Nenda zako mshamba wewe! Acha wajanja waje

Kupenda na kutamani, ni vitu viwili tofauti.Mpaka udanganywe kuna kitu
Kwahiyo alikuwa anataka pesa tu wala mapenzi hayakuwepo?? Km angekuwa wazi kuwa ana watoto watatu wala hakuna ambae angeendelea kukomaa naye....huo ndio ukweli wenyewe!!!!
 
Hee! Jamani!

Ni hivi nilikuwa na bae wangu ambaye kuanzia leo namuita mshamba, tulipendana na kuahidi kuoana. Tulikuwa tunaenda vizuri tu.

Sasa jana nilibadilisha profile picture kwenye WhatsApp kwa raha zangu tu. Nilipiga picha nikiwa nimevaa blauze fulani hivi maarufu sana huku uswazi ( zinaitwa "usinimaindi") zinashika bega moja tu bega jingine hakuna mshikio. Na kwa wadada zinaliacha chuchu (ziwa) likiwa wazi.

Sasa mm nilipiga picha nikiwa nimevaa hiyo blauzi huku ziwa (nyonyo) langu moja la kushoto likwa upande ambao usinimaindi haijafunika. Kwahiyo likawa wazi. Basi picha hiyo nikaiweka kama DP kwenye WhatsApp.

Mshamba huyu aliyeletwa mjini na TCU baada ya kumchagulia chuo akaanza kunigombeza. Nikamshangaa sana. Nimekosea nn? Yaani mm kuweka picha yenye kuonyesha jinsi nilivyotokelezea iwe ishu!!? Hiyo ndiyo fahari yangu, na ndiyo tambo zangu. Mwanamke shurti aringe ajionyeshe na atambe.

Ndiyo! Mwanamke sura, tabia atafundishwa na mumewe.

Basi niliamua kumblock na kum-blacklist kabisa.

Ameniharibia siku kabisa mshamba huyu. Nimemwambia sepa wajanja wasio stuka na mambo ya mjini watakuja.

Ni hayo tu.
Ndege mjanja huishia kwenye tundu bovu
 
Ndo wanaodumu na familia bora baadae,wanawake jitambueni
Ndoa siyo kifungo mkuu. Kwamba kwa kuwa nataka nidumu basi niishi kinyume na matakwa na matamanio ya nafasi yangu. No and never in my life.
 
Hee! Jamani!

Ni hivi nilikuwa na bae wangu ambaye kuanzia leo namuita mshamba, tulipendana na kuahidi kuoana. Tulikuwa tunaenda vizuri tu.

Sasa jana nilibadilisha profile picture kwenye WhatsApp kwa raha zangu tu. Nilipiga picha nikiwa nimevaa blauze fulani hivi maarufu sana huku uswazi ( zinaitwa "usinimaindi") zinashika bega moja tu bega jingine hakuna mshikio. Na kwa wadada zinaliacha chuchu (ziwa) likiwa wazi.

Sasa mm nilipiga picha nikiwa nimevaa hiyo blauzi huku ziwa (nyonyo) langu moja la kushoto likwa upande ambao usinimaindi haijafunika. Kwahiyo likawa wazi. Basi picha hiyo nikaiweka kama DP kwenye WhatsApp.

Mshamba huyu aliyeletwa mjini na TCU baada ya kumchagulia chuo akaanza kunigombeza. Nikamshangaa sana. Nimekosea nn? Yaani mm kuweka picha yenye kuonyesha jinsi nilivyotokelezea iwe ishu!!? Hiyo ndiyo fahari yangu, na ndiyo tambo zangu. Mwanamke shurti aringe ajionyeshe na atambe.

Ndiyo! Mwanamke sura, tabia atafundishwa na mumewe.

Basi niliamua kumblock na kum-blacklist kabisa.

Ameniharibia siku kabisa mshamba huyu. Nimemwambia sepa wajanja wasio stuka na mambo ya mjini watakuja.

Ni hayo tu.

Wewe umeachwa kwa vijitabia vyako vya ajabu af unakuja kujiproud eti asepe! wa hivo,inapita gari unaanza ohh,yule mwenye ile gari aliomba anipe ATM card yake nikamkatalia. Huku unadandia michomoko kwenda kijijini kwenu.Ukiulizwa home wapi,eti Masaki.
 
We mwanamke wa mbagala rangi tatu ni mchafu sana.
 
Ndiyo! Mwanamke sura, tabia atafundishwa na mumewe.

Sasa mbona unajihukumu mwenyewe?
Kwa maelezo yako hayo, alikuwa sahihi kukuhoji.
 
Hee! Jamani!

Ni hivi nilikuwa na bae wangu ambaye kuanzia leo namuita mshamba, tulipendana na kuahidi kuoana. Tulikuwa tunaenda vizuri tu.

Sasa jana nilibadilisha profile picture kwenye WhatsApp kwa raha zangu tu. Nilipiga picha nikiwa nimevaa blauze fulani hivi maarufu sana huku uswazi ( zinaitwa "usinimaindi") zinashika bega moja tu bega jingine hakuna mshikio. Na kwa wadada zinaliacha chuchu (ziwa) likiwa wazi.

Sasa mm nilipiga picha nikiwa nimevaa hiyo blauzi huku ziwa (nyonyo) langu moja la kushoto likwa upande ambao usinimaindi haijafunika. Kwahiyo likawa wazi. Basi picha hiyo nikaiweka kama DP kwenye WhatsApp.

Mshamba huyu aliyeletwa mjini na TCU baada ya kumchagulia chuo akaanza kunigombeza. Nikamshangaa sana. Nimekosea nn? Yaani mm kuweka picha yenye kuonyesha jinsi nilivyotokelezea iwe ishu!!? Hiyo ndiyo fahari yangu, na ndiyo tambo zangu. Mwanamke shurti aringe ajionyeshe na atambe.

Ndiyo! Mwanamke sura, tabia atafundishwa na mumewe.

Basi niliamua kumblock na kum-blacklist kabisa.

Ameniharibia siku kabisa mshamba huyu. Nimemwambia sepa wajanja wasio stuka na mambo ya mjini watakuja.

Ni hayo tu.
Kizazi kichafu na chenye ZINAA!.......
 
Mkolomije ndiyo nini!? Nauliza tu 😛😛😛

Mmh. Mbona yuko sahihi Mkolomije wa watu sababu nyo**o ni mali yake na yeye ndio muhusika wa kuliona sasa kwa nini na wengine walione.

Kama ni kweli umemuonea Mkolomije wa watu sababu siku zote mtu chake bana labda kama we cha wote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom