliotekeleza wajibu wao kwa mjibu wa sheria na miiko ya kijeshi, NINALAANI kwa nguvu zote MDUDU anayeitwa "MAAGIZO TOKA JUU", Huyu kwahakika anaichafua serikali ya rais wetu mpendwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli kwakubaka haki za watu, tunayo sababu ya kumuomba rais wetu amshughulikie....
Nawashukuru watumishi na viongozi wa kiroho ambao kwa kila sekunde mnapaza sauti zenu mbele ya Mungu kuniombea, Lakini kubwa kuliko yote nawashukuru waandishi wa habari na wadau wote katika mitandao ya kijamii, Umoja na mshikamano mlionionyesha nawaomba usiishie kwangu tu, uendelee kwa wadau wote, mechi bado mbichi, imehamia mahakamani rasmi....
Sina neno linalojitosheleza katika shukrani hizi, zaidi ya kusema asanteni sana sana...
Niwahakikishie Mimi nipo imara kuliko nyakati zozote zile, Mimi na wenzangu hatutarudi nyuma katika kupigania mambo ya msingi katika taifa letu,
Tumedhamiria, na hili naomba niweke wazi, Azimio la Baraza Kuu Chadema la 27/5/2017 pale Dodoma lililotangazwa na Mwenyekiti was Chadema Taifa Kamanda wa Anga Mh Freeman Mbowe juu ya madai ya Katiba Mpya, Tume HURU ya Uchaguzi na mengineyo vitasimama kuwa ndio msimamo wangu na sitarudi nyuma kwa hofu ama ghiriba zozote, nitaishinda hofu kwa kuikabili USO kwa macho.
Na Yericko Nyerere
Yaani unaamini Lowasa na Sumaye wanapigania uhuru? Ama kweli wahenga walisema: wajinga ndio waliwao. Utasubiri sana huo "uhuru" unaopiganiwa na akina Yericko na makamanda wenzao.kaka mda ndo kila kitu kwani tunasubiri tu siku ya Uhuru ikija...
Kiki hazina nafasi kwa mzee mwenyewe Magu. Msipojirekebisha awamu hii mtaishia kutoa shukrani tu humus lakini impact ya kuvuna umaarufu tena hamna.nikuulize swali hivi wewe kama wewe una wafuasi wangapi wanaokufuatilia upuuzi wako..chapa kazi mambo ya Kiki mwachie mange..we bado bwanamdogo sana kuweza kujitafutia umaarufu kwa kufanya uchochezi wa kijinga. Agenda ya upinzani ilishatibuliwa na mwenyekiti wenu alipoingiza fisadi. Ni hayo tuMakamanda, ndugu jamaa na marafiki,
Kwa heshima zote naomba niwashukuru kwa kuwa nami katika kipindi kigumu nilichopitiana ninachoendelea kupitia hadi sasa,
Naishukuru familia yangu na naiomba radhi kwakuipitisha katika bonde hili la uvuli wa mauti, hii ndio njia tuliyopo na nilazima tufike tulipokusudia...
Kwa uzito usioelezeka, namshukuru sana wakili wangu msomi Mh Peter Kibatala na jopo zima la mawakili wenza, Nakishukuru chama changu cha Chadema chini ya Mwanasheria Mkuu ambae pia ni Rais wa TLS wakili msomi Mh Tundu Lissu,
Naishukuru serikali ya Chadema Dar chini ya Meya wa Jiji Mstahiki Isaya Mwita, Nalishukuru jopo la uongozi Chadema Kanda ya Pwani chini ya kamanda Mbusule C. Shillu
Afisa Oganizesheni na Uchaguzi Kanda ya Pwani, Naishukuru Chadema Wilaya ya Kigamboni chini Katibu wa Chama Kamanda Simon Magese, Nawashukuru madiwani wa Chadema Dar wakiongozwa na Mh Selestine Maufi Diwani wa Mjimwema Kigamboni, Diwani wa Mchikichini Ilala, Diwani viti Maalumu Kigamboni Mh Stela, Nawashukuru sana baraza la wazee Mbutu wakiongozwa na Mwenyekiti wa mtaa Mh Jamal Hassan Mfaume, mmekuwa silaha yangu na walezi imara katika kipindi chote.
Na mwisho nalishukuru jeshi la polisi na maafisa usalama wote waliotekeleza wajibu wao kwa mjibu wa sheria na miiko ya kijeshi, NINALAANI kwa nguvu zote MDUDU anayeitwa "MAAGIZO TOKA JUU", Huyu kwahakika anaichafua serikali ya rais wetu mpendwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli kwakubaka haki za watu, tunayo sababu ya kumuomba rais wetu amshughulikie....
Nawashukuru watumishi na viongozi wa kiroho ambao kwa kila sekunde mnapaza sauti zenu mbele ya Mungu kuniombea, Lakini kubwa kuliko yote nawashukuru waandishi wa habari na wadau wote katika mitandao ya kijamii, Umoja na mshikamano mlionionyesha nawaomba usiishie kwangu tu, uendelee kwa wadau wote, mechi bado mbichi, imehamia mahakamani rasmi....
Sina neno linalojitosheleza katika shukrani hizi, zaidi ya kusema asanteni sana sana...
Niwahakikishie Mimi nipo imara kuliko nyakati zozote zile, Mimi na wenzangu hatutarudi nyuma katika kupigania mambo ya msingi katika taifa letu,
Tumedhamiria, na hili naomba niweke wazi, Azimio la Baraza Kuu Chadema la 27/5/2017 pale Dodoma lililotangazwa na Mwenyekiti was Chadema Taifa Kamanda wa Anga Mh Freeman Mbowe juu ya madai ya Katiba Mpya, Tume HURU ya Uchaguzi na mengineyo vitasimama kuwa ndio msimamo wangu na sitarudi nyuma kwa hofu ama ghiriba zozote, nitaishinda hofu kwa kuikabili USO kwa macho.
Na Yericko Nyerere
Kafanyaje?Utarudia tena kufanya uliyofanya au umekoma hurudii tena ili usisumbue familia yako na Chadema? Utarudia au hurudii?
Unasumbua familia yako tu Yericko Nyerere kukuletea Chakula ukiwa selo.Makamanda, ndugu jamaa na marafiki,

Hehee Mkuu Pasikali nakushukuru sana...Mkuu Yeriko, pole kwa yote.
Nimeipenda hiyo ya kulaani.
Nakupongeza kwa upiganaji ila pia nina ushauri wa bure kwako
Tuko Vitani Tuna Wapiganaji Shupavu, Wapiganaji Makini na Watazamaji, Je! Wewe Uko Kundi Gani ?
Kuwa makini sana na mtu huyu. ..
If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!