Neno la Jumapili Kwa marafiki zangu

Gaga

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,558
1,968
Hi wana Jf MMU, tunaongea habari nyingi sana, mikasa ya mapenzi,ugomvi na kadhalika.Nimeona sio mbaya pia niwakumbushe wote leo ni jpili si vibaya tukakumbushana Kusali, kutoa kwa maskini, na kupendana , kujaliana na kusameheana jumapili ya leo. nimeamua kushare na nyie hili cause leo tumefundishwa na tumeambiwa tuwaambie na wenzetu misingi ya maneno hayo hapo juu.

Katika hayo yote mie nimeamua niongelee kutoa kwa maskini na wasiojiweza, watu wengi tunasahau kwamba maisha haya tunayoishi leo inaweza kuwa kwa yule kesho kwetu. hivo basi tujifunze kutoa kusaidia kadri tuwezavyo, kwani kutoa sio utajiri au kwamba unacho sana.Tusiwasahau wazazi wetu kwani bila wao leo hii tusingekuwepo. Inasikitisha kuona mtu anaweza kutumia pesa hovyo bila mpangilio ila linapokuja kutoa msaada kwa wazazi tunajisahau sana.Tuwapende wazazi wetu na kuwaonyesha kwamba bila wao sisi si kitu.Mzazi ni Mungu wa pili wa kila binadamu.

Nawapenda nyote Jumapili jema
 
Hi wana Jf MMU, tunaongea habari nyingi sana, mikasa ya mapenzi,ugomvi na kadhalika.Nimeona sio mbaya pia niwakumbushe wote leo ni jpili si vibaya tukakumbushana Kusali, kutoa kwa maskini, na kupendana , kujamiiana na kusameheana jumapili ya leo. nimeamua kushare na nyie hili cause leo tumefundishwa na tumeambiwa tuwaambie na wenzetu misingi ya maneno hayo hapo juu.

Katika hayo yote mie nimeamua niongelee kutoa kwa maskini na wasiojiweza, watu wengi tunasahau kwamba maisha haya tunayoishi leo inaweza kuwa kwa yule kesho kwetu. hivo basi tujifunze kutoa kusaidia kadri tuwezavyo, kwani kutoa sio utajiri au kwamba unacho sana.Tusiwasahau wazazi wetu kwani bila wao leo hii tusingekuwepo. Inasikitisha kuona mtu anaweza kutumia pesa hovyo bila mpangilio ila linapokuja kutoa msaada kwa wazazi tunajisahau sana.Tuwapende wazazi wetu na kuwaonyesha kwamba bila wao sisi si kitu.Mzazi ni Mungu wa pili wa kila binadamu.

Nakupenda Ivuga Jumapili jema
asante
 
Hi wana Jf MMU, tunaongea habari nyingi sana, mikasa ya mapenzi,ugomvi na kadhalika.Nimeona sio mbaya pia niwakumbushe wote leo ni jpili si vibaya tukakumbushana Kusali, kutoa kwa maskini, na kupendana , kujaliana na kusameheana jumapili ya leo. nimeamua kushare na nyie hili cause leo tumefundishwa na tumeambiwa tuwaambie na wenzetu misingi ya maneno hayo hapo juu.

Katika hayo yote mie nimeamua niongelee kutoa kwa maskini na wasiojiweza, watu wengi tunasahau kwamba maisha haya tunayoishi leo inaweza kuwa kwa yule kesho kwetu. hivo basi tujifunze kutoa kusaidia kadri tuwezavyo, kwani kutoa sio utajiri au kwamba unacho sana.Tusiwasahau wazazi wetu kwani bila wao leo hii tusingekuwepo. Inasikitisha kuona mtu anaweza kutumia pesa hovyo bila mpangilio ila linapokuja kutoa msaada kwa wazazi tunajisahau sana.Tuwapende wazazi wetu na kuwaonyesha kwamba bila wao sisi si kitu.Mzazi ni Mungu wa pili wa kila binadamu.

Nawapenda nyote Jumapili jema

Asante sana Dada kwa ushauri wako mzuri.
Ubarikiwe.
 
usingizi umenipitia ,next week kama vipi.i hope umeniombea na mimi pia
Siku ya mwisho itakukuta hivohivo umelala ukiamka unakuta wenzio wote tumenyakuliwa
 
wewe ndio unaepanga? hivi unajua kilichotokea kalvari?hahahah mimi lazima niende, nina huo uhakika
Utaendaje na wakati umeng'ang'na na wa pande ingine? si unajua huyo kule haingii hata kwa mtutu
 
Thanx kwa kutukumbusha napiga simu sasa hivi kwa mama nimjulie hali nzuri nimeipenda,
 
Mimi Ivuga ndo kanimaliza,yaani alivyopindisha na kuchakachua post ya Gaga,mmmhh Ivuga we mwisho wa njia kama ni barabara we ni Chalinze- Tanga!
Gaga ahsante mama tutafuata ushauri.
 
kwa hiyo unabisha au? yan utaingia na huyo mgeni wako kule kwa baba?

siendi naye .wewe ndio maana nikakuuliza unajua kilichotokea pala kalvari? kuna mtu pale alipata zali akaenda kwa mungu baba ..sasa mimi ni mmoja wa watu wenye mazali kama yale
 
Mimi Ivuga ndo kanimaliza,yaani alivyopindisha na kuchakachua post ya Gaga,mmmhh Ivuga we mwisho wa njia kama ni barabara we ni Chalinze- Tanga!
Gaga ahsante mama tutafuata ushauri.

sijaichakachua GAGA mwenyewe nbadae ndo aliedit post yake
 
Ubarikiwa Gaga, umetukumbusha kitu muhimu sana, binafsi naendaga kutembelea kijiji cha wazee, ni kweli sio lazima uwe na millions of money.Hata ukiwapa kila mmoja mche wa sabuni wanashukuru sana na Mungu anakuzidishia mibaraka.
 
Back
Top Bottom