Ukikutana na mdada wa Mwendokasi

Black poison The Factor

JF-Expert Member
May 31, 2020
857
1,264
Oi mko murua wadau?

Kwahali hii wanaume tuna safari ndefu sana hapa duniani.

Kumekua na tabia ya kushangaza sana aisee, unakutana na mdada unaomba mbadishane namba, kabla ya kumweleza nia yako ya kutaka namba yake, anakuvamia na mizinga mikali balaa.

Hujamwabia kama unamtaka ila yeye anajiongeza juu kwa juu, mara sina gas, nadaiwa pango miezi mitatu, hujakaa sawa
unga umeisha, kiufupi ni balaa zito ani mpaka ukikutana na wengine unawaona kama gari la kubeba mafuta vile.

Hii ni hatari sana kwa ustawi wa kudumisha uhusiano.
 
Kama kweli unamuhutaji mtumie hiyo ela ya gas. Kama humtaki kama ambavyo yeye hakutaki kausha.
Hiyo mbinu ya kivita, mimi niseme ndio mbinu yangu pendwa kabisa! kama sijakuelewa Mkuu nitakupiga mizinga bampa to bampa, nikikuelewa utakuja kuweka uzi huku kwamba umekutana na Malaika wa zamu.
 
Kwahiyo unamaanisha wadada wote wa kwenye mwendokasi tuna tabia hizo? Ni huyo mmoja tu usituharibie wote😀 hivi unaanzaje kupiga kibomu day 1 hata mtongozo haujakolea vizuri? Aah hapo wadada tunazingua
shi shi shiiiii huo ni ulinzi tunaboresha, kufukuza takataka mbali na uso wa tongozo 🤣 🤣 we hujawahi tongozwa na vitu vya ajabu
 
Kuna muda huwa nahisi stories zingine ni za kutunga au kama ni kweli hao wanawake basi hawana akili sawa sawa. Mtu hamna hata mazoea hata namba hujaomba aanze kulia shida jamani kweli?
Mimi ni mwanaume na naamini kuwa story zote za wanaume za humu jf za kuombwa hela mda mfupi baada ya kutongoza ni za kweli.

Wanaume tunaotafuta wake za kuoa, mara nyingi tunakutanaga na tabia za vituko we acha tu Kelsea
 
Huyo hata kuombwa namba bado na hata hawajuani aanze tu kumlilia shida jamaa? Kama ni kweli basi vichaa ni wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oi mko murua wadau?

Kwahali hii wanaume tuna safari ndefu sana hapa duniani.

Kumekua na tabia ya kushangaza sana aisee, unakutana na mdada unaomba mbadishane namba, kabla ya kumweleza nia yako ya kutaka namba yake, anakuvamia na mizinga mikali balaa.

Hujamwabia kama unamtaka ila yeye anajiongeza juu kwa juu, mara sina gas, nadaiwa pango miezi mitatu, hujakaa sawa
unga umeisha, kiufupi ni balaa zito ani mpaka ukikutana na wengine unawaona kama gari la kubeba mafuta vile.

Hii ni hatari sana kwa ustawi wa kudumisha uhusiano.
Is because anakuona kama atm from first meeting, hii ina translate kuwa ni dharau na nafasi yake kwako. Kama mwanaume unatupa mbali
 
Back
Top Bottom