- Majjid Great Thinking bro!
Es!
Na Maggid Mjengwa,
" One tall tree does not make a jungle"- Nelson Mandela.
Hakika, na mimi naamini, kuwa Chama cha kisiasa chenye nguvu kinatokana na kazi ya timu iliyoandaliwa vema. Na si mtu mmoja.
Tujiulize; Je, chama cha siasa ni nini? Katika harakati za kisiasa kuna aina mbili za vyama; Chama cha Ukombozi na Chama cha Uongozi. TANU, FRELIMO, ANC ni mifano ya vyama vya ukombozi vilivyokuja kugeuka kuwa vyama vya uongozi. CCM, CUF, CHADEMA ni mifano michache ya vyama vya uongozi.
Chama imara cha ukombozi kinatakiwa kijenge uwezo wa kuwa chama cha uongozi mara ile kitapotwaa madaraka. Hufanya hivyo kwa kuweka mkazo juu ya mafunzo kwa makada wake. TANU, FRELIMO na ANC viliweza kujenga uwezo huo. Kielelezo cha nguvu na umakini wa chama cha kisiasa ni uwingi na ubora wa makada wake. Chama ni makada kwa vile chama ni itikadi, malengo na shabaha na wala si nasaba na umaarufu wa mtu mmoja mmoja ndani ya chama.
Chama chenye makada wengi wenye kuielewa itikadi, malengo na shabaha ya chama, huwa hakimtegemei mtu mmoja katika kuwepo kwake. Hakimtegemei mtu mmoja katika kufanikisha ushindi wa chama. Hakimtegemei mtu mmoja katika kuhamasisha wanachama au umma. Chama hicho hujiamini. Edward Mondlane, kiongozi wa kwanza wa Frelimo alipouawa kwa bomu la barua, Frelimo walijua watafanya nini, walijua mchakato gani utumike katika kumpata mrithi wake. Na hata Samora Machel, alipotoweka ghafla kwa ajali ya ndege, FRELIMO walijua watafanya nini.
Na kama Nyerere angekufa wakati wa TANU, bila shaka, TANU walikuwa wamejindaa vema na cha kufanya. TANU haikuwa na ukame wa jeshi la makada. Nguvu ya Frelimo kama ilivyokuwa kwa TANU zilikuwa ni makada wake. Na ieleweke, kuwa makada ni roho ya chama. Chama kikianza kupungukiwa na idadi ya makada wake wakereketwa, basi, chama hicho hakina mustakabali ulio salama, kitayumba, kitaangukia kaburini.
Kuna mfano wa chama kisichokuwa na nguvu ya makada. Wakati John Garang wa SPLM alipouawa kwa ajali ya ndege, hakuna ndani ya SPLM aliyekuwa na hakika ya nini kifanyike. Kwamba ni mke na mtoto wa John Garang waliosimama mbele ya kamera za waandishi wa kimataifa kujaribu kuelekeza nini John Garang angependa kifanyike kilidhihirisha udhaifu wa SPLM. Kwamba SPLM ni John Garang na kinyume chake. SPLM ilikuwa ni chama mtu. Na hilo ni Neno La Leo.
Maggid,
Msamvu, Morogoro
Kitu kikubwa ninachojifunza ndani ya hizi debate/discussions ni kuwa soon or later watu tutaanza kufikiri na kutenda nje ya mazoea. Fikra zinapojengwa na kutumiwa kwa usahihi zinaleta mabadiliko makubwa sana. Kule tulikotoka tulijisahau, tukawaacha watu wachache wawe wanafikiria mambo yote kwa ajiri yetu. Sasa hivi tumetengeneza matatizo makubwa kiasi kwamba hatuendi mbele kama Taifa. Ninafurahi kuona mwanga unaanza kuonekana taratibu. Siku za kudanganyana zimebaki chache na zinakaribia kikomo. Mwenye macho haambiwi ona!!
jmushi1,
..nimesoma kwamba kampeni za CUF na Prof.Lipumba zimepokelewa vizuri sana ukanda wote wa kusini mwa Tanzania.
..kwa upande mwingine, Prof makes a lot of sense katika mambo mengi anayoyazungumzia. he would have helped himself kama angeamua kujijenga kwanza kama mbunge kabla ya 2010.
..sasa, ukiweka mapenzi ya chama pembeni, ukasikiliza hoja kwa hoja, baina ya JK,Prof.Lipumba,na Dr.Slaa, naamini kabisa you will end up with a toss up btn Lipumba and Slaa.
..kwa upande wangu nadhani kura za Uraisi hazitatofautiana sana baina ya vyama vitatu CCM,CUF,na Chadema.
Maggid anashindwa kuelewa CHADEMA kinaendelea kukuwa kwa kasi ya ajabu, mijini pamoja na vijijini. CHADEMA ni chama makini, na ndio maana watu kama kina Maggid hawazungumzii vyama vingine kabisa, wao ni kumshambulia Dokta kila kukicha. Maggid lazima utambue ya kuwa CHADEMA kilikuwapo kabla ya Dokta na kitaendelea kuwapo kwa sababu ya SERA zake bora lengo la kumkomboa mtanzania.
Ndahani,
Nakubaliana nawe, na uliyoyaandika yanatutaka sio tu tuanze kufikiri, bali tufikiri kwa bidii. Ahsante sana.
Makubwa haya mimi ningemuomba Maggid atuletee kipande cha hotuba ya Mandela aliposema hivyo!.. maanake haiingii akilini kabisa. I can bet Mandela hakuwahi kusema hivyo....
bado naitafuta hiyo quote tujue context yake kama mleta mada aliilewa vizuri .Isije akawa imetumika kama wanafunzi wa kiume tulivyokuwa tunatumia kifungu cha wakoritho 7 ktongoza wasichana shuleni . kifungu kinasema hiviA good head and a good heart are always a formidable combination.
After climbing a great hill, one only finds that there are many more hills to climb.
Communists have always played an active role in the fight by colonial countries for their freedom, because the short-term objects of Communism would always correspond with the long-term objects of freedom movements.
Does anybody really think that they didn't get what they had because they didn't have the talent or the strength or the endurance or the commitment?
Education is the most powerful weapon which you can use to change the world.
For one to be free is not merely to cast off one's chains, but to live in a way that respects and enhances the freedom of others.
I cannot conceive of Israel withdrawing if Arab states do not recognize Israel, within secure borders.
I detest racialism, because I regard it as a barbaric thing, whether it comes from a black man or a white man.
I dream of an Africa which is in peace with itself.
I dream of the realization of the unity of Africa, whereby its leaders combine in their efforts to solve the problems of this continent. I dream of our vast deserts, of our forests, of all our great wildernesses.
I learned that courage was not the absence of fear, but the triumph over it. The brave man is not he who does not feel afraid, but he who conquers that fear.
If the United States of America or Britain is having elections, they don't ask for observers from Africa or from Asia. But when we have elections, they want observers.
If there are dreams about a beautiful South Africa, there are also roads that lead to their goal. Two of these roads could be named Goodness and Forgiveness.
If you talk to a man in a language he understands, that goes to his head. If you talk to him in his language, that goes to his heart.
If you want to make peace with your enemy, you have to work with your enemy. Then he becomes your partner.
In my country we go to prison first and then become President.
It always seems impossible until its done.
It is better to lead from behind and to put others in front, especially when you celebrate victory when nice things occur. You take the front line when there is danger. Then people will appreciate your leadership.
Let freedom reign. The sun never set on so glorious a human achievement.
Let there be work, bread, water and salt for all.
......
endelea ksoma nyingine @ Nelson Mandela Quotes
quotes nyingine ya muhimu ni
No one is born hating another person because of the color of his skin, or his background, or his religion. People must learn to hate, and if they can learn to hate, they can be taught to love, for love comes more naturally to the human heart than its opposite.-Long Walk to Freedom
Sasa bila kuelewa context nzima unaweza kuwapotosha watuPeaneni msinyimane. Mwanamke hana amri juu ya mwili wake ....Iwapo mmekubaliana kwa faragha . .....
CHADEMA ni chama makini, na ndio maana watu kama kina Maggid hawazungumzii vyama vingine kabisa, wao ni kumshambulia Dokta kila kukicha. .
Omarilyas,
..sasa hiyo ni worst case scenario, tueleze basi na best case ikoje.
..ikiwezekana tueleze na 50-50 case scenario ikoje.
NB:
..second in charge wa Chadema anaweza kuwa rafiki yako Zitto Kabwe. why not??
U realy do believe this??? Now I can understand makada wa CCM na vikorombwezo vyao.......
Mkuu wangu ebu nifahamishe kidogo..Najua fika vita yako na chama hiki cha Chadema ni Mbowe na wapambe zake, lakini itakuwa vizuri sana kama utaweza kunieleza udhaifu wa chama kizima kwani binafsi siamini kabisa kwamba matatizo ya Chadema ni Mbowe, mtu ambaye kakubali kuachia kiti cha Urais kumpisha Dr.Slaa anaye uzika kwa wananchi. Sasa kama una mapungufu ya Dr.Slaa twambie nasi tupate kujua lakini kama ni swala la Mbowe na Chadema hakika mimi siamini kabisa kama mtu mmoja anaweza kumiliki chama kizima ktk dunia ya leo.U realy do believe this??? Now I can understand makada wa CCM na vikorombwezo vyao.......
Simple,
Another scenario:
President Dr Slaa, Vice President anaitwa nani vile? + Waziri Mkuu: Freeman Mbowe = Kikwete + Lowassa......
Scenario nyingine baadae kama ukihitaji
Mkuu wangu ebu nifahamishe kidogo..Najua fika vita yako na chama hiki cha Chadema ni Mbowe na wapambe zake, lakini itakuwa vizuri sana kama utaweza kunieleza udhaifu wa chama kizima kwani binafsi siamini kabisa kwamba matatizo ya Chadema ni Mbowe, mtu ambaye kakubali kuachia kiti cha Urais kumpisha Dr.Slaa anaye uzika kwa wananchi. Sasa kama una mapungufu ya Dr.Slaa twambie nasi tupate kujua lakini kama ni swala la Mbowe na Chadema hakika mimi siamini kabisa kama mtu mmoja anaweza kumiliki chama kizima ktk dunia ya leo.
Na Maggid Mjengwa,
" One tall tree does not make a jungle"- Nelson Mandela.
Hakika, na mimi naamini, kuwa Chama cha kisiasa chenye nguvu kinatokana na kazi ya timu iliyoandaliwa vema. Na si mtu mmoja.
Tujiulize; Je, chama cha siasa ni nini? Katika harakati za kisiasa kuna aina mbili za vyama; Chama cha Ukombozi na Chama cha Uongozi. TANU, FRELIMO, ANC ni mifano ya vyama vya ukombozi vilivyokuja kugeuka kuwa vyama vya uongozi. CCM, CUF, CHADEMA ni mifano michache ya vyama vya uongozi.
Chama imara cha ukombozi kinatakiwa kijenge uwezo wa kuwa chama cha uongozi mara ile kitapotwaa madaraka. Hufanya hivyo kwa kuweka mkazo juu ya mafunzo kwa makada wake. TANU, FRELIMO na ANC viliweza kujenga uwezo huo. Kielelezo cha nguvu na umakini wa chama cha kisiasa ni uwingi na ubora wa makada wake. Chama ni makada kwa vile chama ni itikadi, malengo na shabaha na wala si nasaba na umaarufu wa mtu mmoja mmoja ndani ya chama.
Chama chenye makada wengi wenye kuielewa itikadi, malengo na shabaha ya chama, huwa hakimtegemei mtu mmoja katika kuwepo kwake. Hakimtegemei mtu mmoja katika kufanikisha ushindi wa chama. Hakimtegemei mtu mmoja katika kuhamasisha wanachama au umma. Chama hicho hujiamini. Edward Mondlane, kiongozi wa kwanza wa Frelimo alipouawa kwa bomu la barua, Frelimo walijua watafanya nini, walijua mchakato gani utumike katika kumpata mrithi wake. Na hata Samora Machel, alipotoweka ghafla kwa ajali ya ndege, FRELIMO walijua watafanya nini.
Na kama Nyerere angekufa wakati wa TANU, bila shaka, TANU walikuwa wamejindaa vema na cha kufanya. TANU haikuwa na ukame wa jeshi la makada. Nguvu ya Frelimo kama ilivyokuwa kwa TANU zilikuwa ni makada wake. Na ieleweke, kuwa makada ni roho ya chama. Chama kikianza kupungukiwa na idadi ya makada wake wakereketwa, basi, chama hicho hakina mustakabali ulio salama, kitayumba, kitaangukia kaburini.
Kuna mfano wa chama kisichokuwa na nguvu ya makada. Wakati John Garang wa SPLM alipouawa kwa ajali ya ndege, hakuna ndani ya SPLM aliyekuwa na hakika ya nini kifanyike. Kwamba ni mke na mtoto wa John Garang waliosimama mbele ya kamera za waandishi wa kimataifa kujaribu kuelekeza nini John Garang angependa kifanyike kilidhihirisha udhaifu wa SPLM. Kwamba SPLM ni John Garang na kinyume chake. SPLM ilikuwa ni chama mtu. Na hilo ni Neno La Leo.
Maggid,
Msamvu, Morogoro
Ha ha ha,
Yaani kabisa Omar unamlinganisha Slaa na Kikwete?