Kumbe ulikuwa unamjua mtekaji?Naona Ulitafuta Kiki eti umetekwa na Usalama wa Taifa...sema mtoa taarifa wako aliumbuka.
Nipo mkuu
Nimemuuliza inbox,lakini hajanijibu!!Nisaidie kumuulza pia mkuujamaa umemuuliza ile issue??
Sawa profesa j uu mtazamo wakoUkiitwa Kamanda lazima Upitie Depo..
Vinginevyo utakuwa unafuata Upepo..
Cha ajabu Makamanda wa Leo wamekosa Upeo..