Yiyu Sheping
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 1,720
- 850
Hebu iweke hapa hiyo video uliyonayo kwenye simu yako na wengine wa iangalie kwa makini kama wewe. Ila lazima tuukubali ukweli mambo yamebadilika, ooh man, this is another leadership.
Na washawasha!
Na washawasha!
Binafsi Iyo Video Ninayo Katika Simu Na inaonyesha vizr Tuu
Nimeliangalia hilo Tukio kwa umakin Sana Sijaona kosa la polis
Bali Kosa Lipo Kwa Adam Malima
Amefanya kosa Ila Anataka Kutumia Uwazir mstaafu Katika uvunjifu wa sheria
Mara ya kwanza polis walienda wakamwambia toa Iyo Gar Malima Akagoma Kuna Askar Ambae Hakuwa amavaa Kot Akawa kama anambembeleza Malima na yure askali Mwenzake yule Askar mwenzake akawa anasema Namnukuu Kwanin Hawa watu Hawatii Sheria akawa anaongea kwa uchungu Sana yule Askar
Badae Akaja mkuu Wa ule Msafara Kesi Ikabadilika Kuwa toa Gari Mpaka Unashatakiwa kwa kosa la kukahid agizo Za Jesh La Polis
Mwisho Niseme Ivi Vyombo vyetu Wakat Mwingine Vinafanya mambo Vzr Ila kutokana Na watanzania wengi Kutawaliwa na Siasa Za Mihemuko Tunaona yule Askar amefanya makosa