Neno kugegeda linamdhalilisha mwanamke

Neno kugegeda linamdhalilisha mwanamke

mapenzi siku hizi yanashirikisha pande zote mbili so wanakuwa wanagegedana si kwamba mmoja tu ndo anagegedwa
 
Dah.... Hili tendo lina majina mengi sana tukiamua kuyaandika hapa tutakesha!
 
Kwani mwanamke anajigegeda mwenyewe? Si mwanaume ndo anamgegeda, kwa nini sasa mwanaume lisimdhalilishe?
 
shangaa na wewe, watu kwa kukompliketi vitu vidogo vidogo mmh...

me nashindwa hata kushangaa yani, me naona kugegedana ni neno zuri na lenye stara, ukilinganisha na maneno kama, kupakuana, kuvurugana,kukitana, nk.
Naomba mtoa mada aje aeleze kugegeda, linamzalilisha vp mwanamke....
 
kudinyana
au kumezana si ile mesake namesa mesake shiee wapi mamayoyo
 
Anagegeda...........
Anagegendwa.......
Gegedo..................
 
Ku-wassirwa.
Ku-pindwa.
Ku-lungulwa.
Ku-interahamwewa.
Ku-banyamulengwa.
Ku-bokoharamiwa.
Ku-al-shababiwa.
Ku-anti-barakiwa.
Ku-david-cameroniwa.
 
Back
Top Bottom