Neno la shukrani kwa Watanzania

Neno la shukrani kwa Watanzania

Pole sana Yericko Nyerere. Roho wa Unabii ananiambia jambo jema kuhusu wewe.
Tazama kama jina la Kenyata lilivyorejea ndivyo na la Nyerere litarejea!
 
Pole sana Yericko Nyerere. Roho wa Unabii ananiambia jambo jema kuhusu wewe.
Tazama kama jina la Kenyata lilivyorejea ndivyo na la Nyerere litarejea!
Huyo Nyerere sio ukoo wa nyerere na wala sio mtu wa mkoa wa mara unabii wako umeupeleka kwa kibaka wa majina yeriko Nyerere ni wa iringa kaiba jina tu huyo.wewe ni nabii wa uongo
 
leo umeandika kwa adabu sana ndugu, hadi umemtaja mheshimiwa raisi "mpedwa". wamekufanya nini huko korokoroni mkuu? by the way pole
 
Pole sana ila hakika umekosea sana kwa kutuhumu aliye juu huku ushahidi ukitakiwa utoe hutakuwa nao!
Kulikuwa hakuna haja kuendeleza ligi wakati bado upo na kesi......pengine hata kibatala hatapendezwa na hili.
Ni vema tujifunze kutunza akiba ya maneno.
 
hii nchi vululu ninyingi pigana kwa scope usipitilize uwezo Wako ukapotezwa...jua familia,ndugu,jamaa na marafiki wanakuhitaji nawe unawahitaji bilashaka!! Be blessed
 
achana na mambo yasiyo na faida kwako na familia yako.ipo siku utajuta zaidi.
 
Utarudia tena kufanya uliyofanya au umekoma hurudii tena ili usisumbue familia yako na Chadema? Utarudia au hurudii?
Hivi umeyasoma mashitaka ya Yericko lakini ? Sijawahi kuona kesi nyepesi kama hii ! Halafu huku kwetu uoga wa kishamba haukubaliki kabisa .
 
Kauli ya kizembe kama hii ndio ilifanya africa kuwa bara la kitumwa , mambo yasiyo na faida ni yapi ?
5472719_546619752197405218780avatar12342gif6ad642a37725e84edc6f827455c34a21gifacde8cf2e8b4eeea6ecd1a25a490fc67giff1ef2f77b40fa6df9fd4158bd7f00163_gife69cab1818e2d902ffda0835666b20a1
 
Vijana wenye ari na uzalendo wa dhati ndio watakaolikomboa Taifa hili dhidi ya mambo yote ambayo yapo kinyume kama ukandamizaji wa haki za kawaida za raia/binadamu..umeonesha mfano Yerico
 
Back
Top Bottom