Neno la leo: The Perfect Guy

Neno la leo: The Perfect Guy

ni yule afanyae haya.........

1)hata akipigiwa haulizi wala kulipiza!
2) hula miogo ili mpenzi wake ale chips kuku
3) hufanya chochote including kupumuliwa kisogoni ili mradi dem wake asipate shida!
Huyo atakuwa boya zaidi ya maelezo
 
Niko shambani napalilia mahindi na kumalizia kuweka mbegu za mpunga maana mvua zimechachamaa sana

Ila nataka niwaambie neno moja tu kuwa,binadam tunahangaika kuwatafuta wakamilifu kwasababu hatujiamini na ni dhaifu sana

Ukiona unaanza kuweka vigezo vya ajabu ajabu kwenye kutafuta mwenza jua wewe una matatizo mengi sana

Mtu anaejitambua hana haja ya mtu mkamilifu kwani anaweza kuishi na yoyote

Ngoja niwape kauli yangu kuwa,kama MWANAUME asie cheat,kunywa na kutokuvuta basi mimi ni perfect sanaaaaa

Kaizer hebu mwambie Ennie apokee simu,mwambie kale ka jamaa kake ni perfect kama wewe . . . . . .lol

Ngoja nirudi shambani kwanza . . . . . . . .


mkuu Eiyer nakuombea mvua hizi ziwe za neema uvune hadi ushangae
Ennie eti una simu ya huyu Eiyer? kama ndio hebu do ze nidiful umtwangia asije akakosea kusia mbegu
 
Last edited by a moderator:
am not looking for a perfect guy mwekundu..btw,am a nun,na hata ikitokea naacha u nun (god forbid,asione paroko Kaizer hapa)..sitatafuta mtu perfect,i will pray,nimpate mtu atakayajua mapungufu yangu n yet upungufu huo usiathiri upendo wake kwangu kwa namna yoyote

Sijaona apo mwallu.......
 
Last edited by a moderator:
mkuu Eiyer nakuombea mvua hizi ziwe za neema uvune hadi ushangae
Mukulu ubarikiwe sana kwa maombi yako yenye nguvu kubwa
Ennie eti una simu ya huyu Eiyer? kama ndio hebu do ze nidiful umtwangia asije akakosea kusia mbegu

Dadadeki zake

Eti kaninunia kisa nimemteua Husninyo kuwa mkuu wa masista

Atajibeba

Hivi umenionea wapi snowhite ?
Nina dili nae!
 
Last edited by a moderator:
Their is no perfect guy on the face of the earth if you expect perfect then you are just setting yourself up for disappointment

Nimekumiss wewe handsome! So mnasuggest watu waache kuhangaikia na kutafuta ma-perfect kwa kuwa hawapo sio? hahahah so does it mean kuwa neno perfect liliwekwa kwa matumizi ya vitu vingine na sio wanadamu? Mwe! I am still looking for a perfect guy wajamane ambaye anakidhi tafadhali asinifanyie hinda mie mwana wa mwanaume mwenzenu eh
 
Back
Top Bottom