Jinsia yake haieleweki inategemea na anavyoamka mkuuKumbe sexless ni demu, nkajua dume .
Jinsia yake haieleweki inategemea na anavyoamka mkuu
Unigawe kwa dangote basi yule aliko og mwenye mahela nijizeekee vizuri![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nakugawa bureeeee

Nakugawa kwa rais wa darUnigawe kwa dangote basi yule aliko og mwenye mahela nijizeekee vizuri![]()

Huyo simtaki mieNakugawa kwa rais wa dar
Bhasi kwa muro jHuyo simtaki mie
HopelessHee! Jamani!
Ni hivi nilikuwa na bae wangu ambaye kuanzia leo namuita mshamba (mkolomije), tulipendana na kuahidi kuoana. Tulikuwa tunaenda vizuri tu.
Sasa jana nilibadilisha profile picture kwenye WhatsApp kwa raha zangu tu. Nilipiga picha nikiwa nimevaa blauze fulani hivi maarufu sana huku uswazi ( zinaitwa "usinimaindi") zinashika bega moja tu bega jingine hakuna mshikio. Na kwa wadada zinaliacha chuchu (ziwa) likiwa wazi.
Sasa mm nilipiga picha nikiwa nimevaa hiyo blauzi huku ziwa (nyonyo) langu moja la kushoto likwa upande ambao usinimaindi haijafunika. Kwahiyo likawa wazi. Basi picha hiyo nikaiweka kama DP kwenye WhatsApp.
Mkolomije huyu aliyeletwa mjini na TCU baada ya kumchagulia chuo akaanza kunigombeza. Nikamshangaa sana. Nimekosea nn? Yaani mm kuweka picha yenye kuonyesha jinsi nilivyotokelezea iwe ishu!!? Hiyo ndiyo fahari yangu, na ndiyo tambo zangu. Mwanamke shurti aringe ajionyeshe na atambe.
Ndiyo! Mwanamke sura, tabia atafundishwa na mumewe.
Basi niliamua kumblock na kum-blacklist kabisa.
Ameniharibia siku kabisa mshamba huyu. Nimemwambia sepa wajanja wasio stuka na mambo ya mjini watakuja.
Ni hayo tu.
Hahaha! Mkuu usinisuse kihivyoKumbe ni sexlex wala sina neno na wewe mkuu wangu
We umeshajizolea umaarufu wala sio type yangu ngoja nirudi nilikotokaHahaha! Mkuu usinisuse kihivyo
Kama mimi, nlikuwa mshamba sana kipindi hicho nasoma. Simu yangu ya kikolomije haswa, wadada waliokuwa wananivutia kipindi hicho daily wanaenda disco kwa kuwa wanapata ma-boom na wazee wao walikuwa wakiwatumia pesa. Nlipokuwa nkimwambia yule dada hiyo sio tabia nzuri kuvaa hivyo na kutoka night wakati wazee wako wanajua sasa hivi umelala au unakesha kwa kusoma aliniona mkolomije.Upo sawa sana kwa umri wako, kuna siku hilo ziwa litakosa mteja!!!! ni mapema sana kuliacha wazi kwa sasa! ataenda, wajanja watakuja, wajanja hawakai mda mrefu, KUNA SIKU UTAAMINI KWAMBA washamba huwa wana develope na kuwa wanaume wazuri SANA!
wa kwetu neno kuntu hilo cha woteMmh. Mbona yuko sahihi Mkolomije wa watu sababu nyo**o ni mali yake na yeye ndio muhusika wa kuliona sasa kwa nini na wengine walione.
Kama ni kweli umemuonea Mkolomije wa watu sababu siku zote mtu chake bana labda kama we cha wote.