Fungu la 10 lilikuwa ni adhabu kwa Walawi

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Kizazi hiki cha leo hakistahili kutoa kikumi?

Kuna school of thought kwamba kikumi kilikuwa ni dhabihu ya adhabu MUNGU aliyoagiza juu ya Walawi kwa kumkaidi Nabii wake Musa ndipo MUNGU akasema hawatamuona tena isopokuwa tu wametoa kikumi kama dhabihu ya toba/matengenezo/adhabu na MUNGU wao. Ikaagizwa kikumi wapewe Makuhani si vinginevyo.

Kuna Mchungaji Kenya yeye anatamka hadharani kwamba wamletee yeye kikumi maana ana haki nayo kwamba MUNGU hawezi kupewa maana yeye ni tajiri, kwamba maandiko yanaagiza kikumi apewe Kuhani siyo MUNGU. Yaani hatuna MUNGU maskini wa kuombaomba sadaka.

Nini ufahamu wako?
 
Back
Top Bottom