Neno la leo: The Perfect Guy

Neno la leo: The Perfect Guy

Kaizer

Platinum Member
Joined
Sep 16, 2008
Posts
25,329
Reaction score
17,855
Haswaaa, though naweza kumruhusu kunywa kidogo ila haya mengine ndo mwake

Neno la leo linasema hivi, to all MMUs looking for the perfect guy....

"The perfect guy
Doesn't DRINK
Doesn't SMOKE
Doesn't CHEAT
And Doesn't EXIST"

Karibuni kwa mjadala huru....
 
ni yule afanyae haya.........

1)hata akipigiwa haulizi wala kulipiza!
2) hula miogo ili mpenzi wake ale chips kuku
3) hufanya chochote including kupumuliwa kisogoni ili mradi dem wake asipate shida!
 
No you are wrong I exist(Kwa kumwogopa mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na nchi mimi ni kijana mwaminifu na naamini tupo wengi maana sivuti sigara,sinywi pombe,sidanganyi kwenye mapenzi na ni mwaminifu sana kwenye mapenzi na sifa nyingine tele tupo wengi sana bwana)
 
Then you are the perfect guy, but not on earth.
 
Wait a minute....

BTW, umefikiria nini asubuhi yote hii Kaizer..? Au unajiandaa kwenda kusoma penetensia (kupata kitubio) wk end hii??
 
Last edited by a moderator:
Wait a minute....

BTW, umefikiria nini asubuhi yote hii Kaizer..? Au unajiandaa kwenda kusoma penetensia (kupata kitubio) wk end hii??

hahaha mkuu mwenzangu Dark City, baada ya ile sredi yako ya kuwatafuta kondoo waliopotea, nikaona niwaite walau tukumbukie ya zamani hata kama kwa kitubio hivyo hivyo,,,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom