Ghafla unaingia mtaa fulani alafu uso kwa uso jicho lako na lake linagongana na unagudnua mko wa wawili tu!!!
Ni neno gani utamwambia???
View attachment 18869
Mkuu ni natural being huyu. Ni mmoja wa manguli wa mchezo fulani duniani
Hahahaaa!!! Unamaanisha anakosa ule mvuto wa Kimatumbi????
ntamwambia "bambaaaaafffffffffff nenda kavae."
your fake, not natural at all
Nitamwambia naomba...,akininyima nitamwuliza unauza bei gani?